Kiswahili sanifu kinapotea, ni janga kubwa

Kiswahili sanifu kinapotea, ni janga kubwa

Yaani unamsikiliza unabaki unashangaa hivi anafanya makusudi au ni kwa bahati mbaya? Lakini kama ni kwa bahati mbaya mbona kila wakati anarudia kutamka vile vile ambavyo si sahihi!
Wanasema ni baadhi ya lafundhi za makabila, lkn najiuliza mtu anasoma Hadi level ya juu inakuaje haelimiki? Yaani hagundui kuna tatizo arekebishe?
 
Mm nikiona mtu anachanganya R na L namuona ni mjinga wa hali ya juu....mfano Kaburi anasema kabuli.....Msaraba/msalaba...Gari/Gali.... Askari/askali....Jaribu/Jalibu....ukichanganya hapo nakuona kiazi...
Kuna mmoja kiongoz anatamka hivo Ingia YouTube umsikilize
 
Hilo sio kosa la kushindwa kujua lugha, ni athari za lafudhi, kuna makabila hawana 'r' na mengine hawana 'l' kwa hiyo wanachanganya.

Vv
Wajinga wale Kwani hawajaenda shule?
 
Wanasema ni baadhi ya lafundhi za makabila, lkn najiuliza mtu anasoma Hadi level ya juu inakuaje haelimiki? Yaani hagundui kuna tatizo arekebishe?
Mtu Kama huyo ni kenge
 
Wajinga wale Kwani hawajaenda shule?
Hiyo ni athari ya lugha ya mama, ndio maana hata iweje, hutaweza kuongea lugha uliyojifunza shule kama uongeavyo lugha ya mama. Kama wewe kiingereza sio lugha yako ya asili, hutaweza kukiongea kama unavyoongea lugha yenu ya asili.

Vv

Vv
 
Wewe ni yale yale tu, 'kbs' ndio vitu gani.... nachukia uandishi wa aina hii hasa akiandika ME.
Yaani uko kama mimi yaani eti jitu zima linaandika ww,nn,mm,vzr, hv, khaa ila siku hizi naanza kuzoea maana asilimia 90 ya watu wanaandika hivyo siku hizo
 
Hiyo ni athari ya lugha ya mama, ndio maana hata iweje, hutaweza kuongea lugha uliyojifunza shule kama uongeavyo lugha ya mama. Kama wewe kiingereza sio lugha yako ya asili, hutaweza kukiongea kama unavyoongea lugha yenu ya asili.

Vv

Vv
Una watetea wajinga Sio??
 
Ukiona mtu anaandika a badala ya h, huyo ni mjinga na mvivu wa kufikiri, na kizazi hiki cha vijana kina ugonjwa huu, hata uandishi tu hauvutii, vifupisho vingi mpaka vinakosa maana.
Ukikutana na mwanake anayeandika vifupisho vya namna hiyo, hafai hata kuwa mke, ni majanga kabisa
 
Shehe, shida ya lugha ni janga kubwa,ukweli ni kwamba hii hali ni taswira na 'vivid reflection' ya El'mu yetu..
Kuanzia aliye juu mpaka sie kina pangu pakavu,hii lugha kwetu ni dhofuli hali...
HATUJUIII..!! na usiombe usikilize hizi FM radio stations za siku hizi..
Kiiengereza hilo ndio janga kuanzia kwa 'wanene' mpaka watoto wetu,Kiswahili lishakuwa janga nalo..kusoma hatupendi,kujifunza hatutaki..tooba yaraabi....nakwambia ukikutana na kijana wa leo umri aghalabu wa miaka 15 - 35 ukamwambia mzungumze nusu saa Kiswahili bila kutia neo la 'kidhungu' na makosa ya matamshi ya a,h,l na r.
Kakanipime siku hiyo ntakutumia 'hela' na hicho kiiengereza ndio kabisa ataongea sentensi za Telenovela,American series na 'slang' ya hapa na pale...
UKWELI NI HIVI,,HATUJUI LOLOTE..NA HATUTAKI KUKUBALI HILO..
dhofuli ndiyo nini?
 
Una watetea wajinga Sio??
Siwatetei ni athari tu za lugha za asili. Hao wanaochanganya R kwa L na kinyume chake wanaweza kubadilika kwa urahisi wapo watahamia maeneo ya mijini. Wanastahili kushutumiwa ni wale ambao hata kwenye maandishi wanaandika hovyo na kuandika R badala ya L, na 'ata' badala ya 'hata', na 'iyo' badala ya 'hiyo'.

Vv
 
Na sidhani hata kama kuna juhudi za kutosha kuinusuru hali.

Tuna kizazi kisichojali, hivyo ifike mahali kama Mtangazaji kama hajui kutamka sawasawa asiruhusiwe kuhabarisha uma.

Mtu ahanyiwe usahili na Wataalamu wa lugha na ikaonekana ana mapungufufu apewe muda ahudhuie mafunzo mpaka akae sawa, akishindwa basi na ajira amepoteza.
 
Nimetembelea tovuti nyingi za wazungu, wakenya, wa uganda, na wanaijeria, huwezi kukuta ugonjwa kama huu wa watanzania.

Sisi hatujui lolote. Kiswahili hatujui wala Kiingereza hatujui! Hii inaakisi mfumo mbovu wa elimu ambao kusema kweli watu wanaenda shule kusomea ujinga! cc FaizaFoxy

"Illiteracy level" ya Tanzania ni kubwa sana maana tuna watu waliohitimu mpaka vyuo vikuu lakini bado ni ILLITERATES. Tuna mambumbumbu mengi sana yasojua lugha, si kuandika wala kuongea!!

Mungu tusaidie!
 
Back
Top Bottom