Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Jibu gani zaidi ya kumteka?Vyombo vyenye kazi yao vije na jibu la kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu gani zaidi ya kumteka?Vyombo vyenye kazi yao vije na jibu la kweli
Kwahiyo karandinga linamlia denge saizi sio?Anaweza kuwa alishaomba hifadhi Burundi.Jibu gani zaidi ya kumteka?
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono,jini limishatoka kwenye chupa hilo.Kwahiyo watu wasome na kuamini kuwa Magufuli alimpiga ben Saa nane Risasi ya kichwa ikulu?
Kikosi cha kijani cha wasiojulikana nasikia wamepewa kazi ya kumshughulikia.Kwahiyo karandinga linamlia denge saizi sio?Anaweza kuwa alishaomba hifadhi Burundi.
Wewe ndiyo unajua leo? Hiyo inajulikana hata kupigwa risasi Lissu ulikuwa mpango wake.Mkuu ni Kweli kabisa Serikali ikipige marufuku kitabu hiki kisionekane mtaani hata kama it is too late! Habari imeshajulikana kwa wananchi huenda hata nje ya nchi.
Wengine watapata ya kuandika dawa ipatikane majibu ya maswali yasiyo. Na majibu.Kikosi cha kijani cha wasiojulikana nasikia wamepewa kazi ya kumshughulikia.
Kama ilivyo kwa wanachukua chako mapema,hofu yako nini juu ya kumjibia swali.Uzuri kila mtu anajibu la swaliulilomuuliza.Umeulizwa wewe? Acha kimbelembele chako😁
Punguza kimbelembele😎Kama ilivyo kwa wanachukua chako mapema,hofu yako nini juu ya kumjibia swali.Uzuri kila mtu anajibu la swaliulilomuuliza.
Poa poa,usitume tu karandingaPunguza kimbelembele😎
Ccm hawatumii siku hizi karandinga. Wanatumia watu wasiojulikana.Poa poa,usitume tu karandinga
Ninyi ndio wapumbavu mnapofusha watu. Hamtaki kukubali kama Taifa tulipata kuwa Rais muuaji. Itabidi mkubaliane na hilo japo mlikuwa brainwashed na propaganda zake za kidikteta. Uyasikiayo na uyatendayo hata ukienda Rwanda utayasikia na Kagame anawafuasi kama ulivyo wewe kwa Magufuli.Amesema chanzo ni kutoka kwa top government officials na opposition leaders, nadhani anaweza kuthibitisha hilo kwa vyombo husika. Serikali ikimnyamazia basi Wananchi tutajua imemtuma achapishe hicho kitabu.
Cool down AmigoHuyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Wewe ndiye uliyemsaidia kumpiga risasi Ben Saanane? Unabisha kama ulikuwepo? Au wewe ndiye uliyempiga risasi ya kichwani? Kuna asiyejua Magufuli ni muuaji? Wewe acha upumbavu wako wewe nyani, Au wewe ndiye wale mnaojiita wasiojulikana? Mna shida sana ninyi wauaji wa Samia.Duh!
Jamaa kaandika kwamba Magufuli mwenyewe ndiye aliyempiga risasi ya kichwa Ben Saanane?
Hayo ni madai makubwa sana yanayohitaji ushahidi madhubuti.
Familia ya Magufuli ikiyaachia haya madai bila kufungua kesi na kumshitaki huyo mwandishi, itakuwa ni uzembe wa hali ya juu sana au hayo madai yatakuwa na ukweli.
Kumtuhumu Rais wa nchi kumuua mtu kwa kumpiga risasi ya kichwa si jambo dogo.
Amazon bro tumia Visa CardVipi nakipataje hiki k8tabu?
Nawasikiliza Lucas,Choice na ChiembeNgoja tuone kivumbi kinavyochanganya mbongo za watu.
Kuzithibitisha atakwambia mlete Magufuli tumhoji, utaweza kumleta? Kama kweli hilo halikutokea basi serikali ikanushe kwa kutoa reasons ambazo ni reasonable hata mjinga akizisikia done zinafanana na ukweli. Ikinyamaza itakuwa ime endorse hizo allegations.Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili