Ule utawala wa magufuli kuna namna unatamani kucheka tuTatizo hujawahi kufikishwa alikokuwa.. But your day will come. Who knows
Here are others
View attachment 3190863
Kumbe ni hii vuta bhange... AsameheweView attachment 3190848
TF!!
Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.
With a look like that, his credibility is shot from the jump.
Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?
Loser in every way.
🤣Kumbe ni hii vuta bhange... Asamehewe
...Ni hayo tu!!
Hoja au viroja?Mumeshindwa kujibu hoja zake mnamshambulia yeye upuuzi mtupu.
Subhanallah akampitia kwa nyumaAlimtolea kauli fulani za kibashabasha kwamba Samia mzuri kama vile nyuma ya pazia anaweza kumpitia.
Madogo mnaongea nini humu kwa hio mnataka kusemaje hapo?Hii ya magufuli kutaka kumbaka Samia ni utoto huu ameandika. Labda angesema alitaka kumpiga inge-make sense.
Fafanua vizuri hapo wanampandisha vipi?Kwa mfumo dume uliopo Afrika, kama mkeo ni mwanasiasa, na anapanda madaraja kila wakati. Fahamu tu kwamba kuna WATU wanaompandisha.
Huyo mama, mimi tu sina hela wala madaraka lakini siwezi kwenda kumbaka, si bora nichukue kitoto cha afumbili?Yani Magufuli abake mtu mzima kama Samia? That case is beyond hatred. Out of all girls aliokuwa na access nao achague kubaka mtu mzima.
Uozo mtupuu...Huyo pumbavu amehakikisha amepata uraia wa UK kabla ya ku release haya matapu tapu yake. A book with full of fallacy stories.
Uchunguzi ufanyike ukweli uanikwe. Otherwise hizi tuhuma kila aliye na nafasi atazitoa akiwa nje ya nchi.
Inashangaza sana kuona mtu kama Nyani Ngabu anatetea mtu ambae kuna ushahidi usiotiliwa shaka kuwa alikuwa katili na muuaji.Ukabila ndo unakutoa akili. Magu alikua katili, na emotionally unstable, deal with it
What if he meant to create fear and deterrence to the opposition youth??..Beni ni mdogo sana mbele ya raisi, mpaka mtu uitwe ikulu ni kazi, kuonana na raisi ni kazi, huoni huo ni uwongo uliokolea? Bila aibu, raisi ainue bunduki na kumpiga mtu risasi!!! Angalau angesema japo hana ushahidi kuwa alituma wasaidizi.
Hiyo picha ni wakati akiwa kizuizini unafikiri lupango ni sawa na 5 🌟 Hotel? Magufuli aliikuwa muuaji hilo hamuwezi kumsafisha.Hoja au viroja?
Look at him…
Ebanawee thibitisha haya maelezoKwenye kuhakiki habari tunaangalia ushahidi wa nje ya kitabu.
Kwa ushahidi wa nje ya kitabu, Magufuli kashawahi kumbaashia Samia waziwazi, mchana kweupee.
Kauli kama zile za Magufuli kumbaashia Samia ingawa hazithibitishi kuwa Magufuli alitaka kumbaka Samia, ila pia, hazisaidii utetezi kwamba Magufuli alikuwa anataka kumbaka Samia.
Magufuli alikuwa anabaashia wanawake kwenye hotuba waziwazi.
This doesn't help him.
Labda alifukuza walinzi ili akabake 😹Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;
Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?
Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
buza kwa lulenge gentleman 🐒Mbege iko wapi jamani, maana napenda sana.
Ushahidi toka Ikulu anaupataje ili kuidhihirishia mahakama?Je kama alimuita ofisini kwake na Samia kuingia kamkuta jamaa ndani ya Pajama?
Nafikiri njia sahihi ni kuhitaji ufafanuzi zaidi wa suala hili kwa kusoma hicho kitabu zaidi.
Ebanaeee thibitisha hii tuhumaMshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kabendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Usifananishe mbege na mambo yenu ya kijinga!!Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wakeo uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀