Field Marshall 11
Senior Member
- Nov 28, 2024
- 130
- 162
Kuna mtu anayepinga kuwa serikali iliyopita na hii ya sasa ni ya wauaji? Ebu wewe acha ujinga wako, Aliyepo sasa madarakani naye hana tofauti na aliyepita....both were trigger happy! Azory Gwanda alichukulia na Landcruiser nyeupe mpaka leo hakuonekana, Ben Saanane baada ya kuhoji uhalali wa Ph.D ya Magufuli akatekwa wakati akitoka kwake asubuhi kwenda kazini.......Magufuli ana Ph.D ya UDSM ambayo ni ya mchongo. Mtu mwenye Ph.D hata kuzungumza sentence ya English hakuweza, sasa hiyo Ph.D thesis au Dissertation yake ilikuwa kwa lugha ya Kiswahili au Kisukuma? Wewe acha kutetea uovu, Lissu amepigwa risasi za kutosha mbele ya eneo la wakubwa na walinzi wapo....alikamatwa mtu? Mohammed Dewji hakutekwa akapatikana karibia na ikulu, aliongea nini alipopatikana na hizo sarakasi zote? Vipi kuhusu Ali Kibao aliyeokotwa Ununio?acha upumbavu wako wewe mjinga. Hiki kitabu kitauzwa, labda mkizuie huko ndani, hamna ubavu wa kukizuia huko nje. Serikali ya sasa ya Tanzania na iliyopita ni ya wauaji. Nashangaa huyo Samia hafanyi lolote bali anaendelea kuteka na kupoteza watu. Watu tuna haki ya kuishi kama yeye anavyoishi na familia yake, mwenye haki ya kutoa uhai wa mtu ni Mwenyezi Mungu pekee siyo mama huyo dikteta wa Kizimkazi au mwendazake. Mungu ni Mwema.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239