Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?

Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.

Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.

..sasa kama Watanzania ni waongo-waongo kwanini unawaamini wanaodai Ridhiwan hakukamatwa na madawa China?
 
Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?

Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.

Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
Kwani wapi amesema ilikuwa Ikulu?

Mshitakini mahakamani afanyiwe cross examination, tujue mbivu na mbichi, aiymtwe na Samia kutoa ushahidi ahojiwe na yeye.
 
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.

So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda...
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana.kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika hbr kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa,kasikia kijiweni...then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki.angeandika vizuri sana. Bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina.. bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Akafie mbele...

...Ni Hayo Tu!!
 
IMG_7657.jpeg

Kabendera ameshasepa, asingeachia hiko kitabu kama anaishi Tanzania.

Ni mkazi wa UK kwa sasa.
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana.kukamatwa kwake,kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana.kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika hbr kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa,kasikia kijiweni...then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki.angeandika vizuri sana. Bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina.. bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Kwani nani kakuambia kaandika hapo tu? Huo ni utangulizi tu. Tafuta kitabu chote na ukisome.

Kabendera ni mwanafunzi wa Ph. D wa King’s College of London moja ya vyuo vikuu bora 20 hapa duniani.

Huyo ni mtafiti wa kweli kweli na sio hao machawa.

Hao Guardian anaowaandikia Ndio gazeti bingwa duniani kwa uchunguzi wa matukio mazito. Wana ujuzi wa kutosha.
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Mtikila alishawahi sema Kikwete ni Gaidi. Akaambiwa atoe ushahidi akasema apelekwe Kikwete ndo shahidi wake namba moja. Ile kesi iliisha. Kikwete ni Gaidi? Patamu hapo.
 
Hilo la Ben Saanane kuuawa ndani ya jumba jeupe sio yeye Kabendera kalianzisha, nilishalisikia sehemu fulani. Ila haikusemwa kama Magu mwenyewe ndiye aliyempiga chuma. Sema yule mwendawazimu alikuwa katili kupita maelezo.
 
Mtikila alishawahi sema Kikwete ni Gaidi. Akaambiwa atoe ushahidi akasema apelekwe Kikwete ndo shahidi wake namba moja. Ile kesi iliisha. Kikwete ni Gaidi? Patamu hapo.
Nasema hivii.

Wampeleke Kabendera mahakamani tujue mbivu na mbichi.

Kikwete kuwa au kutokuwa gaidi haina uhusiano wowote na habari za kitabu cha Kabendera. Logical non sequitur fallacy.
 
Back
Top Bottom