Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane


..sasa kama Watanzania ni waongo-waongo kwanini unawaamini wanaodai Ridhiwan hakukamatwa na madawa China?
 
Kwani wapi amesema ilikuwa Ikulu?

Mshitakini mahakamani afanyiwe cross examination, tujue mbivu na mbichi, aiymtwe na Samia kutoa ushahidi ahojiwe na yeye.
 
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.

So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda...
 
Akafie mbele...



...Ni Hayo Tu!!
 
Kwani nani kakuambia kaandika hapo tu? Huo ni utangulizi tu. Tafuta kitabu chote na ukisome.

Kabendera ni mwanafunzi wa Ph. D wa King’s College of London moja ya vyuo vikuu bora 20 hapa duniani.

Huyo ni mtafiti wa kweli kweli na sio hao machawa.

Hao Guardian anaowaandikia Ndio gazeti bingwa duniani kwa uchunguzi wa matukio mazito. Wana ujuzi wa kutosha.
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Mtikila alishawahi sema Kikwete ni Gaidi. Akaambiwa atoe ushahidi akasema apelekwe Kikwete ndo shahidi wake namba moja. Ile kesi iliisha. Kikwete ni Gaidi? Patamu hapo.
 
Hilo la Ben Saanane kuuawa ndani ya jumba jeupe sio yeye Kabendera kalianzisha, nilishalisikia sehemu fulani. Ila haikusemwa kama Magu mwenyewe ndiye aliyempiga chuma. Sema yule mwendawazimu alikuwa katili kupita maelezo.
 
Mtikila alishawahi sema Kikwete ni Gaidi. Akaambiwa atoe ushahidi akasema apelekwe Kikwete ndo shahidi wake namba moja. Ile kesi iliisha. Kikwete ni Gaidi? Patamu hapo.
Nasema hivii.

Wampeleke Kabendera mahakamani tujue mbivu na mbichi.

Kikwete kuwa au kutokuwa gaidi haina uhusiano wowote na habari za kitabu cha Kabendera. Logical non sequitur fallacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…