Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.
Hawa madogo hawataki hata kufikiria...wamegoma kabisa. Wanabeba kila kitu wanakishabikia. Rais alikuwa na uwezo wa kuwa na wanawake wazuri kirahisi. Akabake mtu mzima tena Makamu? Walikuwa wanaishi room moja? Hawa madogo wanatuona sisi vilaza sana.
 
Hafai kabsa huyo boya,

Hajui kuwa magufuli bado anaishi dani ya damu za watanzania wote wenye akili timamu tu.
 
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;

Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?

Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?

Too funny!

Kuna mwingine kadai kwamba eti Ben Saanane alimezwa na chatu wa Magufuli 🤣.

Yaani Samia alikuwa peke yake huko alikokuwa…..walinzi hawakuwepo….ndugu na jamaa wa Samia hawakuwepo….wafanyakazi hawakuwepo….

So what happened? Samia alimzidi nguvu Magufuli ndo maana hakufanikiwa?

Who believes this crap? Seriously….
Unafikiri mwenye amri ya mwisho nchi hii ni nani? Rais akimwambia makamu wa rais leo tunakazi ya kufanya usiku unadhani makamu atakataa?
 
Hawa madogo hawataki hata kufikiria...wamegoma kabisa. Wanabeba kila kitu wanakishabikia. Rais alikuwa na uwezo wa kuwa na wanawake wazuri kirahisi. Akabake mtu mzima tena Makamu? Walikuwa wanaishi room moja? Hawa madogo wanatuona sisi vilaza sana.
Huyo pumbavu amehakikisha amepata uraia wa UK kabla ya ku release haya matapu tapu yake. A book with full of fallacy stories.
 
Kuna watu mko wagumu sana kusoma picha.

Sasa ngoja nikujulishe leo ili kuokoa brain cells zako.

Hivi miaka yote hii hujagundua tu kwamba nilisha ku ignore? Mara ngapi unanikuu na mimi wala sikujibu?

Nawe hata kustuka tu kwamba huenda huyu jamaa kani ignore, hakuna?

Sasa sikiliza. I ignored you for a reason.

Usijihangaishe tena kuninukuu maana I’m going back to ignoring you.

Nimeamua tu nikujibu hapa maana nimeona hata hustukii kwamba nimeku ignore.

Don’t bother engaging me. Just mind your own business.

Your opinions are irrelevant to me.

Hope that helps. Back to ignoring you.

View attachment 3190911
Hata ukini ignore who cares, hiyo hainihusu. Unadhani mimi nipo hapa kutafuta attention? Mimi nipo hapo kwa ajili ya kusoma michango ya watu ukiwemo wewe.
Labda uache kuandika, kinyume na hapo utaishia kuji ignore mwenyewe tu na dead brain yako.

Rudi kavae tena kanga zenye maneno ya mipasho urudi hapa, tena safari hii jimwagie maji kabisa.
 
Mtanzania halisi hawezi kufurahia kuona damu zikimwagika. Sisi tuliosoma miaka hiyo Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea na kupinga Udikteta hatuwezi Kuvumilia tunayoyaona na kusikia na uzee huu. Hatukuzoea haya maisha kabisa. Kuna familia zimeumizwa kwa kupoteza wapendwa wao na hawakuwazika. Wamepoteza fedha na mali zao wakaachwa maskini kupitia plea bargain ambayo fedha na mali zake ni utata. Enzi zetu zile ukileta za kule unawekwa kizuizini na mifano IPO sitaki kuitaja. Rudini kwenye historia ya hii nchi. Nchi hii tumefunga mikanda mpaka ikaitwa nchi ya Amani. Leo hii tunashika headlines za vyombo vya habari duniani kwa mambo ambayo ni aibu . Laiti angefufuka muasisi wa Tanzania angeomba afe na asifufuke tena maana ambayo angeyaona na kuyasikia angefikiri tuko nchi nyingine na siyo ile nchi ya Amani aliyoijenga miaka zaidi ya 30.
 
Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?

Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.

Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
Mkuu Umeandi💪 Hao ndio wabongo sasa
 
Back
Top Bottom