Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Mkuu ni Kweli kabisa Serikali ikipige marufuku kitabu hiki kisionekane mtaani hata kama it is too late! Habari imeshajulikana kwa wananchi huenda hata nje ya nchi.
 
Mkuu ni Kweli kabisa Serikali ikipige marufuku kitabu hiki kisionekane mtaani hata kama it is too late! Habari imeshajulikana kwa wananchi huenda hata nje ya nchi.
Wewe ndiyo unajua leo? Hiyo inajulikana hata kupigwa risasi Lissu ulikuwa mpango wake.
Watu walikaa kimya kwasababu kuna genge la kijani wasiojulikana wanakuchukua muda wowote.
Kijana wa watu kachoma picha tu wamemteka Wanafikiri wao wataishi milele
 
Hicho kitabu kingekuwa kinaituhumu serikali ya sasa kutokana na kifo cha mzee Kibao au kupotezwa kwa kina Soka na wenzake, mwandishi ndiyo angechukuliwa hatua ila kwasasa hilo haliwezi kutokea. Kila mmoja atumie tu utimamu wake kuona ukweli au uongo wa mwandishi.
 
Amesema chanzo ni kutoka kwa top government officials na opposition leaders, nadhani anaweza kuthibitisha hilo kwa vyombo husika. Serikali ikimnyamazia basi Wananchi tutajua imemtuma achapishe hicho kitabu.
Ninyi ndio wapumbavu mnapofusha watu. Hamtaki kukubali kama Taifa tulipata kuwa Rais muuaji. Itabidi mkubaliane na hilo japo mlikuwa brainwashed na propaganda zake za kidikteta. Uyasikiayo na uyatendayo hata ukienda Rwanda utayasikia na Kagame anawafuasi kama ulivyo wewe kwa Magufuli.

Usitumie nadharia ya Magufuli kafa hawezi kujitetea, hebu ona kina Makonda wametajwa live, na laiti hasingelihusika na msala wa Tundu Lisu, kwa haiba ya wanasiasa saa hii tungesikia kesi kubwa ya defamation mahakamani. Lakini Makonda hachagui kwenda mahamani a najua, kwenda huko ni kwenda kujihaibisha kabisa.
 
Cool down Amigo
Nani anauwezo wa kuzuia nje ya nchi?
Wazungu wanasema closing the gate after the horses have escaped, kitabu kikiishafika mitandaoni hakifutiki ng'o labda kwenye computer yako (kama unayo)
 
Wewe ndiye uliyemsaidia kumpiga risasi Ben Saanane? Unabisha kama ulikuwepo? Au wewe ndiye uliyempiga risasi ya kichwani? Kuna asiyejua Magufuli ni muuaji? Wewe acha upumbavu wako wewe nyani, Au wewe ndiye wale mnaojiita wasiojulikana? Mna shida sana ninyi wauaji wa Samia.
 
Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Kuzithibitisha atakwambia mlete Magufuli tumhoji, utaweza kumleta? Kama kweli hilo halikutokea basi serikali ikanushe kwa kutoa reasons ambazo ni reasonable hata mjinga akizisikia done zinafanana na ukweli. Ikinyamaza itakuwa ime endorse hizo allegations.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…