Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane


Ni hivi Kabendera kaandika ukweli, hayo mengine utajua ww.
 
Kama umeamua kuongelea past, kila kitu kwenye paragraph hiyo inatakiwa kuwa kwenye past tenses. Ukiona kuna mchanganyiko jua Mwandishi sio mzoefu wa lugha.
 
Je kama alimuita ofisini kwake na Samia kuingia kamkuta jamaa ndani ya Pajama?

Nafikiri njia sahihi ni kuhitaji ufafanuzi zaidi wa suala hili kwa kusoma hicho kitabu zaidi.
 
Shida ni kutokufanyia uchunguzi matukio ya kinyama yaliyotokea ktk utawala wa Jpm.

Uchunguzi ungefanyika UKWELI ungejulikana, na taifa lisingeingia katika tuhuma ambazo hazijathibitishwa.
Point kubwa sana.

Ukimya wa serikali kwenye hili suala ndii umetufikisha hapa , Ben uzi wake wa mwisho ulikuwa ni kutishiwa kuuwawa na namba iliyomtisha aliiweka hapa hapa je kuna hatua serikali ilichukua?

Jibu ni hakuna, kama serikali haikuchukua hatua basi watu wanaweza kusaka taarifa katika vyanzo wanavyojua wao kama tujuavyo awamu ile sio wote walikuwa wakipenda yaliyokuwa yakiendelea ndio maana ile account ya Kigogo2014 ilikuwa inatoa taarifa kadhaa ambazo zilikuwa ni za chini ya kapeti sana.


Mfano ni taarifa ya kwanza ya Magufuli kuumwa na kulazwa Nairobi wiki ya mwanzoni mwa March 2021 hadi leo serikali haikuwahi kutoa taarifa rasmi katika vyombo vyake ila wapo watu waliokuwa na taarifa hizo na waliujulisha umma hata pale aliporudishwa Tanzania , hata taarifa ya kifo cha Magufuli siku kimetokea kilitolewa huko huko Twitter/ X huku serikali ikiwa inapiga sarakasi kwa kumtumia Majaliwa kuwa rais yuko imara na anachapa kazi ilhali alishafariki na umma unawekwa katika hadaa tu.

Hivyo bado ninaamini Kabendera hajakurupuka pia nitafurahi sana hii issue ikipelekwa mbele zaidi pengine tutajua mengi zaidi toka kwa wahanga wengine na matukio ambayo hatukuwahi kuyafahamu kabisa.
 
Pita huko kenge mkubwa wewe. Kama una hoja na wewe andika kitabu kusema Magufuli hakumuua Ben Saanane, uweke na ushahidi.
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Duu, hii noma ndio naisikia
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Siwezi kushangaa Magu kutaka kumbaka makamu. Maana tayari alikuwa anatembea na mawaziri kadhaaa na wengine kawazalisha kama Angela Kairuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…