CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kama alivyokuwa Magufuli Mhutu wa BurundiMwandishi ni mrundi..
...Ni hayo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyokuwa Magufuli Mhutu wa BurundiMwandishi ni mrundi..
...Ni hayo tu.
Kwani hao serekali hawajui ukweli? Sana sana wakimuita wataishia kumtishia asiendelee kuusema huo ukweli.Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Tayari Wana pakuanzia .huyu Kabendera ameandika kwenye kitabu chake aisaidie Polisi na usalama kuujua ukweli...vyombo husika vifanye UCHUNGUZI.
..UKWELI kuhusu nani amemuua Ben Saanane ujulikane.
Uko upande wa Mbowe au Lissu kamanda?😁..vyombo husika vifanye UCHUNGUZI.
..UKWELI kuhusu nani amemuua Ben Saanane ujulikane.
Alipelekwa kwa amri ya Rais ndivyo alivomaanisha.Mkuu, wapi imeandikwa alimwita? Hebu rudia kusoma. Kama hujaelewa, epuka kupotosha.
Toa ushahidi kwamba hakuhusika, mwandishi wa kitabu hicho (kwa jinsi alivyo nukuliwa) tayari kamwaga ugali, wewe mwaga mboga zako ili mbivu na mbichi zijulikane, sio hizi habari za kukipiga marufuku kitabu au kuomba taratibu nyingine.Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Atathibitisha huyo kabendera
Sasa kupelekwa ndiyo kuitwa? Hapo kuna hiari na lazima. Soma tena.Alipelekwa kwa amri ya Rais ndivyo alivomaanisha.
Ushahidi unataka akupe ww, sisi tunajua kasema ukweli, na hicho kitabu tutakinunua na kukisoma hata online.Sasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?
ThibitishaMimi siyo pandikizi
Hatari sana.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.View attachment 3190238View attachment 3190239
Sio ujinga tu ni UHARO.Naunga mkono.
Jamaa kaandika ujinga wa hali ya juu.
Uko upande wa Mbowe au Lissu kamanda?😁
Sasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?