stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Hivi alitekwa akapelekwa ikulu au aliitwa ikulu? Hivi mtu aitwe ikulu halafu aende huko kimyakimya bila hata kumwambia mtu yeyote kwamba ameitwa ikulu. Magu alikuwa KATILI SANA. Hakuwa na kifua cha kuwavumilia wakosoaji wake.Waongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?