Kitabu cha baba wa taifa katika mjadala Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam 26 Mei, 2022

Tupia vipicha kadhaa ukiwa na wazungu kunogesha UZI
 
Taja nchi 10 za Kisslamu duniani halafu zinao wasomi wengi. Kwa asili uislamu una aleji na ELIMU, hilo linajulikana, sema kama unataka kubishana tu mzee wangu. Libya ya Gadaff ilifadhili elimu from the scratch to higher level, nambie Walibya wangapi walikua na degree walau moja? Nenda kote Qatar, Saudia kote huko kunako itwa Mataifa tajiri ya Waarabu, angalia think tank wao ni kina nani? Sio Wazawa mzee. Njoo mikoa ya pwani hata sasa hivi, angalia idadi ya watoto wanao maliza form 4 hasa wa kike ni wa ngapi? Na hili nalo Nyerere anahusika kwenye hu ulimwengu wa elimu bure? Kumsingizia mtu ni DHAMBI kubwa, hata kama sio wa dini yako. Mwinyi akiwa rais alizifanya shule karibu zote za Nyerere kua day schools ili watoto wengi wasome, idadi ya waislamu kipindi hicho walikua wangapi? Mlipenda zaidi madrasa na sio elimu dunia, kuweni wakweli mzee
Mazindu...
Huijui historia ya Tanganyika kabla na baada ya uhuru.

Sasa ili kuelewa hili somo ni lazima usome historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na yaliyotokea baada ya uhuru kupatikana.

Utaniwia radhi na nakuomba usinichukulie kuwa mimi ni mtu wa majigambo.

Jitahidi kwanza tufahamiane.
 
Tupia vipicha kadhaa ukiwa na wazungu kunogesha UZI

Northwestern University Evanston Chicago.

1653581044231.png

1653581462325.png

Prof. Michael Lofchie Unversity of Iowa, Iowa City
 
Mazindu...
Huijui historia ya Tanganyika kabla na baada ya uhuru.

Sasa ili kuelewa hili somo ni lazima usome historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika na yaliyotokea baada ya uhuru kupatikana.

Utaniwia radhi na nakuomba usinichukulie kuwa mimi ni mtu wa majigambo.

Jitahidi kwanza tufahamiane.
Mzee wangu, kwanza heshima nyingi kwako; ukweli wa Historia huaga inategemea ni nani mwandishi wa historia, somo la historia sio kama masomo ya Sayansi na Hesabu, yale yana proves, historia na msomo ya art hayana proves so yeyote anaweza kuandiaka historia yake mwenyewe; mfano shuleni tumefundisha historia ya Tanzania/Tanganyika na tumemsoma mwalimu Nyerere na baadhi ya mashujaa wengine, hao unaowatajaga wewe ni kama kwenye vitabu rasmi hawatajwi sana na mimi sisemi nani muongo, najua hayo ni madhara ya somo la historia; nenda Zanzibar kule, kuna mtu yeyote aliyesoma shuleni kumuhusu bwana John Okello? Wote tumefundishwa shuleni kwamba mzee Karume ndio aliyeongoza mapinduzi, kumbe sio kweli kabisa, wazee baadhi kina Visram Kassam wanasema Karume hata hakuwepo kabisa Unguja siku hiyo ya tarehe 12 January, 1964, hakujua lolote kuhusu mapinduzi yale, alifanywa kuitwa tu kuja kukalia Ikulu; bahati mbaya sana bwana John ni Mkristo so nina uhakika hata wewe hupendi kabisa kuonesha uhusika wake na mapinduzi yale kwasababu kwa humu ndani umejitanabaisha kivitendo kwamba chochote kilicho fanywa na Mkristo kwako huaga sio muhimu, unapenda kisijulikane sawa sawa tu na wale waliotudanganya kuhusu historia ya both, Zanzibar na Tanganyika. Dr. Mwakyembe nae juzi aliongea kuhusu mama mmoja wa Kinyiramba jinsi alivyo wasumbua Wajeruman, je tumewahi kufundishwa chochote shuleni about her? No, why jambo kubwa namna ile lifichwe??? Historia hainaga proves, unaandika na kutoa unacho penda kitoke au kisomwe

Nataka kusema nini kuhusu msimamo wangu hapo ju, sitaki kujikita kwenye historia kwasababu itategemea hicho kitabu kitakua kimeandikwa na nani? Naangalia hali halisi ya since nimezaliwa to date, nyie waislamu hamnaga mwamko wa elimu; ukibisha hilo, mifano ipo mingi, zaidi ya kile nilicho kisema hapo ju lakini niongeze na hili; wazungu ambao tunasema walileta Ukristo, mbona wao walijenga mashule kadhaa, na baadhi ya madhehebu yao haya Roman Catholic (ambao ndio mjadara hapa ) na Anglican plus Lutheran walijenga shule kadhaa; niambie ni taasisi gani ya kiislamu ilijenga shule zaidi ya misikiti na madrasa? Gadaff na mihela yake, nae alifanikiwa kutujengea msikini lakini hakuona umuhimu wowote wa ku finance kile chuo kikuu mlicho pewa na mzee Mkapa; hadi hapo unataka nikasome kitabu gani cha historia mzee wangu!? Mambo yapo wazi sana, sina sababu ya kupoteza muda wa kwenda kutafuta ushahidi wa hilo, lipo wazi mno
 
Umeandika mengi lakini sina haja ya kukujibu yote hayo.
Nitakueleza machache ili nikuongoze katika yale ambayo wewe huyajui ila mimi nayajua.

Nina wajibu wa kukufahamisha.

Mimi nimeandika historia ya uhuru wa Tanganyika kusahihisha historia iliyokuwapo rasmi nikisema kuwa historia hiyo haiko sawa ama kwa kutokujua au kwa kutaka kufuta historia ya kweli.

Bahati mbaya wewe unaiamini historia hiyo rasmi na si kwa ujinga bali kwa wewe kuwaamini waandishi wa historia hiyo kuwa wametafiti na kuandika ukweli wao.

Nini mimi nilichosahihisha katika historia rasmi?

Kwanza nimeonesha kwa kukusudia khasa mchango wa Waislam katika kupambana na ukoloni wa Wajerumani kisha Waingereza.

Katika utafiti huu nimetumia nyaraka na rejea kadhaa ambazo ukizitaka unaweza na wewe ukazisoma.

Katika historia ya mwamko wa Waislam kuanzia kuasisiwa kwa African Association nimesoma Nyaraka za Sykes nyingi tu lakini ambayo wewe unaweza kuipata kirahisi ni hii, A.D. Sykes, ''The Life of Kleist Sykes,'' University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15) hii ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, East Africana.

(Huyu Aisha ''Daisy Sykes'' ni mtoto wa Abdul Sykes na alipoandika paper hiyo alikuwa mwanafunzi University of East Africa mwaka wa 1968).

Halikadhalika ni sura katika kitabu alichohariri, John Iliffe, ''Modern Tanzanians,'' (1973), ''Kleist Sykes the Townsman.''

Unaweza ukasoma na kitabu nilichoandika ambacho hivi sasa ndicho kinachukuliwa kuwa ndiyo historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea picha ya kitabu hicho, kitabu cha John Iliffe na kitabu cha Chuo Cha CCM Kivukoni hapo chini.

Sasa pita kwa waandishi wote walioandika historia ya TANU kama Temu na Kimambo (1969) uone vipi walivyokuwa hawaijui historia ya TANU na soma pia, ''Historia ya TANU, ''kilichoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni.

Ukiweza kufanya haya utakuwa mwerevu katika historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Sasa umetaja habari ya elimu.

Nimeandika kuhusu tatizo la elimu kwa Waislam paper ambazo nimeziwasilisha katika makongamano kadhaa ndani na nje ya Tanzania kwa hiyo ni suala ninalolijua vyema kabisa lakini hapa hatuwezi kujadili kwani nafasi ni ndogo.

Ukisoma kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini sehemu ya tatu nimeipa anuani, ''Njama Dhidi ya Uislam,'' humo utasoma jinsi juhudi za Waislam kujielimisha zilivyopigwa vita baada ya uhuru kufikia kupigwa marufuku na serikali taasisi yao East Arican Muslim Welfare Society (EAMWS) mwaka wa 1968 kuzuia ujenzi wa Chuo Kikuu.

Badala yake Waislam wakaundiwa BAKWATA.

Ukijikusuru kusoma historia hii niliyokuwekea hapo juu sasa rejea ikiwa unaona kuna haja tufanye mjadala.

Usijadili somo ambalo wewe hulijui.

Nadhani unaona mimi niko hapa kwa jina langu na naweka picha zangu na video zangu.

Sijajificha na sababu ni kuwa nasema kweli sina haja ya kuogopa nikajificha ili ikiwa viongozi wetu watapenda kuujua ukweli kwa nia ya kutoa haki wasihangaike kunitafuta.

1653652086722.png

1653652231964.png
1653652290674.png
 
HAJUI LAKINI ANAAMINI ANAJUA...MASIKINI YA MUNGU

Mjadala ni moto huko na hiyo hapo chini ni paragraph ya mwisho ya mwandishi ananiambia hawezi kupoteza muda kusoma....

''Nataka kusema nini kuhusu msimamo wangu hapo ju, sitaki kujikita kwenye historia kwasababu itategemea hicho kitabu kitakua kimeandikwa na nani? Naangalia hali halisi ya since nimezaliwa to date, nyie waislamu hamnaga mwamko wa elimu; ukibisha hilo, mifano ipo mingi, zaidi ya kile nilicho kisema hapo ju lakini niongeze na hili; wazungu ambao tunasema walileta Ukristo, mbona wao walijenga mashule kadhaa, na baadhi ya madhehebu yao haya Roman Catholic (ambao ndio mjadara hapa ) na Anglican plus Lutheran walijenga shule kadhaa; niambie ni taasisi gani ya kiislamu ilijenga shule zaidi ya misikiti na madrasa? Gadaff na mihela yake, nae alifanikiwa kutujengea msikini lakini hakuona umuhimu wowote wa ku finance kile chuo kikuu mlicho pewa na mzee Mkapa; hadi hapo unataka nikasome kitabu gani cha historia mzee wangu!? Mambo yapo wazi sana, sina sababu ya kupoteza muda wa kwenda kutafuta ushahidi wa hilo, lipo wazi mno''

Nilichoongeza hapo juu ni alama za kufungua na kufunga alichosema na nimemweka hivyo hivyo ili mpate kuwajua watu wanaojiona wanajua...

Hilo hapo chini ni jibu langu kwake:
 
Attachments

  • Screenshot_20220527-151819_Facebook.jpg
    Screenshot_20220527-151819_Facebook.jpg
    54.5 KB · Views: 12
''Asante mwalimu huyu ni mshumaa unaungua wenzie wanapata mwanga au ubao unaandikwa wengine wanapata elimu.

Umemjibu kwa busara ya hali ya juu kwa ushahidi wa nyaraka sasa naye alete ushahidi sio ubishi tu.''
 
View attachment 2240251
Dome Budohi Mluya kutoka Kenya kaingia katika uongozi wa TAA pamoja na Julius Nyerere mwaka wa 1953 na kadi yake ya TANU ni No. 6.

View attachment 2240254
Mwandishi na Dome Budohi Ruiru, Nairobi 1972.

Bulesi,
Vipi wewe utaijua historia ya TANU kushinda mimi ambaye chama kiliasisiwa na wazee wangu?
Chama kinaweza kuwa kiliasisiwa na wazee wako lakini usiijue vizuri historia ya TANU!!!
 
Bulesi...
Bahati nzuri naijua historia ya wazee wangu vyema kabisa kiasi nimeweza kuandika kitabu hicho cha maisha ya Abdul Sykes.

Kwa ajili ya kitabu hiki nikatiwa katika miradi miwili ya historia na Oxford University Press Nairobi na kitabu changu kwa ajili ya kusomesha Kiingereza na Historia kwa shule za msingi Afrika ya Mashariki kikachapwa na kipo sokoni toka 2007.

Harvard na Oxford University Press, New York wakanitia katika mradi wa kuandika Dictionary of African Biography ni volume 6 hili kamusi liko toka 2011.

Nadhani sasa tumeelewana.

1653668666003.png

1653668850927.png
 
View attachment 2241092
View attachment 2241099

Hongera!
 
Bulesi...
Ahsante sana ndugu yangu naamini umeelewa sasa kuwa historia iliyokuwa ikifundishwa kwa miaka mingi haikuwa historia ya kweli,

Sio hivyo Mohamed,, ilikuwa historia ya kweli ambayo ilitakiwa iboreshwe kwa kuwaingiza wengine ambao walikuwa wameachwa!!
 
Haikuwa ya kweli waandishi walikusudia kufuta historia ya kizazi chetu kizima na kuweka historia yao mpya ambayo wazee wangu hawatakuwamo.

Wakati wa uandishi wa kitabu hicho hiki cha Chuo Cha CCM Kivukoni mwaka wa 1981walipelekewa notes zilizotengenezwa na mmoja wa wanajopo la uandishi jina lake Hassan Upeka kutoka mazungumzo yake na Abdul Sykes kuhusu TANU kabla hajafa 1968.

Hassan Upeka alipomaliza darasa la 10 Tabora TANU wakamchukua 1955/56 wakamtia TANU Intelligence na hakutoka hadi anastaafu.

Mkuu wa Jopo akamwambia Upeka baada ya kumpa zile notes kuwa historia ya TANU inayoandikwa haina uhusiano wowote na Abdul Sykes.

Dhahiri kuwa walikusudia kuandika historia wanayoitaka wao.
Bulesi haya mambo yalikuwa ndani ya koo zetu usidhani mimi nafanya maskhara hapa.

Nakuwekea hapo chini picha ya maziko ya Upeka niliyopiga nyumbani kwake
Mwananyamala.

1653676162799.png
 
Dhahiri kuwa walikusudia kuandika historia wanayoitaka wao.
Bulesi haya mambo yalikuwa ndani ya koo zetu usidhani mimi nafanya maskhara hapa

Kwanini unadhani walitaka kuizika historia ya watu kama Abdulwahid Sykes, watu ambao walimpa msaada sana Mwalimu alipokuja mjini toka Mwakanga? What would have been their motivation?
 
Kwanini unadhani walitaka kuizika historia ya watu kama Abdulwahid Sykes, watu amabo walimpa msaada sana Mwalimu alipokuja mjini toka Mwakanga? What would have been their motivation?
Bulesi...
Historia ndefu sana.
Nakushauri soma kitabu cha Abdul Sykes.
 
Mazindu...
Umeandika mengi lakini sina haja ya kukujibu yote hayo.
Nitakueleza machache ili nikuongoze katika yale ambayo wewe huyajui ila mimi nayajua.

Nina wajibu wa kukufahamisha.

Mimi nimeandika historia ya uhuru wa Tanganyika kusahihisha historia iliyokuwapo rasmi nikisema kuwa historia hiyo haiko sawa ama kwa kutokujua au kwa kutaka kufuta historia ya kweli.

Bahati mbaya wewe unaiamini historia hiyo rasmi na si kwa ujinga bali kwa wewe kuwaamini waandishi wa historia hiyo kuwa wametafiti na kuandika ukweli wao.

Nini mimi nilichosahihisha katika historia rasmi?

Kwanza nimeonesha kwa kukusudia khasa mchango wa Waislam katika kupambana na ukoloni wa Wajerumani kisha Waingereza.

Katika utafiti huu nimetumia nyaraka na rejea kadhaa ambazo ukizitaka unaweza na wewe ukazisoma.

Katika historia ya mwamko wa Waislam kuanzia kuasisiwa kwa African Association nimesoma Nyaraka za Sykes nyingi tu lakini ambayo wewe unaweza kuipata kirahisi ni hii, A.D. Sykes, ''The Life of Kleist Sykes,'' University of Dar es Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15) hii ipo Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, East Africana.

(Huyu Aisha ''Daisy Sykes'' ni mtoto wa Abdul Sykes na alipoandika paper hiyo alikuwa mwanafunzi University of East Africa mwaka wa 1968).

Halikadhalika ni sura katika kitabu alichohariri, John Iliffe, ''Modern Tanzanians,'' (1973), ''Kleist Sykes the Townsman.''

Unaweza ukasoma na kitabu nilichoandika ambacho hivi sasa ndicho kinachukuliwa kuwa ndiyo historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.

Nakuwekea picha ya kitabu hicho, kitabu cha John Iliffe na kitabu cha Chuo Cha CCM Kivukoni hapo chini.

Sasa pita kwa waandishi wote walioandika historia ya TANU kama Temu na Kimambo (1969) uone vipi walivyokuwa hawaijui historia ya TANU na soma pia, ''Historia ya TANU, ''kilichoandikwa na Chuo Cha CCM Kivukoni.

Ukiweza kufanya haya utakuwa mwerevu katika historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Sasa umetaja habari ya elimu.

Nimeandika kuhusu tatizo la elimu kwa Waislam paper ambazo nimeziwasilisha katika makongamano kadhaa ndani na nje ya Tanzania kwa hiyo ni suala ninalolijua vyema kabisa lakini hapa hatuwezi kujadili kwani nafasi ni ndogo.

Ukisoma kitabu cha Abdul Sykes hicho hapo chini sehemu ya tatu nimeipa anuani, ''Njama Dhidi ya Uislam,'' humo utasoma jinsi juhudi za Waislam kujielimisha zilivyopigwa vita baada ya uhuru kufikia kupigwa marufuku na serikali taasisi yao East Arican Muslim Welfare Society (EAMWS) mwaka wa 1968 kuzuia ujenzi wa Chuo Kikuu.

Badala yake Waislam wakaundiwa BAKWATA.

Ukijikusuru kusoma historia hii niliyokuwekea hapo juu sasa rejea ikiwa unaona kuna haja tufanye mjadala.

Usijadili somo ambalo wewe hulijui.

Nadhani unaona mimi niko hapa kwa jina langu na naweka picha zangu na video zangu.

Sijajificha na sababu ni kuwa nasema kweli sina haja ya kuogopa nikajificha ili ikiwa viongozi wetu watapenda kuujua ukweli kwa nia ya kutoa haki wasihangaike kunitafuta.

View attachment 2240788
View attachment 2240796View attachment 2240799
Baba yangu as i said, mimi binafsi nakuheshimu sana kwanza kwa UMRI wako na hata kwa maandishi yako; sijapingana kabisa na historia yako unayo iandika na wala sijasema kwamba kile nilicho kisoma shuleni kuhusu historia ya Tanganyika/Tanzania ndio cha kweli, laa hasha! Nilicho kisema ambacho naendelea kukisisitiza ni kwamba, somo la historia huwezi ku prove ukweli wake, nimejerea mambo kadhaa kwamba hata historia ya Mapinduzi ya Zanzibar kile tulicho fundishwa shuleni ni tofauti na tunacho ambiwa na wazee wa Kizanzibar ambao wapo hai to date, nimemtolea mfano mzee Visram Kassam, huyu ni mwandishi mkongwe, nimeanza kuzoma makara zake tokea mwaka 1984 alipokua akiandika gazeti la Mzalendo those years, ameendelea kuwepo akilini mwangu hadi sasa nikiwa na umri wa utu uzima; now coming back to your articles, mimi sijui na sina hakika kama unayo yasema ni ya kweli au na wewe umeongeza CHUMVI, sina proves kwasababu ile ile tu, HISTORIA huwezi kuithibitisha, ni mambo ya mtu kuweka kumbukumbu zake na mwingine anaweza kuzipotosha atakavyo na hasa kama mlengwa unamchukia au unampenda sana, kwa unayemchukia, the law of nature says, "hutayasema mazuri yake hata kidogo, utataka yasijulikane" mfano wako ni kwamba kwenye maandishi yako, huwezi kuzungumzia kabisa kitendo cha Nyerere kunyang'anya shule na taasisi za dini yake ili hata wasio wa dini yake (nimekwepa kusema Waislam ili twende sawa ) ili Watanzania wasome; hilo hakuna sheikh ambaye atalizungumza, lakini ungependa kuwaweka watu unao wapenda (may be wengine nao waliwaficha ili tusiwajue ) ili wajulikane na hapa ndio shida ya somo la historia inapokuja kwangu, NO PROVES. Ingekua ni sayansi, it doesnt matter whether we are friends or not, ukweli wake UPO Maabara. Can site one of the example; mhe rais wa awamu ya tano alipingana sana na actions za kudhibiti CORONA nchini mwake, hadi sasa hivi watu wanamzodoa kwa maneno, lakini tuwaulize kivitendo, alicho kikataa Magufuli, leo wanafanya nini tofauti na alicho kisema Magufuli? Well, dunia anafanyaje sasa tofauti na alichokua anasimamia Magufuli? Hiyo ndio sayansi, unampenda au unamchukia haijalishi, ukweli upo!
 
Back
Top Bottom