Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Hiki kitabu au gazeti la kufungia vitumbua.
 
Hayo yote tumbishie Kabendera kwa kutuchafulia regase.
Kabendera anafunika uchafuzi wa Chadema Ili Tundu Lisu apite kiulaini

Wiki hii anajadiliwa Ben

Wiki Ijayo utaanzishwa Mjadala wa Chacha Wangwe

Na wiki ya Mwisho itakuwa Mjadala wa Mohamed Kibao

Nyepesi ana Akili kuliko Wanywa mbege wote hapo Chadema πŸ˜„πŸ˜„
 
Ngoja tuone kama mbege tunaweza kunywa na vibama au na bagia za Wasa au Kalenga.
 
.......usipaparuke....Ben yu wapi ? Kwelialikula shaba na mwamba mwenyewe kisa phD ?
 
.......usipaparuke....Ben yu wapi ? Kwelialikula shaba na mwamba mwenyewe kisa phD ?
Kubenea alishasema Ben alipo huko kwenye Maktaba za Chadema

Kigogo 2014 kasema mara ya Mwisho Ben aliingia ofisini Kwa Dr Slaa hapo Ufipa st na hajaonekana tena huku chama kikigoma kumtafuta
 
Hatari kweli kweli
 
Daaaaasss hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…