Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Waongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?
Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.
 
Huwezi kujadili hoja unamjadili mtu.

Hujui kuwa kwangu mimi hata kusoma uchafu anaoandika Mtanzania ni kumsoma Mtanzania akili yake ikoje.

Nimekuuliza, Kabendera kafanya kazi The Economist Intelligence Unit.

Wewe umeandikwa wapi tukulinganishe naye?

Hujajibu.
Hakuna wa kumlinganisha na Erick Kabendera, yule ni kichwa, kuandikia the Economist inabidi uwe na hoja. Economist siyo Mzalendo au Uhuru.
 
Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.
Hivi Mohammed Dewji hakukutwa karibu na Ikulu ya Magufuli halafu zikaanza sarakasi za Mambosasa na Sirro?. Magufuli kama huyo aliyepo sasa wote wameshanajisi Ikulu. Huyu mwingine ndiyo kafanya ofisi ya Abdul kufanya deal za madawa ya kulevya na pembe za ndovu.
 
Alikua wp kukitoa Wakati yupo

Na Kwa nn akotoe Mwaka huu tunaenda kwny Uchaguz...
Mbona km ana confidence sana..
Ebu uwe na akili kidogo wewe, aliandika Magufuli ni Dinosaurs of Africa, akakamatwa na kuwekwa gerezani hadi alipotolewa kwa Plea deal ya mamilioni. Amekufa huyo muuaji, sasa ndiyo wakati muafaka wa kuandika kitabu. Wewe umeweza kuandika chochote wewe paka?
 
Kaandika kihuni sana,walau hata angeandika "inasemekana" au "inadhaniwa"lakini kaandika kana kwamba alikuwepo akashuhudia,ni kama tu katafuta namna yake ya kuonesha hasira yake dhidi ya Mwendazake.
 
Kaandika kihuni sana,walau hata angeandika "inasemekana" au "inadhaniwa"lakini kaandika kana kwamba alikuwepo akashuhudia,ni kama tu katafuta namna yake ya kuonesha hasira yake dhidi ya Mwendazake.

Wewe una uhakika gani Magufuli akumuua Ben Saanane?
 
Ni kwamba huna akili, ajasema Kuna mtu kauliwa, na mtu fulani, kasema "Maongezi yake na viongozi wa Chadema na WA serikali yanaonyesha" Hakuna Sheria yeyote ya mahakamani ya kumfunga!
 
sioni sababu ya kufukua makaburi tena kwa habari ambazo hazina ushahidi.. mwandishi anataka kugawanyisha watu.. au katumwa manake ata iyo lugha aliyotumia kuandika icho kitabu ni ya watu.. africa mzima tunatakiwa tuheshimu alichofanya magufuli kwasababu alikuwa mwaminifu kwenye rasili mali.. kama tusipo liona hilo basi twendeni arusha tukawafukuze wamasai pamoja ili tujenge game reserve ya kulenga wanyama pale au vip[emoji13][emoji13]
 
Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.
Iwe alitekwa , alipelekwa au aliitwa .mwandishi athibitishe kuwa Magufuli alimpiga ben Saa nane Risasi ya kichwa.
 
Kuzithibitisha atakwambia mlete Magufuli tumhoji, utaweza kumleta? Kama kweli hilo halikutokea basi serikali ikanushe kwa kutoa reasons ambazo ni reasonable hata mjinga akizisikia done zinafanana na ukweli. Ikinyamaza itakuwa ime endorse hizo allegations.
Huyu mwandishi serikali inatakiwa kumalizana nae kihuni tu kama yeye alivyochapisha kitabu chake kihuni.
 
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Kuna siku serikali ilikubali tuhuma za kuwa policcm ni watekaji na wauaji?
 
Back
Top Bottom