Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Beni ni mdogo sana mbele ya raisi, mpaka mtu uitwe ikulu ni kazi, kuonana na raisi ni kazi, huoni huo ni uwongo uliokolea? Bila aibu, raisi ainue bunduki na kumpiga mtu risasi!!! Angalau angesema japo hana ushahidi kuwa alituma wasaidizi.
Mnamuona raisi kama mungu vile, kina doto magari wanatimba ikulu na kujisnap na raisi ndo iwe wapinzani wake wenye title nchini..

Na unaambiwa hakuitwa, alidakwa kama kishada.
 
Huyo taahira kabendera anatakiwa hicho kitabu chake kipigwe marufuku na akemewe na watanzania wote wenye akili timamu.
 
Nasema hivii.

Wampeleke Kabendera mahakamani tujue mbivu na mbichi.

Kikwete kuwa au kutokuwa gaidi haina uhusiano wowote na habari za kitabu cha Kabendera. Logical non sequitur fallacy.
Ungetulia kidogo ungeelewa what i meant by giving that example. Just read between the lines.
 
Hahahaa!

Rais alitaka kumbaka makamu wake wa Rais!

Who believes this crap?
Kuna watu wanaamini ndo ujue humu ndani kuna matahira wengi. Unawaza cha kutaka kumbakia yule mama nini? Na wanalala vyumba karibu kiasi gani? Yaani watunzi huwa wanaamini JF wote ni vilaza. Rais kutaka mbaka makamu haiingii akilini hata kidogo.
 
Kabendera ana Phd wewe huna ata diploma ya Socialogy...PhD moja ya msingi ni kufanya research kwa kila hali na Mali
Pole sana sheikh wangu. Huwa mkiona tupo humu na nyie mnadhani wote tupo level moja. And we just walk around bragging or showing our academic credintials as if it is something to put in public. Mimi darasa la 2 C. Furahi😁
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.

Ameandika kama yale magazeti ya udaku. Kwa sentesi kama zile anaweza kuburuzwa mahakamani na akapata tabu sana.

Nakubaliana na wewe, anahitaji msaada wa kisaikolojia na hata kiakili ili ajue kwamba, maisha lazima yaendelee.

Kitu ambacho hapaswi kusahau ni kuwa SYSTEM, ipo na bado kwa kiwango kikubwa ni ile ile. Namkumbusha tu, anayedhani amesimama, aangalie asianguke.

Mifano ipo mingi sana ya kudhani ya jana yameisha jana, kumbe yanaendelea mpaka mwisho wa dahari.
 
Basi sawa mkuu maana kwa ufahamu wangu wa form 4C nikajua kwamba considering the fact hapo kuna past tenses mbili separated by "and", mwalimu wangu alinifundisha kwamba ilipaswa kuwa "the tension continued amd reach".. sio reached.

Anyways, sio muhimu sana, nilimkumbuka tu mwalimu wangu wa olevel😂
😄 Nimekuelewa mkuu tupo pamoja
 
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.

So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe

Kila mtu siku hizi anajifanya mtu wa system na anajua kila kinachoendelea nyuma ya pazia. Sio kweli na hakuna mtu anayejua kila kitu, hata awe nani.
Ndio maana kuna wakati tuliona Rais akilia alipoona jeneza la waziri mkuu wake. Hakujua nini kilitokea. Kuna wakatipia tuliona Rais akitaka kuzidiwa kete na waziri mkuu mstaafu ili amtoe uenyeketi kwa hoja ya kumpunguzia madaraka.
Kiufupi, tuache kupiga story za kutunga na kutuaminisha ni za kweli
 
Nashauri tafuteni kitabu na mkisome chote then ndo mje na hoja za kipi ni kweli na kipi si kweli.

Nijuavyo mimi kuna watu wengi ambao walikuwa na taarifa za JPM na matukio ya wakati huo ambao hawakuwa wanapendezwa nayo na hawakuwa na namna ya kuyasema.

Fursa ya kitabu cha kabendera ilipopatikana wakatema nyongo zao ili watu wajue ukweli.

Mkisoma kitabu chote mtakuwa na nafasi nzuri ya kuelewa na kukosoa
 
Kwani makamu wa Rais naye huwa anaishi Ikulu?
Kwa maelezo ya story za jamaa siyo tu wanaishi ikulu. Ni kama wanaishi vyumba vinapakana hivi kama hostelies za mabibo. Kisha makamu sometimes anapita na khanga anaenda kuoga.then rais akawa anamendea siku akamwona anapita akaruka naye.ndo makamu akapiga kelele walinzi wakatoka huko chini wakaja msaidia makamu. Kisha rais akarudi kulala akiwa na pajama kinyonge akilaani kukatishwa hilo jambo. Makamu akalia usiku kucha kesho yake akasema anaondoka pale hostel na hataki umakam wa chuo. Wakamshauri hayo mambo madogo yu yeshe.


Ndo jinsi ilivyokuwa.
 
Kwa maelezo ya story za jamaa siyo tu wanaishi ikulu. Ni kama wanaishi vyumba vinapakana hivi kama hostelies za mabibo. Kisha makamu sometimes anapita na khanga anaenda kuoga.then rais akawa anamendea siku akamwona anapita akaruka naye.ndo makamu akapiga kelele walinzi wakatoka huko chini wakaja msaidia makamu. Kisha rais akarudi kulala akiwa na pajama kinyonge akilaani kukatishwa hilo jambo. Makamu akalia usiku kucha kesho yake akasema anaondoka pale hostel na hataki umakam wa chuo. Wakamshauri hayo mambo madogo yu yeshe.


Ndo jinsi ilivyokuwa.
🤣🤣

Na watu ndo wanataka tuamini huo upuuzi?
 
Back
Top Bottom