Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kama kweli aliua kwanini ifichwe? kwani si inajulikana alikuwa na chuki na wanaompinga? huyo huyo Kabendera alikutana na kash kash enzi za uhai wa Magu, kwahiyo anachoandika ana uhakika nacho
 
Sasa kama Hana ushahidi kwanini achapishe Tuhuma nzito namna hiyo? Unajua kitabu kitasomwa na vizazi vingapi vya nchi hii?
Kumbuka hata akienda mahakamani,ni nyie mtakaomshtaki ndo mnatakiwa kuthibitisha kuwa alichoandika sio kweli!so legend ushahidi kuwa alichoandika sio kweli!!
 
Umeshapigwa wajinga ndio mliwao yaani unanunia kitabu muandishi kibendera we kichwani zimo kweli🤣🤣🤣🤣🤣

Tatizo wewe masikini sana, kila kitu unawaza kupigwa. Mawazo ya kimasikini sana.

Mimi nakusanya vitabu, nina kama vitabu 10,000 nyumbani. Kati ya hivyo vya waandishi Watanzania ni vichache sana, hivyo nafurahia sana kununua vitabu vya Watanzania.

Andika chako na wewe kama kina mvuto nitanunua, acha wivu kukandia vitabu ambavyo hata hujavisoma wewe ngumbaru.

Kibendera kaandika "The Economist Intelligence Unit" wamemuelewa na kuchapisha kazi zake.

Wewe unaelewa hata "The Economist" ni nini?

Wewe umeandika wapi?

Yametokea matukio mengi sana ya uuwaji na utekaji serikali badala ya kutoka na kujitetea hata kwa uongo tu imeamua kuchagua upande wa kukaa kimya. Nature haihitaji ombwe kwahiyo acheni watu wafanye jukumu la serikali.
 
Tatizo wewe masikini sana, kila kitu unawaza kupigwa. Mawazo ya kimasikini sana.

Mimi nakusanya vitabu, nina kama vitabu 10,000. Kati ya hovyo vya waandishi Watanzania ni vichache sana, hivyo nafurahia sana kununua vitabu vya Watqnzania.

Andika chako na wewe kama kina mvuto nitanunua, acha wivu kukandia vitabu ambavyo hata hujavisoma wewe ngumbaru.

Kibendera kaandika "The Economist Intelligence Unit"wamemuelewa na kuchapisha kazi zake.

Wewe unaelewa hata "The Economist" ni nini?

Wewe umeandika wapi?

We umeshapigwa unaandika gazeti mote Hilo mtu mwenye akili timamu hawezi kununua uchafu anaoandika kabendera we ni kubwa jinga ila sishangai sababu wajinga ndio waliwao 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kitabu kipo Amazon.com kinauzwa, mimi nimenunua kinafika kwangu Jumamosi.

Sasa hapo serikali ya Tanzania itakizuiaje kitabu?
Akili yake bado ipo miaka ya 90 kwenye bookshopsna meza/shelves za wauza vitabu kule Posta.
 
Umeshapigwa wajinga ndio mliwao yaani unanunia kitabu muandishi kibendera we kichwani zimo kweli🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona unalazimisha watu wahoji kama utimamu wako kiakili upo sawa?
Comment yako inaonyesha hicho kitaba achilia mbali kukisoma hata kukiona haujakiona lakuni unavyokiponda utadhani umekisoma chote.
 
We umeshapigwa unaandika gazeti mote Hilo mtu mwenye akili timamu hawezi kununua uchafu anaoandika kabendera we ni kubwa jinga ila sishangai sababu wajinga ndio waliwao 🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi kujadili hoja unamjadili mtu.

Hujui kuwa kwangu mimi hata kusoma uchafu anaoandika Mtanzania ni kumsoma Mtanzania akili yake ikoje.

Nimekuuliza, Kabendera kafanya kazi The Economist Intelligence Unit.

Wewe umeandikwa wapi tukulinganishe naye?

Hujajibu.
 
Kitabu kipo Amazon.com kinauzwa, mimi nimenunua kinafika kwangu Jumamosi.

Sasa hapo serikali ya Tanzania itakizuiaje kitabu?
Samahani mkuu. Hivi Kabendera mwandishi wa kitabu hicho ni yule aliwekwa rumande na Magufuli? pamoja na mama mzazi wa Kabendera kuomba kwamba mwanawe aachiwe huru lakini juhudi zilikwama na yuke mama akafa na kuzikwa huku mwanae akiwa gerezani siyo?. Na tulijushwa kwamba ni mwandishi wa habari za uchunguzi.
 
Huyu mwandishi amezindua kitabu chake Leo na amechapisha Tuhuma nzito dhidi ya Marehemu Rais Magufuli kuwa yeye Binafsi alimuita Ben Saa nane ikulu na kumpiga Risasi ya kichwa Kisha mwili wake kutupwa katika mto rufiji.

Hizi ni Tuhuma nzito sana ambazo hazina ushahidi wowote dhidi ya aliyekua mkuu wa nchi. Zikiachwa kusambaa bila mwandishi huyu kuthibitisha zitasomwa na itaaminika ni kweli.

Soma Pia: Erick Kabendera kupitia Kitabu chake; Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nashauri mambo mawili ya kufanya

1. Kitabu alichozindua leo kizuiwe kusambazwa na kipigwe marufuku ndani na nje ya nchi.

2. Huyu mwandishi aitwe na kuhojiwa na vyombo vya usalama kuhusu Nia yake ya kuchapisha Tuhuma nzito hizi bila ushahidi otherwise Atoe ushahidi kuwa Magufuli alimpiga Risasi Ben Saa nane.
View attachment 3190238View attachment 3190239
Kifungiwe nje ya nchi? Acha kichekesho.
 
Samahani mkuu. Hivi Kabendera mwandishi wa kitabu hicho ni yule aliwekwa rumande na Magufuli? pamoja na mama mzazi wa Kabendera kuomba kwamba mwanawe aachiwe huru lakini juhudi zilikwama na yuke mama akafa na kuzikwa huku mwanae akiwa gerezani siyo?. Na tulijushwa kwamba ni mwandishi wa habari za uchunguzi.
Ndiye yeye.
 
Kamanikweli ameandika inabidi kumpeleka mahakamani akadhibitishe.

Familia ya Magu msivumilie upuuzi kamahuo tafadhali.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Na nyiye kama mtaweza kuthibitisha kuwa Magufuli hakumuua, mnakaribishwa. Mtafuteni Ben Saanane ili mthibitishe Magufuli hakumpiga risasi ya kichwani. Itakuwa kesi ngumu sana. Serikali zote mbili ni za wauaji.
 
Back
Top Bottom