ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Hadi bible ya vitabu 66 inafanya reference kwenye kitabu cha Henoko.Kitabu cha henoko sio cha Biblia ni mafundisho ya mashetani
Sijasoma na siwezi soma kitabu cha kuokota majalalani wakati Biblia original ipo ambayo haina hicho kitabu cha henoko cha majalalaniUmekisoma?
Hee Majalalani tena??.........Punguza hasiraSijasoma na siwezi soma kitabu cha kuokota majalalani wakati Biblia original ipo ambayo haina hicho kitabu cha henoko cha majalalani
Hivyo viliongezwa na wakatoliki kwenye Biblia yao catholic Bible kwenye Biblia original ya Hebrew Bible havimoMaccabees kwa tafsiri ya kiswahili wanaita Makabayo wa kwanza ma Makabayo wa pili
Sio kweliHadi bible ya vitabu 66 inafanya reference kwenye kitabu cha Henoko.
Biblia yote hiyo imeokotwa majalalani.Sijasoma na siwezi soma kitabu cha kuokota majalalani wakati Biblia original ipo ambayo haina hicho kitabu cha henoko cha majalalani
Biblia ya sasa ya vitabu vya agano la kale haina hivyo vitabu na Biblia original ya Hebrew Bible haina hivyo vitabuBiblia ya sasa ina kitabu cha JUdith? au TObit?
Pia kuna Maccabees 1 na Maccabees 2
Naam kwa hiyo biblia zipo za aina nyingi na wanadamu wamezifinyanga kwa kadiri walivyoona inafaaBiblia ya sasa ya vitabu vya agano la kale haina hivyo vitabu na Biblia original ya Hebrew Bible haina hivyo vitabu
Ila wakatoliki waliamua kuwa na Biblia yao wanaita catholic Bible wakaamua wao wenyewe kuviingiza hivyo vitabu kwenye Biblia yao ya kikatoliki lakini kwenye Biblia original anbayo wayahufi wanayo hadi leo yaani Jewish Bible hivyo vitabu havimo
Wakatoliki wanajua wenyewe walikoviokota sababu wayahudi hawavitambui na havimo kwenye Biblia yao
Sio kweliBiblia yote hiyo imeokotwa majalalani.
Kuna sehemu maandishi yalikuwa yanaokotwa yameungua na moto, wanaanza kuunganisha unganisha ili kutafuta usahihi.
Zingine hizo walizofinyanga kuziita Biblia sio sahihi ni vitabu tu watu wameamua kuita Biblia ni sawa na mtu akwambie kila jengo lenye msalaba ni kanisa sio kweli makaburi ni majengo na yana misalabaNaam kwa hiyo biblia zipo za aina nyingi na wanadamu wamezifinyanga kwa kadiri walivyoona inafaa
Ukiwa mjinga usipende kuongea kwa confidence sana.Biblia agano la kale wanayo wayahudi ambao ndio agano la kale linawahusu inaitwa Jewish Bible na ndio Biblia original na ya kale kuliko zote ipo hadi leo na haina hicho kitabu cha Henoko
Hiyo Biblia haijawahi chujwa na awaye yeyote iko hivyo hivyo hakuna aliyewahi kaa kuchuja wala kuamua kitabu kipi kiwepo na kipi kisiwepo
Na kanisa lilichukua hiyo Biblia ya agano kale kama vitabu vilivyo na kuviingiza kwenye Biblia ya sasa yenye vitabu 66
Agano la kale tumerithi toka Jewish Bible kama ilivyo na wayahudi ndio wanaitumia hadi leo
Hizo porojo za kusema kuna mtu alikaa kuchuja vitabu vya agano la kale ni uongo
Fungua code Sasa mtaniNi mtu mmoja
Hayo ya Henoko yalikuwa mahubiri yake Henoko aliyohubiri wakati huo .Lakini hayakuwekwa kama kitabu ni sawa na leo useme Papa wa sita aliwahi kusema hiki na hiki ni mahubiri aliyohubiri ambayo yamerithishwa kwa mdomo kuwa nilimsikia babu yenu kabla kufa alisema2. Kama Scriptures za Henoko hazikuwepo kwenye Holly Scriptures niambie ni wapi katika scriptures zingine ulipo unabii wa Henoko unaoonekana katika kitabu cha Yuda 1:14-16. Ukiweza kuweka maandiko yenye huu unabii nje ya maandiko ya Henoko naomba mods wanipige ban ya maisha. SOMA MAANDIKO MATAKATIFU UYAELEWE, HALAFU NDIO UONGEE KWA CONFIDENCE!
Biblia Agano la Kale Ilifanyiwa Mgawanyo au Discusion Ya kuingizwa kwenye mkusanyiko wa Pamoja na Kuchuja baadhi ya Vitabu ambavyo vingine viliondolewa na Vingine vilibaki..Biblia agano la kale wanayo wayahudi ambao ndio agano la kale linawahusu inaitwa Jewish Bible na ndio Biblia original na ya kale kuliko zote ipo hadi leo na haina hicho kitabu cha Henoko
Hiyo Biblia haijawahi chujwa na awaye yeyote iko hivyo hivyo hakuna aliyewahi kaa kuchuja wala kuamua kitabu kipi kiwepo na kipi kisiwepo
Na kanisa lilichukua hiyo Biblia ya agano kale kama vitabu vilivyo na kuviingiza kwenye Biblia ya sasa yenye vitabu 66
Agano la kale tumerithi toka Jewish Bible kama ilivyo na wayahudi ndio wanaitumia hadi leo
Hizo porojo za kusema kuna mtu alikaa kuchuja vitabu vya agano la kale ni uongo
Huwa nawashauri watu kabla.ya kuingia kwenye Mijadala.ya Kielimu wajielimishe kwanza kiasi cha kuweza kufanya Confrotation..Hizo porojo za kusema kuna mtu alikaa kuchuja vitabu vya agano la kale ni uongo
Unabii ni mahubiri mkuu? Au unajizima data?Hayo ya Henoko yalikuwa mahubiri yake Henoko aliyohubiri wakati huo .Lakini hayakuwekwa kama kitabu ni sawa na leo useme Papa wa sita aliwahi kusema hiki na hiki ni mahubiri aliyohubiri ambayo yamerithishwa kwa mdomo kuwa nilimsikia babu yenu kabla kufa alisema
Hapo ni kupasiana kwa midomo sio kuwa kuna kitabu