Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Kwa nini achunguzwe sasa na sio zamani.Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Acheni umbumbumbu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini achunguzwe sasa na sio zamani.Huyu jamaa achunguzwe hata uraia wake hawa Kina Kabendera wengi wanatokea nchi jirani sitaitaja ila najua mmeshanielewa.
Angepotea ndugu yako ungeita upuuzi?.Kamanikweli ameandika inabidi kumpeleka mahakamani akadhibitishe.
Familia ya Magu msivumilie upuuzi kamahuo tafadhali.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Umeshapigwa wajinga ndio mliwao yaani unanunia kitabu muandishi kibendera we kichwani zimo kweli🤣🤣🤣🤣🤣Kitabu kipo Amazon.com kinauzwa, mimi nimenunua kinafika kwangu Jumamosi.
Sasa hapo serikali ya Tanzania itakizuiaje kitabu?
Hata wao wamekiri kuwa wamempa nafasi Lisu ampake matope JPMWaulize kwa chadema, yale yote waliyokuwa wanamsingizia JPM wameshajua mhusika mkuu
Kumbuka hata akienda mahakamani,ni nyie mtakaomshtaki ndo mnatakiwa kuthibitisha kuwa alichoandika sio kweli!so legend ushahidi kuwa alichoandika sio kweli!!Sasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?
Umeshapigwa wajinga ndio mliwao yaani unanunia kitabu muandishi kibendera we kichwani zimo kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Ushahidi mnaleta mliomshtaki na sio yeyeKukifungia itakuwa ni kukipa promo watu wakitafute dawa ni kumshtaki tu na alete ushahidi!
We umeshapigwa unaandika gazeti mote Hilo mtu mwenye akili timamu hawezi kununua uchafu anaoandika kabendera we ni kubwa jinga ila sishangai sababu wajinga ndio waliwao 🤣🤣🤣🤣🤣Tatizo wewe masikini sana, kila kitu unawaza kupigwa. Mawazo ya kimasikini sana.
Mimi nakusanya vitabu, nina kama vitabu 10,000. Kati ya hovyo vya waandishi Watanzania ni vichache sana, hivyo nafurahia sana kununua vitabu vya Watqnzania.
Andika chako na wewe kama kina mvuto nitanunua, acha wivu kukandia vitabu ambavyo hata hujavisoma wewe ngumbaru.
Kibendera kaandika "The Economist Intelligence Unit"wamemuelewa na kuchapisha kazi zake.
Wewe unaelewa hata "The Economist" ni nini?
Wewe umeandika wapi?
![]()
Another critic of President John Magufuli is silenced
The repression is hurting Tanzania’s reputation and its economywww.economist.com
Yeye ndio alete ushahidi sababu ndio kasema au ndio alikua anatafuta kikiUshahidi mnaleta mliomshtaki na sio yeye
Akili yake bado ipo miaka ya 90 kwenye bookshopsna meza/shelves za wauza vitabu kule Posta.Kitabu kipo Amazon.com kinauzwa, mimi nimenunua kinafika kwangu Jumamosi.
Sasa hapo serikali ya Tanzania itakizuiaje kitabu?
Mbona unalazimisha watu wahoji kama utimamu wako kiakili upo sawa?Umeshapigwa wajinga ndio mliwao yaani unanunia kitabu muandishi kibendera we kichwani zimo kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi kujadili hoja unamjadili mtu.We umeshapigwa unaandika gazeti mote Hilo mtu mwenye akili timamu hawezi kununua uchafu anaoandika kabendera we ni kubwa jinga ila sishangai sababu wajinga ndio waliwao 🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiwa hujaelewa kitu uwe unapita ili usije kujibu upumbavu.Hii ndio report ya polisi?
Samahani mkuu. Hivi Kabendera mwandishi wa kitabu hicho ni yule aliwekwa rumande na Magufuli? pamoja na mama mzazi wa Kabendera kuomba kwamba mwanawe aachiwe huru lakini juhudi zilikwama na yuke mama akafa na kuzikwa huku mwanae akiwa gerezani siyo?. Na tulijushwa kwamba ni mwandishi wa habari za uchunguzi.Kitabu kipo Amazon.com kinauzwa, mimi nimenunua kinafika kwangu Jumamosi.
Sasa hapo serikali ya Tanzania itakizuiaje kitabu?
Kifungiwe nje ya nchi? Acha kichekesho.Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.
Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.
Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji
Nashauri mambo mawili ya kufanya
1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.
2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Ndiye yeye.Samahani mkuu. Hivi Kabendera mwandishi wa kitabu hicho ni yule aliwekwa rumande na Magufuli? pamoja na mama mzazi wa Kabendera kuomba kwamba mwanawe aachiwe huru lakini juhudi zilikwama na yuke mama akafa na kuzikwa huku mwanae akiwa gerezani siyo?. Na tulijushwa kwamba ni mwandishi wa habari za uchunguzi.
Na nyiye kama mtaweza kuthibitisha kuwa Magufuli hakumuua, mnakaribishwa. Mtafuteni Ben Saanane ili mthibitishe Magufuli hakumpiga risasi ya kichwani. Itakuwa kesi ngumu sana. Serikali zote mbili ni za wauaji.Kamanikweli ameandika inabidi kumpeleka mahakamani akadhibitishe.
Familia ya Magu msivumilie upuuzi kamahuo tafadhali.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app