Wanasema ni baadhi ya lafundhi za makabila, lkn najiuliza mtu anasoma Hadi level ya juu inakuaje haelimiki? Yaani hagundui kuna tatizo arekebishe?Yaani unamsikiliza unabaki unashangaa hivi anafanya makusudi au ni kwa bahati mbaya? Lakini kama ni kwa bahati mbaya mbona kila wakati anarudia kutamka vile vile ambavyo si sahihi!
Shangaa na wewe fundiWanasema ni baadhi ya lafundhi za makabila, lkn najiuliza mtu anasoma Hadi level ya juu inakuaje haelimiki? Yaani hagundui kuna tatizo arekebishe?
Kuna mmoja kiongoz anatamka hivo Ingia YouTube umsikilizeMm nikiona mtu anachanganya R na L namuona ni mjinga wa hali ya juu....mfano Kaburi anasema kabuli.....Msaraba/msalaba...Gari/Gali.... Askari/askali....Jaribu/Jalibu....ukichanganya hapo nakuona kiazi...
Kivipi mkuuTatizo ni fis. ......emmmm
Wajinga wale Kwani hawajaenda shule?Hilo sio kosa la kushindwa kujua lugha, ni athari za lafudhi, kuna makabila hawana 'r' na mengine hawana 'l' kwa hiyo wanachanganya.
Vv
Mtu Kama huyo ni kengeWanasema ni baadhi ya lafundhi za makabila, lkn najiuliza mtu anasoma Hadi level ya juu inakuaje haelimiki? Yaani hagundui kuna tatizo arekebishe?
Basi wapo wengi mnoMtu Kama huyo ni kenge
KE naweza kuvumilia.... ME kuwa KE ni tusi kubwa, Ila KE kuwa ME ni ushujaa.
Hiyo ni athari ya lugha ya mama, ndio maana hata iweje, hutaweza kuongea lugha uliyojifunza shule kama uongeavyo lugha ya mama. Kama wewe kiingereza sio lugha yako ya asili, hutaweza kukiongea kama unavyoongea lugha yenu ya asili.Wajinga wale Kwani hawajaenda shule?
Kwa style hii acha tu kiswahili kinajisiwe.....Kweli kabisa kiswahili sanifu ndiyo kwaheli kabisa mtu anaandika eti "kabisa" inakuwa "kabixa" sijui kunachuo au shule inayofundisha hivo sikuizi
Naona wewe haukereki.Habali, balua, safali, Shelia...nakereka sana mtu anaposhindwa kutofautisha matumizi ya L na R
Kweli kabisa kiswahili sanifu ndiyo kwaheli kabisa mtu anaandika eti "kabisa" inakuwa "kabixa" sijui kunachuo au shule inayofundisha hivo sikuizi
Yaani uko kama mimi yaani eti jitu zima linaandika ww,nn,mm,vzr, hv, khaa ila siku hizi naanza kuzoea maana asilimia 90 ya watu wanaandika hivyo siku hizoWewe ni yale yale tu, 'kbs' ndio vitu gani.... nachukia uandishi wa aina hii hasa akiandika ME.
Una watetea wajinga Sio??Hiyo ni athari ya lugha ya mama, ndio maana hata iweje, hutaweza kuongea lugha uliyojifunza shule kama uongeavyo lugha ya mama. Kama wewe kiingereza sio lugha yako ya asili, hutaweza kukiongea kama unavyoongea lugha yenu ya asili.
Vv
Vv
dhofuli ndiyo nini?Shehe, shida ya lugha ni janga kubwa,ukweli ni kwamba hii hali ni taswira na 'vivid reflection' ya El'mu yetu..
Kuanzia aliye juu mpaka sie kina pangu pakavu,hii lugha kwetu ni dhofuli hali...
HATUJUIII..!! na usiombe usikilize hizi FM radio stations za siku hizi..
Kiiengereza hilo ndio janga kuanzia kwa 'wanene' mpaka watoto wetu,Kiswahili lishakuwa janga nalo..kusoma hatupendi,kujifunza hatutaki..tooba yaraabi....nakwambia ukikutana na kijana wa leo umri aghalabu wa miaka 15 - 35 ukamwambia mzungumze nusu saa Kiswahili bila kutia neo la 'kidhungu' na makosa ya matamshi ya a,h,l na r.
Kakanipime siku hiyo ntakutumia 'hela' na hicho kiiengereza ndio kabisa ataongea sentensi za Telenovela,American series na 'slang' ya hapa na pale...
UKWELI NI HIVI,,HATUJUI LOLOTE..NA HATUTAKI KUKUBALI HILO..
kbs anamaanisha KibasilaSawa mkuu, rejea kwenye mada ni uchafuzi wa kiswahili.... endelea kukosoa watu huku wewe ukiandika 'kbs'.
Siwatetei ni athari tu za lugha za asili. Hao wanaochanganya R kwa L na kinyume chake wanaweza kubadilika kwa urahisi wapo watahamia maeneo ya mijini. Wanastahili kushutumiwa ni wale ambao hata kwenye maandishi wanaandika hovyo na kuandika R badala ya L, na 'ata' badala ya 'hata', na 'iyo' badala ya 'hiyo'.Una watetea wajinga Sio??