Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchunguzi ufanyike ukweli uanikwe. Otherwise hizi tuhuma kila aliye na nafasi atazitoa akiwa nje ya nchi.Shida ni kutokufanyia uchunguzi matukio ya kinyama yaliyotokea ktk utawala wa Jpm.
Uchunguzi ungefanyika UKWELI ungejulikana, na taifa lisingeingia katika tuhuma ambazo hazijathibitishwa.
Hawa madogo hawataki hata kufikiria...wamegoma kabisa. Wanabeba kila kitu wanakishabikia. Rais alikuwa na uwezo wa kuwa na wanawake wazuri kirahisi. Akabake mtu mzima tena Makamu? Walikuwa wanaishi room moja? Hawa madogo wanatuona sisi vilaza sana.Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.
His claims are totally absurd !Kabendera comes across as unhinged with his preposterous claims!
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;
Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?
Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Unafikiri mwenye amri ya mwisho nchi hii ni nani? Rais akimwambia makamu wa rais leo tunakazi ya kufanya usiku unadhani makamu atakataa?Too funny!
Kuna mwingine kadai kwamba eti Ben Saanane alimezwa na chatu wa Magufuli 🤣.
Yaani Samia alikuwa peke yake huko alikokuwa…..walinzi hawakuwepo….ndugu na jamaa wa Samia hawakuwepo….wafanyakazi hawakuwepo….
So what happened? Samia alimzidi nguvu Magufuli ndo maana hakufanikiwa?
Who believes this crap? Seriously….
Huyo pumbavu amehakikisha amepata uraia wa UK kabla ya ku release haya matapu tapu yake. A book with full of fallacy stories.Hawa madogo hawataki hata kufikiria...wamegoma kabisa. Wanabeba kila kitu wanakishabikia. Rais alikuwa na uwezo wa kuwa na wanawake wazuri kirahisi. Akabake mtu mzima tena Makamu? Walikuwa wanaishi room moja? Hawa madogo wanatuona sisi vilaza sana.
Ila kumchafua ndo kunasaidia eh?Haisaidii kitu kumsafisha mungu wenu wa chato , dikteta uchwara
Isee jamani mbona mambo yanazidi kuwa moto humu..Siwezi kushangaa Magu kutaka kumbaka makamu. Maana tayari alikuwa anatembea na mawaziri kadhaaa na wengine kawazalisha kama Angela Kairuki
Hata ukini ignore who cares, hiyo hainihusu. Unadhani mimi nipo hapa kutafuta attention? Mimi nipo hapo kwa ajili ya kusoma michango ya watu ukiwemo wewe.Kuna watu mko wagumu sana kusoma picha.
Sasa ngoja nikujulishe leo ili kuokoa brain cells zako.
Hivi miaka yote hii hujagundua tu kwamba nilisha ku ignore? Mara ngapi unanikuu na mimi wala sikujibu?
Nawe hata kustuka tu kwamba huenda huyu jamaa kani ignore, hakuna?
Sasa sikiliza. I ignored you for a reason.
Usijihangaishe tena kuninukuu maana I’m going back to ignoring you.
Nimeamua tu nikujibu hapa maana nimeona hata hustukii kwamba nimeku ignore.
Don’t bother engaging me. Just mind your own business.
Your opinions are irrelevant to me.
Hope that helps. Back to ignoring you.
View attachment 3190911
Siku nyingi umepotea kabisa humuUfunuo wa Yohana 14:13
Kwa hio alimgonga mpaka ushungi?Isee jamani mbona mambo yanazidi kuwa moto humu..
Unasema alimgonga mpaka ushungi?Siwezi kushangaa Magu kutaka kumbaka makamu. Maana tayari alikuwa anatembea na mawaziri kadhaaa na wengine kawazalisha kama Angela Kairuki
Mkuu Umeandi💪 Hao ndio wabongo sasaSwali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?
Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.
Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
Una point hapa leo nimekuelewa mkuuNasema hivii.
Wampeleke Kabendera mahakamani tujue mbivu na mbichi.
Kikwete kuwa au kutokuwa gaidi haina uhusiano wowote na habari za kitabu cha Kabendera. Logical non sequitur fallacy.