kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Magufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka mada ya 21st January fungua thread yako baki nayo sisi tunaendelea na thread iliyofunguliwa na wenye akili.Acheni kututoa kwenye mjadala wa kitaifa...
21st January.
Hizi nonsense nendeni nazo huko vijiweni. Matako yenu
Swaga tu zile hata mbowe alikuwa akitoka pale biotii anakuja na " mguu wa kuku" hadi kwenye Disco kumbe ndani hauna moto 😂😂😂Na ndiyo hivyo kwenye meza ikulu kulikuwa na bastola mezani.Ni mumo kwa pale.
Haihusiani na hii mada. Anzisha uzi wako kuzungumzia hiloMagufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Happy New Year mkuu 😄Kuna kitabu kinaitwa PRESIDENTIAL PARADOX,kisome wameandika yote mpaka mfumo wa ulinzi wa Rais na mipaka yake ktk matumizi ya silaha
Hiki kitabu au gazeti la kufungia vitumbua.Hayo ni maneno ya Erick Kabendera ambaye anasema aliongea na watu walioshuhudia tukio hilo. Mambo hayo aliyasema wakati akitoa "teaser" ya kitabu chake "IN THE NAME OF THE PRESIDENT" ambacho kinaelezea madhila ya utawala wa awamu ya tano
Kwa uhondo zaidi wa habari hii, nenda kanunue kitabu.
Lakini aliyasema wapi, ni katika ukurasa wa YouTube wa Ghassan, pita huko fasta.
View attachment 3191201
Hayo yote tumbishie Kabendera kwa kutuchafulia regase.Swaga tu zile hata mbowe alikuwa akitoka pale biotii anakuja na " mguu wa kuku" hadi kwenye Disco kumbe ndani hauna moto 😂😂😂
Kabendera anafunika uchafuzi wa Chadema Ili Tundu Lisu apite kiulainiHayo yote tumbishie Kabendera kwa kutuchafulia regase.
Ngoja tuone kama mbege tunaweza kunywa na vibama au na bagia za Wasa au Kalenga.Kabendera anafunika uchafuzi wa Chadema Ili Tundu Lisu apite kiulaini
Wiki hii anajadiliwa Ben
Wiki Ijayo utaanzishwa Mjadala wa Chacha Wangwe
Na wiki ya Mwisho itakuwa Mjadala wa Mohamed Kibao
Nyepesi ana Akili kuliko Wanywa mbege wote hapo Chadema 😄😄
Ulishachunguza ukajua una kichwa au una helmet? Hujui tofauti ya kitabu na gazeti?Hiki kitabu au gazeti la kufungia vitumbua.
Iko siku JPM mwingine atakuja tu 🙏Magufuli atabaki midomoni mwa watu mpaka kiama ndio raisi aliyefanya mageuzwi makubwa kwa wazembe na mafisadi katika karne hii ya kuogopana na kuleana!
Chadema mlikosea sana kumfukuza Mwami wa Kigoma Ujiji 😂😂😂😂Ngoja tuone kama mbege tunaweza kunywa na vibama au na bagia za Wasa au Kalenga.
Ngojera za chizi mmojaHiki kitabu au gazeti la kufungia vitumbua.
Walikosea CHADEMA (labda)!Mimi nilikuwa Tagamenda navuna mikusu enzi hizo.Chadema mlikosea sana kumfukuza Mwami wa Kigoma Ujiji 😂😂😂😂
.......usipaparuke....Ben yu wapi ? Kwelialikula shaba na mwamba mwenyewe kisa phD ?Hii ni kanuni duniani kote Kwa sababu akitembea na " bastola hai" maana yake Usalama wake uko mashakani Kwa yeye mwenyewe kuweza kujizuru
Watawala wa kijeshi hutembea na Silaha kwa sababu Wao huwa Juu ya Katiba za nchi zao
Sidhani kama Retired ataelewa maana ana kaubongo ka mbege
Mlale unono😀
Kubenea alishasema Ben alipo huko kwenye Maktaba za Chadema.......usipaparuke....Ben yu wapi ? Kwelialikula shaba na mwamba mwenyewe kisa phD ?
Hatari kweli kweliHayo ni maneno ya Erick Kabendera ambaye anasema aliongea na watu walioshuhudia tukio hilo. Mambo hayo aliyasema wakati akitoa "teaser" ya kitabu chake "IN THE NAME OF THE PRESIDENT" ambacho kinaelezea madhila ya utawala wa awamu ya tano
Kwa uhondo zaidi wa habari hii, nenda kanunue kitabu.
Lakini aliyasema wapi, ni katika ukurasa wa YouTube wa Ghassan, pita huko fasta.
View attachment 3191201
Swali lenye kukera sana wana-regase........usipaparuke....Ben yu wapi ? Kwelialikula shaba na mwamba mwenyewe kisa phD ?
Daaaaasss hatariiiiHayo ni maneno ya Erick Kabendera ambaye anasema aliongea na watu walioshuhudia tukio hilo. Mambo hayo aliyasema wakati akitoa "teaser" ya kitabu chake "IN THE NAME OF THE PRESIDENT" ambacho kinaelezea madhila ya utawala wa awamu ya tano
Kwa uhondo zaidi wa habari hii, nenda kanunue kitabu.
Lakini aliyasema wapi, ni katika ukurasa wa YouTube wa Ghassan, pita huko fasta.
View attachment 3191201