Kitabu cha Enock (Henoko)

Kitabu cha Enock (Henoko)

Maccabees kwa tafsiri ya kiswahili wanaita Makabayo wa kwanza ma Makabayo wa pili
 
Sijasoma na siwezi soma kitabu cha kuokota majalalani wakati Biblia original ipo ambayo haina hicho kitabu cha henoko cha majalalani
Biblia yote hiyo imeokotwa majalalani.

Kuna sehemu maandishi yalikuwa yanaokotwa yameungua na moto, wanaanza kuunganisha unganisha ili kutafuta usahihi.
 
Biblia ya sasa ina kitabu cha JUdith? au TObit?
Pia kuna Maccabees 1 na Maccabees 2
Biblia ya sasa ya vitabu vya agano la kale haina hivyo vitabu na Biblia original ya Hebrew Bible haina hivyo vitabu

Ila wakatoliki waliamua kuwa na Biblia yao wanaita catholic Bible wakaamua wao wenyewe kuviingiza hivyo vitabu kwenye Biblia yao ya kikatoliki lakini kwenye Biblia original anbayo wayahufi wanayo hadi leo yaani Jewish Bible hivyo vitabu havimo

Wakatoliki wanajua wenyewe walikoviokota sababu wayahudi hawavitambui na havimo kwenye Biblia yao
 
Naam kwa hiyo biblia zipo za aina nyingi na wanadamu wamezifinyanga kwa kadiri walivyoona inafaa
 
Biblia yote hiyo imeokotwa majalalani.

Kuna sehemu maandishi yalikuwa yanaokotwa yameungua na moto, wanaanza kuunganisha unganisha ili kutafuta usahihi.
Sio kweli
Agano la kale lote wanalo wayahudi miaka yote na agano jipya makanisa yalitunza ndio
Unaongea utafikiri Biblia yote ilikuwa moja na sehemu moja kwa hiyo moto ukaunguza hiyo Biblia moja

Biblia zilikuwepo nyingi maeneo tofauti tofauti ambako watu walikuwa wakiabudu walitumia Biblia hapo walipo wakisali hivyo hata kama moto uliunguza sehemu moja ikaungua kwingine walikuwa nayo .Ni kama leo hii ghala la Biblia liungue moto Halafu useme watu wanaenda kwenye kifusi kuokoteza tukaratasi waandike Biblia sio kweli hata kwa akili za kawaida tu

Huo ni uongo
 
Naam kwa hiyo biblia zipo za aina nyingi na wanadamu wamezifinyanga kwa kadiri walivyoona inafaa
Zingine hizo walizofinyanga kuziita Biblia sio sahihi ni vitabu tu watu wameamua kuita Biblia ni sawa na mtu akwambie kila jengo lenye msalaba ni kanisa sio kweli makaburi ni majengo na yana misalaba
Si sahihi kuziita Biblia
 
Biblia agano la kale wanayo wayahudi ambao ndio agano la kale linawahusu inaitwa Jewish Bible na ndio Biblia original na ya kale kuliko zote ipo hadi leo na haina hicho kitabu cha Henoko
Hiyo Biblia haijawahi chujwa na awaye yeyote iko hivyo hivyo hakuna aliyewahi kaa kuchuja wala kuamua kitabu kipi kiwepo na kipi kisiwepo

Na kanisa lilichukua hiyo Biblia ya agano kale kama vitabu vilivyo na kuviingiza kwenye Biblia ya sasa yenye vitabu 66

Agano la kale tumerithi toka Jewish Bible kama ilivyo na wayahudi ndio wanaitumia hadi leo

Hizo porojo za kusema kuna mtu alikaa kuchuja vitabu vya agano la kale ni uongo
Ukiwa mjinga usipende kuongea kwa confidence sana.

1. Popote ukiona neno Biblia basi jua kilichoandikwa humo kilitokana na tafsir/nakili kutoka MAANDIKO MATAKATIFU (Holly Scriptures). Hivyo hata hiyo inayoitwa Jewish Bible sio original kama usemavyo wewe. SOMA MAANDIKO MATAKATIFU UYAELEWE, HALAFU NDIO UONGEE KWA CONFIDENCE!

2. Kama Scriptures za Henoko hazikuwepo kwenye Holly Scriptures niambie ni wapi katika scriptures zingine ulipo unabii wa Henoko unaoonekana katika kitabu cha Yuda 1:14-16. Ukiweza kuweka maandiko yenye huu unabii nje ya maandiko ya Henoko naomba mods wanipige ban ya maisha. SOMA MAANDIKO MATAKATIFU UYAELEWE, HALAFU NDIO UONGEE KWA CONFIDENCE!

3. Halafu kama Jewish Bible ndio original tungeona Yehoshua Amashiah na mitume wengine wakifanya reference kutoka humo. Ila ukisoma katika Biblia yote ya leo utaona reference zote zilitoka katika HOLLY SCRIPTURES (Maandiko Matakatifu). Kama kuna reference yeyote iliwahi kutolewa katika hiyo Jewish Bible weka ushahidi wa kimaandiko hapa kama sivyo je hiyo Jewish Bible ilikuwa wapi wasifanye reference kutoka humo. SOMA MAANDIKO MATAKATIFU UYAELEWE, HALAFU NDIO UONGEE KWA CONFIDENCE!
 
2. Kama Scriptures za Henoko hazikuwepo kwenye Holly Scriptures niambie ni wapi katika scriptures zingine ulipo unabii wa Henoko unaoonekana katika kitabu cha Yuda 1:14-16. Ukiweza kuweka maandiko yenye huu unabii nje ya maandiko ya Henoko naomba mods wanipige ban ya maisha. SOMA MAANDIKO MATAKATIFU UYAELEWE, HALAFU NDIO UONGEE KWA CONFIDENCE!
Hayo ya Henoko yalikuwa mahubiri yake Henoko aliyohubiri wakati huo .Lakini hayakuwekwa kama kitabu ni sawa na leo useme Papa wa sita aliwahi kusema hiki na hiki ni mahubiri aliyohubiri ambayo yamerithishwa kwa mdomo kuwa nilimsikia babu yenu kabla kufa alisema

Hapo ni kupasiana kwa midomo sio kuwa kuna kitabu
 
Biblia agano la kale wanayo wayahudi ambao ndio agano la kale linawahusu inaitwa Jewish Bible na ndio Biblia original na ya kale kuliko zote ipo hadi leo na haina hicho kitabu cha Henoko
Hiyo Biblia haijawahi chujwa na awaye yeyote iko hivyo hivyo hakuna aliyewahi kaa kuchuja wala kuamua kitabu kipi kiwepo na kipi kisiwepo

Na kanisa lilichukua hiyo Biblia ya agano kale kama vitabu vilivyo na kuviingiza kwenye Biblia ya sasa yenye vitabu 66

Agano la kale tumerithi toka Jewish Bible kama ilivyo na wayahudi ndio wanaitumia hadi leo

Hizo porojo za kusema kuna mtu alikaa kuchuja vitabu vya agano la kale ni uongo
Biblia Agano la Kale Ilifanyiwa Mgawanyo au Discusion Ya kuingizwa kwenye mkusanyiko wa Pamoja na Kuchuja baadhi ya Vitabu ambavyo vingine viliondolewa na Vingine vilibaki..

Vingine Vikaonekana Havifai kuingia na kupewa majina kama Apokrifa na Pseudepigrapha..

Kitanu cha Henok au enock Ni kitabu mojawapo walichokipa Jina la pseudepigrapha Kutokana na wao Kukosa Kujua Hasa Nani alikiandika.. Lakini kiuhalisia sio wlikosa nani alikiandika ila walitamani kiwe upande wa Favor wa Mambo yao lakini kilikataa..

Council of Jamnia (au Yavneh)ambacho kilikaliwa mwaka 90 CE miaka 20 baada ya Kuvunjwa kwa Hekalu mwaka 70 CE na Wayahudi Kushindwa vita ila ya Jewish War vingi vilipotea Ikiwemo vitabu vya Tora so Rabbi walikuwatana kuviorganise Tena upya na kuondoa Vingine kwenye favor..

Do old testaments imeWekwa pamoja mwaka 90 CE na sio Kwamba ilikuwa hivyo toka zamani
 
Hayo ya Henoko yalikuwa mahubiri yake Henoko aliyohubiri wakati huo .Lakini hayakuwekwa kama kitabu ni sawa na leo useme Papa wa sita aliwahi kusema hiki na hiki ni mahubiri aliyohubiri ambayo yamerithishwa kwa mdomo kuwa nilimsikia babu yenu kabla kufa alisema

Hapo ni kupasiana kwa midomo sio kuwa kuna kitabu
Unabii ni mahubiri mkuu? Au unajizima data?

OK! tuseme ni mahubiri hayo, je unaweza kuniambia ni mahubiri gani mengine ambayo hayakuandikwa katika Holly Scriptures yaliwahi kunukuliwa kama unabii kwenye Biblia yako.

Shotocan umeutupiga kamba kuwa Jewish Bible ndio original word of God ya agano la kale, kwa nini unataka wanajukwaa wakuamini kuwa na yale ya Henoko yalikuwa mahubiri tu yaliyorithishwa (madai yasiyo na ushahidi wa kimaandiko) na sio unabii (jambo lenye ushahidi wa kimaandiko) na hata kitabu chake kipo.
 
Back
Top Bottom