Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kuna mtu anayepinga kuwa serikali iliyopita na hii ya sasa ni ya wauaji? Ebu wewe acha ujinga wako, Aliyepo sasa madarakani naye hana tofauti na aliyepita....both were trigger happy! Azory Gwanda alichukulia na Landcruiser nyeupe mpaka leo hakuonekana, Ben Saanane baada ya kuhoji uhalali wa Ph.D ya Magufuli akatekwa wakati akitoka kwake asubuhi kwenda kazini.......Magufuli ana Ph.D ya UDSM ambayo ni ya mchongo. Mtu mwenye Ph.D hata kuzungumza sentence ya English hakuweza, sasa hiyo Ph.D thesis au Dissertation yake ilikuwa kwa lugha ya Kiswahili au Kisukuma? Wewe acha kutetea uovu, Lissu amepigwa risasi za kutosha mbele ya eneo la wakubwa na walinzi wapo....alikamatwa mtu? Mohammed Dewji hakutekwa akapatikana karibia na ikulu, aliongea nini alipopatikana na hizo sarakasi zote? Vipi kuhusu Ali Kibao aliyeokotwa Ununio?acha upumbavu wako wewe mjinga. Hiki kitabu kitauzwa, labda mkizuie huko ndani, hamna ubavu wa kukizuia huko nje. Serikali ya sasa ya Tanzania na iliyopita ni ya wauaji. Nashangaa huyo Samia hafanyi lolote bali anaendelea kuteka na kupoteza watu. Watu tuna haki ya kuishi kama yeye anavyoishi na familia yake, mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu ni Mwenyezi Mungu pekee siyo mama huyo dikteta wa Kizimkazi au mwendazake. Mungu ni Mwema.
 
kiingereza cha kabendera kiko na shida wakuu
Nyani Ngabu
Duh!

Jamaa kaandika kwamba Magufuli mwenyewe ndiye aliyempiga risasi ya kichwa Ben Saanane?

Hayo ni madai makubwa sana yanayohitaji ushahidi madhubuti.

Familia ya Magufuli ikiyaachia haya madai bila kufungua kesi na kumshitaki huyo mwandishi, itakuwa ni uzembe wa hali ya juu sana au hayo madai yatakuwa na ukweli.

Kumtuhumu Rais wa nchi kumuua mtu kwa kumpiga risasi ya kichwa si jambo dogo.
 

..kabendera amefanya utafiti.

..mnaompinga fanyeni utafiti mje na ushahidi kupinga madai ya kabendera.
 
Alikua wp kukitoa Wakati yupo

Na Kwa nn akotoe Mwaka huu tunaenda kwny Uchaguz...
Mbona km ana confidence sana..
 
Sawa Prof
 
Sawa Pro
jpm alikuwa lucipher maana alikua muuaji ambae ni mtu wa kwanza tz kuua watu wengi
🤣
 
Ni uzushi ambao hawa wageni wanaleta toka huko kwao,
Chuki walianza huko hivi hivi wakauana sana miaka hiyo wakakimbilia hapa tukawapokea ndio mbegu hizi zinaendelea kuchonganisha Watz mapoyoyo yasiyojielewa.
Rais hana haja ya kujishughulisha na huyo mtoto,
Huyo ni kimbelembele kaingia anga za watu wakatembea nae huko mtaani.
Hakuwa hata na hadhi kupelekwa ikulu.
Zulma, kuropoka hovyo, ulevi,na kuna vyeo alikua navyo huko saccos na akaanza kumtishia hadi bosi wake.
So hatujui kilichofata.
 
Hii ndio report ya polisi?
 
Ni mtoto gani unaona aliachwa mwenye akili ya kubeba hilo jambo? Labda yule Mkurugenzi.
 
Yeye anaishi wapi?
Miaka hii unazuiaje kitabu
 
Kukifungia itakuwa ni kukipa promo watu wakitafute dawa ni kumshtaki tu na alete ushahidi!
 
Hii nchi ina siri nzito hayo alichoandika ni kidogo sana.
Juzi kijana kachoma picha ya raisi leo haonekani katekwa na watu wasiojulikana.
Uchuguzi umeisha watu wasiojulikana wakiwa na bunduki wamemteka mtoto wa watu stendi ya Magufuli mchana. Wamemrudisha akiwa hoi hakuna kesi wala nini.
Alichoandika nina uhakika 100% Magu alihusika kwasabau sheria, mahakama, magereza yapo kwa ajili ya watu wanaovunja sheria
Kama haujauwawa na magu tuombe Ben yupo wapi?
Ngoja na mimi nikikununue nisipitwe. Bado cha uzo wa Saa100 na magenge ya kijani yasiyojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…