Kitabu cha Enock (Henoko)

Uadui wetu na viumbe hivyo unasababishwa na nini?
Uadui Huo unasababishwa na kuambiwa kwamba Viumbe hao ni wabaya kwako na hakuna Kingine..
kwahyo Kwakuwa wao wanajua Binadamu anawachukia Ukibahatika Ukakutana nao na Ukagundua wako maeneo yale bhasi na wao wanakudhuru..

Ila wao hawana uadui na wewe Jiulize wanakuona mara ngapi na Wakati wewe Huwaoni? Kama wangeluwa wana uadui na wewe basi wangeshakudhuru hata kabla ya wewe Kuwaona...

Kwa mfano unajua Kuwa Majini na Mapepo (Kwa mujibu wa Wakristo) walikuwa malaika?
Kwa mujibu wa Dini zingine ni viumbe vyenye nguvu sana..

unajua Majini na Mapepo wanakasi sana na wanaweza kwenda Hapa na Sayari zingine kwa Kufumba na Kufumbua (Kwa mujibu wa Vitabu vya Dini).. sasa kama wangekuwa na uadui na Bindamu waneshindwa Nini kuwatekeza binadamu??
Tuna silaha ya kupambana navyo?
Silaha kubwa Ni kulinda Energy yako Binadamu mwenye High vibration na Nishati kubwa sana anaweza kuogopwa na Viumbe Vingine..

japo sasa Kuwa na Nishati kubwa sana Kunaweza kutengeneza Pia Vita kubwa Na viumbe Viovu kwa sababu kwao ni kama Tishio..

Vipi nikiungana navyo? Kuna madhara gani?
Unaweza kuungana nao Pia na Hakuna madhara ila tu usiingie mikataba nao maana Watakufanya uwe mtumwa wao Milele na milele mpaka vizazi vyako vitateseka kwa mikataba uliyoweka
 
Mambo yaliyofichwa yanazidi kuwekwa wazi
 
Samahani , Je Umetoa kwenye Kitabu Gani kwamba ......
Majini yanasafiri kutok sayari Moja kwenda nyingine
 
Samahani , unaweza tofautisha kati ya " Majini " na " Mapepo "
 
Samahani , Unaweza Niambia Vyakula Vyenye Kukupa Nguvu hasi na Vile vinavyo kupa Nguvu Chanya ....
 
Samahani , Je Umetoa kwenye Kitabu Gani kwamba ......
Majini yanasafiri kutok sayari Moja kwenda nyingine
Umewahi Kusoma Kuhusu Demology na Angelology??
Kwanza Ningependa Kujua Unaamini katika Dini gani ili iwe Vyepesi Kukuelewesha kupitia Dini Yako maan Uislam unaimani yao Kuhusu Majini na Ukristo unaimani yao..

Ukinipa Dini yako Nitakuonyesha kwa Mujibu wa Dini yako..
 
Samahani , unaweza tofautisha kati ya " Majini " na " Mapepo "
Hii Majini na Mapepo inategemea na Dini Unayoamini..
Japo katika Ukristo hakuna Kitu kinaitwa Majini..
Wao wana Mapepo...Japo huwa wanatumia Neno majini na Mapepo Interchangebly..

Ila kwenye Uislamu napo Hakuna Neno Mapepo kuna Majini..

So Ningependa Kujua Swali lako lililenga Kipi
 
Dermology na Angelology , Izi Vitabu vimetokana na Mawazo ya Mwanadamu ..
.... Je Unakubali hili ?

Kama unakubali , Maan yake Unatumia Mawazo ya Wanadamu Kuelezea Neno la Mungu (Bible ) ? .....je unakubali hili

Je wewe Unakubali (Kuamini ) Mawazo ya Mwanadamu yanaweza Kuelezea Neno la Mungu .....


Je unaamini Bible ni Neno la Mungu (Muumba Vitu Vyote ) ?
 
Je wewe ni Muumini wa Dini gani ?
 
Habari Ndugu yangu Sambost..
Vitu nilivyoandika Nilivisoma Nikiwa Nasoma Theology miaka iliyopita zamani kidogo...

Hakuna Mchungaji ambaye Hakufundishwa Kuhusu Elimu ya Malaika Na Elimu ya Kujua Mapepo...
Angelology inafundhisha kama Part ya Theology kwa enzi zetu sijui siku hizi...

Kwa Taarifa fupi Bible Pia Imeorganiziwa na Wanadamu ili Iweze kumfikia Mwanadamu..

Na ndo maana Walioandika Ni wanadamu wenyewe..
So Waliandika wanadamu wakiomgozwa na Mungu..
 
Je wewe ni Muumini wa Dini gani ?
Swali hili mimi nimeanza Kukuliza wewe...
Niliwa na maana Kubwa Sana kwa bahati mbaya ama Nzuri nilipata bahati Nusu ya Umri wangu kutembea na Kujifunza kwenye Dini mbali mbali..

Kwahyi nilikupa uhuru Kuchagua Dini yoyote ili Nikueleweshe kupitia Dini yako hata kama Ni Uyahudi
 
Hapa ni kitu kimoja tuu, malaika wanaoteseka hapa ni weusi.!
Waafrika tunalaana sana.
 
Hiki kitabu nakipataje kikiwa katika lugha ya kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…