DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Uadui Huo unasababishwa na kuambiwa kwamba Viumbe hao ni wabaya kwako na hakuna Kingine..Uadui wetu na viumbe hivyo unasababishwa na nini?
kwahyo Kwakuwa wao wanajua Binadamu anawachukia Ukibahatika Ukakutana nao na Ukagundua wako maeneo yale bhasi na wao wanakudhuru..
Ila wao hawana uadui na wewe Jiulize wanakuona mara ngapi na Wakati wewe Huwaoni? Kama wangeluwa wana uadui na wewe basi wangeshakudhuru hata kabla ya wewe Kuwaona...
Kwa mfano unajua Kuwa Majini na Mapepo (Kwa mujibu wa Wakristo) walikuwa malaika?
Kwa mujibu wa Dini zingine ni viumbe vyenye nguvu sana..
unajua Majini na Mapepo wanakasi sana na wanaweza kwenda Hapa na Sayari zingine kwa Kufumba na Kufumbua (Kwa mujibu wa Vitabu vya Dini).. sasa kama wangekuwa na uadui na Bindamu waneshindwa Nini kuwatekeza binadamu??
Silaha kubwa Ni kulinda Energy yako Binadamu mwenye High vibration na Nishati kubwa sana anaweza kuogopwa na Viumbe Vingine..Tuna silaha ya kupambana navyo?
japo sasa Kuwa na Nishati kubwa sana Kunaweza kutengeneza Pia Vita kubwa Na viumbe Viovu kwa sababu kwao ni kama Tishio..
Unaweza kuungana nao Pia na Hakuna madhara ila tu usiingie mikataba nao maana Watakufanya uwe mtumwa wao Milele na milele mpaka vizazi vyako vitateseka kwa mikataba uliyowekaVipi nikiungana navyo? Kuna madhara gani?