chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,149
Kweli kabisa kiswahili sanifu ndiyo kwaheli kabisa mtu anaandika eti "kabisa" inakuwa "kabixa" sijui kunachuo au shule inayofundisha hivo sikuizi
Au utasikia "Mtu mmoja ameweza kufa".Unakuta mtu anasema "Tukio limetokea majira ya saa tatu usiku"
Xaxa vipi mxee.Habali, balua, safali, Shelia...nakereka sana mtu anaposhindwa kutofautisha matumizi ya L na R
Kwenye suala la mazungumzo hasahasa ya vijana sio shida, vijana always huwa wana lugha zao.
Hata kwenye maandishi pia lazima ujiulize je ni aina gani ya mazungumzo.Kama sio ya kiofisi sio kesi.Lugha huwa ipo tofauti kulingana na class
Yaani uko kama mimi yaani eti jitu zima linaandika ww,nn,mm,vzr, hv, khaa ila siku hizi naanza kuzoea maana asilimia 90 ya watu wanaandika hivyo siku hizo
Siku hizi huwa nakausha tu maana wengi wao ukiwaambia wanaona una gubu kwa kuwa kwao ni kitu cha kawaida kabisa. Kuna mtu mmoja enzi hizo graduate kabisa alikuwa ananiandikia x badala ya s nikamwambia aisee alinitolea povu balaa eti nimuondolee ushamba wangu wa CASS ( college niliyosoma kipindi hicho ilikuwa inaitwa hivi) na eti ningekuwa nimesoma UDBS kama yeye ningekuwa mjanja kama yeye. Nikasema hewalaa ila najua ukikua utaachaUshawahi kuwakanya watu hao ?
Siku hizi huwa nakausha tu maana wengi wao ukiwaambia wanaona una gubu kwa kuwa kwao ni kitu cha kawaida kabisa. Kuna mtu mmoja enzi hizo graduate kabisa alikuwa ananiandikia x badala ya s nikamwambia aisee alinitolea povu balaa eti nimuondolee ushamba wangu wa CASS ( college niliyosoma kipindi hicho ilikuwa inaitwa hivi) na eti ningekuwa nimesoma UDBS kama yeye ningekuwa mjanja kama yeye. Nikasema hewalaa ila najua ukikua utaacha
Hutakiwi kuchoka kuwarekebisha.Siku hizi huwa nakausha tu maana wengi wao ukiwaambia wanaona una gubu kwa kuwa kwao ni kitu cha kawaida kabisa. Kuna mtu mmoja enzi hizo graduate kabisa alikuwa ananiandikia x badala ya s nikamwambia aisee alinitolea povu balaa eti nimuondolee ushamba wangu wa CASS ( college niliyosoma kipindi hicho ilikuwa inaitwa hivi) na eti ningekuwa nimesoma UDBS kama yeye ningekuwa mjanja kama yeye. Nikasema hewalaa ila najua ukikua utaacha
Hutakiwi kuchoka kuwakerebisha.
Je unafikiri njia uliyo tumia kumrekebisja ilikuwa sahihi ?
Hivi sahihi niMm nikiona mtu anachanganya R na L namuona ni mjinga wa hali ya juu....mfano Kaburi anasema kabuli.....Msaraba/msalaba...Gari/Gali.... Askari/askali....Jaribu/Jalibu....ukichanganya hapo nakuona kiazi...
Kuna Mwl mmoja ana Shahada ya uzamili katika lugha lakini kwa kuchanganya r na l ni bingwa.Namkumbuka mwalimu wangu wa Kiswahili shule ya msingi na form 1 na 2 walinipa msingi mzuri sana wa hii lugha adhimu kabisa.
Huwa nakereka sana nikikuta mtu hajaweka H panapotakiwa au amechanganya R na L
Kuna mmoja kiongoz anatamka hivo Ingia YouTube umsikilize