stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Umeuliza swali la vijana wadogo mkuu. Haya mambo ni magumu. HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI.Nikuulize swali.
Sa99+1 ni mzuri kumzidi mama Janeth?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza swali la vijana wadogo mkuu. Haya mambo ni magumu. HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI.Nikuulize swali.
Sa99+1 ni mzuri kumzidi mama Janeth?
Katika kitu wanasiasa wetu wanajivunia ni tabia ya watanzania wengi kuamini kila wanachokisikiaYeye ndo inatakiwa athibitishe kwamba Samia alitaka kubakwa maana yeye ndo katuhumu
Aisee Wew umekuja na akili za kungwi wakati tunajadili maada za kiume.Umeuliza swali la vijana wadogo mkuu. Haya mambo ni magumu. HAKUNA MWANAMKE MBAYA DUNIANI.
Watu hawaogopi asee.Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Bila shaka amekuelewa. Uzuri upo kwenye jicho la mwangaliaji. Na kuna wanaume ambao mwanamke yeyote ambaye hajampata ni mzuri kwake.Uzuri upo kwenye jicho la muangakiaji.
Na kuna wanaume mwanamke yeyote ambaye hawajampata ni mzuri kuliko yule waliyempata.
Kuna kipindi nilisikia Samia anataka kujiuzulu u Makamu wa Rais, nikafikiri ni beef za kisiasa tu.Watu hawaogopi asee.
Akipelekwa na akishindwa msianze kusema mahakama haikutenda haki….Nasubiria wajichanganye kumpeleka mahakamani ili tujue na yale mengine mengi yaliyo jificha nyuma ya pazia
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.
Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.
Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.
Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.
Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Kwa mahakama hizi zinazoandikiwa hadi hukumu unategemea Kabendera atashinda?Akipelekwa na akishindwa msianze kusema mahakama haikutenda haki….
Kama umeamua kuongelea past, kila kitu kwenye paragraph hiyo inatakiwa kuwa kwenye past tenses. Ukiona kuna mchanganyiko jua Mwandishi sio mzoefu wa lugha.Basi sawa mkuu maana kwa ufahamu wangu wa form 4C nikajua kwamba considering the fact hapo kuna past tenses mbili separated by "and", mwalimu wangu alinifundisha kwamba ilipaswa kuwa "the tension continued amd reach".. sio reached.
Anyways, sio muhimu sana, nilimkumbuka tu mwalimu wangu wa olevel😂
Je kama alimuita ofisini kwake na Samia kuingia kamkuta jamaa ndani ya Pajama?Too funny!
Kuna mwingine kadai kwamba eti Ben Saanane alimezwa na chatu wa Magufuli 🤣.
Yaani Samia alikuwa peke yake huko alikokuwa…..walinzi hawakuwepo….ndugu na jamaa wa Samia hawakuwepo….wafanyakazi hawakuwepo….
So what happened? Samia alimzidi nguvu Magufuli ndo maana hakufanikiwa?
Who believes this crap? Seriously….
Okay, sio ni utaratibu wa ki grammar ukiweka mbali uzoefu??Kama umeamua kuongelea past, kila kitu kwenye paragraph hiyo inatakiwa kuwa kwenye past tenses. Ukiona kuna mchanganyiko jua Mwandishi sio mzoefu wa lugha.
Point kubwa sana.Shida ni kutokufanyia uchunguzi matukio ya kinyama yaliyotokea ktk utawala wa Jpm.
Uchunguzi ungefanyika UKWELI ungejulikana, na taifa lisingeingia katika tuhuma ambazo hazijathibitishwa.
Pita huko kenge mkubwa wewe. Kama una hoja na wewe andika kitabu kusema Magufuli hakumuua Ben Saanane, uweke na ushahidi.Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.
Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.
Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.
Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.
Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Duu, hii noma ndio naisikiaMshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Je, kama hakumuita ofisini kwake?Je kama alimuita ofisini kwake na Samia kuingia kamkuta jamaa ndani ya Pajama?
Nafikiri njia sahihi ni kuhitaji ufafanuzi zaidi wa suala hili kwa kusoma hicho kitabu zaidi.
Siwezi kushangaa Magu kutaka kumbaka makamu. Maana tayari alikuwa anatembea na mawaziri kadhaaa na wengine kawazalisha kama Angela KairukiMshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.