stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.Waongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?
Hakuna wa kumlinganisha na Erick Kabendera, yule ni kichwa, kuandikia the Economist inabidi uwe na hoja. Economist siyo Mzalendo au Uhuru.Huwezi kujadili hoja unamjadili mtu.
Hujui kuwa kwangu mimi hata kusoma uchafu anaoandika Mtanzania ni kumsoma Mtanzania akili yake ikoje.
Nimekuuliza, Kabendera kafanya kazi The Economist Intelligence Unit.
Wewe umeandikwa wapi tukulinganishe naye?
Hujajibu.
Hivi Mohammed Dewji hakukutwa karibu na Ikulu ya Magufuli halafu zikaanza sarakasi za Mambosasa na Sirro?. Magufuli kama huyo aliyepo sasa wote wameshanajisi Ikulu. Huyu mwingine ndiyo kafanya ofisi ya Abdul kufanya deal za madawa ya kulevya na pembe za ndovu.Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.
Watu wasome. Kuamini au kutokuamini ni utashi wa mtuKwahiyo watu wasome na kuamini kuwa Magufuli alimpiga ben Saa nane Risasi ya kichwa ikulu?
Ebu uwe na akili kidogo wewe, aliandika Magufuli ni Dinosaurs of Africa, akakamatwa na kuwekwa gerezani hadi alipotolewa kwa Plea deal ya mamilioni. Amekufa huyo muuaji, sasa ndiyo wakati muafaka wa kuandika kitabu. Wewe umeweza kuandika chochote wewe paka?Alikua wp kukitoa Wakati yupo
Na Kwa nn akotoe Mwaka huu tunaenda kwny Uchaguz...
Mbona km ana confidence sana..
Kufanya mazuri mengi hakuzui kufanya baya kubwa mojaMagufuli,Raisi aliyezoeleka kufanya vizuri mambo mengi under extreme conditions
Kaandika kihuni sana,walau hata angeandika "inasemekana" au "inadhaniwa"lakini kaandika kana kwamba alikuwepo akashuhudia,ni kama tu katafuta namna yake ya kuonesha hasira yake dhidi ya Mwendazake.
Kufanya mazuri mengi hakuzui kufanya baya kubwa moja
Naunga mkono.
Jamaa kaandika ujinga wa hali ya juu.
NdioKifungiwe nje ya nchi? Acha kichekesho.
Iwe alitekwa , alipelekwa au aliitwa .mwandishi athibitishe kuwa Magufuli alimpiga ben Saa nane Risasi ya kichwa.Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.
Kwahiyo wasome hata kama ni Uzushi?Watu wasome. Kuamini au kutokuamini ni utashi wa mtu
Yeye atathibitisha aliyoyaandika mahakamani.Kumbuka hata akienda mahakamani,ni nyie mtakaomshtaki ndo mnatakiwa kuthibitisha kuwa alichoandika sio kweli!so legend ushahidi kuwa alichoandika sio kweli!!
Huyu mwandishi serikali inatakiwa kumalizana nae kihuni tu kama yeye alivyochapisha kitabu chake kihuni.Kuzithibitisha atakwambia mlete Magufuli tumhoji, utaweza kumleta? Kama kweli hilo halikutokea basi serikali ikanushe kwa kutoa reasons ambazo ni reasonable hata mjinga akizisikia done zinafanana na ukweli. Ikinyamaza itakuwa ime endorse hizo allegations.
Kuna siku serikali ilikubali tuhuma za kuwa policcm ni watekaji na wauaji?Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili