Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mnamuona raisi kama mungu vile, kina doto magari wanatimba ikulu na kujisnap na raisi ndo iwe wapinzani wake wenye title nchini..Beni ni mdogo sana mbele ya raisi, mpaka mtu uitwe ikulu ni kazi, kuonana na raisi ni kazi, huoni huo ni uwongo uliokolea? Bila aibu, raisi ainue bunduki na kumpiga mtu risasi!!! Angalau angesema japo hana ushahidi kuwa alituma wasaidizi.
Ungetulia kidogo ungeelewa what i meant by giving that example. Just read between the lines.Nasema hivii.
Wampeleke Kabendera mahakamani tujue mbivu na mbichi.
Kikwete kuwa au kutokuwa gaidi haina uhusiano wowote na habari za kitabu cha Kabendera. Logical non sequitur fallacy.
So it’s pointless.Kwa mahakama hizi zinazoandikiwa hadi hukumu unategemea Kabendera atashinda?
Janet ni mzuri sana huwezi mlinganisha huyu mkojani.Nikuulize swali.
Sa99+1 ni mzuri kumzidi mama Janeth?
Kuna watu wanaamini ndo ujue humu ndani kuna matahira wengi. Unawaza cha kutaka kumbakia yule mama nini? Na wanalala vyumba karibu kiasi gani? Yaani watunzi huwa wanaamini JF wote ni vilaza. Rais kutaka mbaka makamu haiingii akilini hata kidogo.Hahahaa!
Rais alitaka kumbaka makamu wake wa Rais!
Who believes this crap?
We umetisha sana Mama J akikupigia vi mawasiliano vyake vile dah ka smile kwa mbaliiiiJanet ni mzuri sana huwezi mlinganisha huyu mkojani.
Pole sana sheikh wangu. Huwa mkiona tupo humu na nyie mnadhani wote tupo level moja. And we just walk around bragging or showing our academic credintials as if it is something to put in public. Mimi darasa la 2 C. Furahi😁Kabendera ana Phd wewe huna ata diploma ya Socialogy...PhD moja ya msingi ni kufanya research kwa kila hali na Mali
Yule maza ni mzuri jiwe alikuwa anamfuja tu lakini baada ya jiwe kwenda zake mama amekuwa mtamu ajabu.We umetisha sana Mama J akikupigia vi mawasiliano vyake vile dah ka smile kwa mbaliiii
Sina muda mchafu.Ungetulia kidogo ungeelewa what i meant by giving that example. Just read between the lines.
Kuna mambo nahisi jiwe alikua anafanya hakubaliani nayo huyu mazeliYule maza ni mzuri jiwe alikuwa anamfuja tu lakini baada ya jiwe kwenda zake mama amekuwa mtamu ajabu.
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.
Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.
Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.
Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.
Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
😄 Nimekuelewa mkuu tupo pamojaBasi sawa mkuu maana kwa ufahamu wangu wa form 4C nikajua kwamba considering the fact hapo kuna past tenses mbili separated by "and", mwalimu wangu alinifundisha kwamba ilipaswa kuwa "the tension continued amd reach".. sio reached.
Anyways, sio muhimu sana, nilimkumbuka tu mwalimu wangu wa olevel😂
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.
So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Jiwe alikuwa katili hadi kwa familia nzima,ushahidi ni jinsi mama alivyonawiri baada ya jiwe kukata moto. Kuishi na lile jinamizi under one roof ni kipengele sana.Kuna mambo nahisi jiwe alikua anafanya hakubaliani nayo huyu mazeli
Kwani makamu wa Rais naye huwa anaishi Ikulu?Kuna watu wanaamini ndo ujue humu ndani kuna matahira wengi. Unawaza cha kutaka kumbakia yule mama nini? Na wanalala vyumba karibu kiasi gani? Yaani watunzi huwa wanaamini JF wote ni vilaza. Rais kutaka mbaka makamu haiingii akilini hata kidogo.
Kwa maelezo ya story za jamaa siyo tu wanaishi ikulu. Ni kama wanaishi vyumba vinapakana hivi kama hostelies za mabibo. Kisha makamu sometimes anapita na khanga anaenda kuoga.then rais akawa anamendea siku akamwona anapita akaruka naye.ndo makamu akapiga kelele walinzi wakatoka huko chini wakaja msaidia makamu. Kisha rais akarudi kulala akiwa na pajama kinyonge akilaani kukatishwa hilo jambo. Makamu akalia usiku kucha kesho yake akasema anaondoka pale hostel na hataki umakam wa chuo. Wakamshauri hayo mambo madogo yu yeshe.Kwani makamu wa Rais naye huwa anaishi Ikulu?
🤣🤣Kwa maelezo ya story za jamaa siyo tu wanaishi ikulu. Ni kama wanaishi vyumba vinapakana hivi kama hostelies za mabibo. Kisha makamu sometimes anapita na khanga anaenda kuoga.then rais akawa anamendea siku akamwona anapita akaruka naye.ndo makamu akapiga kelele walinzi wakatoka huko chini wakaja msaidia makamu. Kisha rais akarudi kulala akiwa na pajama kinyonge akilaani kukatishwa hilo jambo. Makamu akalia usiku kucha kesho yake akasema anaondoka pale hostel na hataki umakam wa chuo. Wakamshauri hayo mambo madogo yu yeshe.
Ndo jinsi ilivyokuwa.