Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.
Huyo mama, mimi tu sina hela wala madaraka lakini siwezi kwenda kumbaka, si bora nichukue kitoto cha afumbili?

Kwa JPM, hata kwenye cabinet lake zilikuwepo pisi kama Angela na Ummy (sijataja ubini , nimeshauriwa na mwanasheria), mbali na wafanyakazi wengine wengi serikalini, ambao ni visu... yaani awaache hao, aende akambake mshangazi wa watu, tena ustaadath?
It doesn't make sense.
 
Beni ni mdogo sana mbele ya raisi, mpaka mtu uitwe ikulu ni kazi, kuonana na raisi ni kazi, huoni huo ni uwongo uliokolea? Bila aibu, raisi ainue bunduki na kumpiga mtu risasi!!! Angalau angesema japo hana ushahidi kuwa alituma wasaidizi.
What if he meant to create fear and deterrence to the opposition youth??..
 
Kwenye kuhakiki habari tunaangalia ushahidi wa nje ya kitabu.

Kwa ushahidi wa nje ya kitabu, Magufuli kashawahi kumbaashia Samia waziwazi, mchana kweupee.

Kauli kama zile za Magufuli kumbaashia Samia ingawa hazithibitishi kuwa Magufuli alitaka kumbaka Samia, ila pia, hazisaidii utetezi kwamba Magufuli alikuwa anataka kumbaka Samia.

Magufuli alikuwa anabaashia wanawake kwenye hotuba waziwazi.

This doesn't help him.
Ebanawee thibitisha haya maelezo
 
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;

Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?

Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Labda alifukuza walinzi ili akabake 😹
Kuna vitu vinachekesha sana, sema jiwe alikuwa jiwe kweri kweri hashindwi..!!
 
Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wakeo uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru

Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao

Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege

Mlale unono😀
Usifananishe mbege na mambo yenu ya kijinga!!
kutwa kuchwa mnajadili kitu hicho hicho.
 
Back
Top Bottom