Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Hayo ni maneno ya Erick Kabendera ambaye anasema aliongea na watu walioshuhudia tukio hilo. Mambo hayo aliyasema wakati akitoa "teaser" ya kitabu chake "IN THE NAME OF THE PRESIDENT" ambacho kinaelezea madhila ya utawala wa awamu ya tano

Kwa uhondo zaidi wa habari hii, nenda kanunue kitabu.

Lakini aliyasema wapi, ni katika ukurasa wa YouTube wa Ghassan, pita huko fasta.
View attachment 3191201
Hiki kitabu au gazeti la kufungia vitumbua.
 
Hayo yote tumbishie Kabendera kwa kutuchafulia regase.
Kabendera anafunika uchafuzi wa Chadema Ili Tundu Lisu apite kiulaini

Wiki hii anajadiliwa Ben

Wiki Ijayo utaanzishwa Mjadala wa Chacha Wangwe

Na wiki ya Mwisho itakuwa Mjadala wa Mohamed Kibao

Nyepesi ana Akili kuliko Wanywa mbege wote hapo Chadema 😄😄
 
Ngoja tuone kama mbege tunaweza kunywa na vibama au na bagia za Wasa au Kalenga.
 
Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru

Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao

Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege

Mlale unono😀
.......usipaparuke....Ben yu wapi ? Kwelialikula shaba na mwamba mwenyewe kisa phD ?
 
Kubenea alishasema Ben alipo huko kwenye Maktaba za Chadema

Kigogo 2014 kasema mara ya Mwisho Ben aliingia ofisini Kwa Dr Slaa hapo Ufipa st na hajaonekana tena huku chama kikigoma kumtafuta
 
Hayo ni maneno ya Erick Kabendera ambaye anasema aliongea na watu walioshuhudia tukio hilo. Mambo hayo aliyasema wakati akitoa "teaser" ya kitabu chake "IN THE NAME OF THE PRESIDENT" ambacho kinaelezea madhila ya utawala wa awamu ya tano

Kwa uhondo zaidi wa habari hii, nenda kanunue kitabu.

Lakini aliyasema wapi, ni katika ukurasa wa YouTube wa Ghassan, pita huko fasta.
View attachment 3191201
Hatari kweli kweli
 
Daaaaasss hatariiii
 
Back
Top Bottom