Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Hee Kabendera amezua balaa,So Magu alitaka mzigo kumbe😂😂
Kwenye kuhakiki habari tunaangalia ushahidi wa nje ya kitabu.

Kwa ushahidi wa nje ya kitabu, Magufuli kashawahi kumbaashia Samia waziwazi, mchana kweupee.

Kauli kama zile za Magufuli kumbaashia Samia ingawa hazithibitishi kuwa Magufuli alitaka kumbaka Samia, ila pia, hazisaidii utetezi kwamba Magufuli alikuwa anataka kumbaka Samia.

Magufuli alikuwa anabaashia wanawake kwenye hotuba waziwazi.

This doesn't help him.
 
Kubaashia Ndio nin kubambia kwa nyuma Au
 
Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?

Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.

Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
Usikatae moja kwa moja ukweli unaweza kuwepo na pia uongo unaweza kuwepo. Yote yanawezekana, japo mara nyingi wengi waligundulika si kweli.

Issue ya rizwan kukamatwa na unga China alafu baba yake akawapa wachina gesi ili uachie ilikua inazungumzwa na top politicians kabisa na waandishi nguli. Mwisho ikaja kujulikana si kweli

Mwaka 2015 Kuna yule kijana aliyeandika mkuu wa majeshi mwamunyange amelishwa sumu. Ilikua hot topic humu na magazetini. Chadema wakaingia front kumsaidia yule dogo alipokamatwa, alifikishwa mahakamani kuthibitisha mkuu wa majeshi kalishwa sumu. Yule kijana watu walikua wakimvimbisha kichwa kuwa ni kweli, utetezi basi akasisitiza ana uhakika mkuu wa majeshi kalishwa sumu na yupo hoi kitandani Kama ni uongo wampeleke pale mahakamani. Kumbe mwamunyange yupo anaendelea na kazi na kesho yake alienda kuzindua uwanja wa ndege wa jeshi morogoro. Yule kijana nadhani hadi Leo alijifunza somo kubwa sana
 
Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.

So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Kwenye haya mambo kila mtu abatafuta legitimacy, wengine baahite, wengine fulani.

Kubenea yeye kupitia gazeti lake la mwanahalisi aliandika Ben saanane ni mzima na anaonekana kwenye vijiwe vya kahawa
 
Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?

Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.

Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
Porojo porojo "roporopo" nyiiiingiiii....
 
Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.

Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.

Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Uraisi ni taasisi

Uraisi sio mtu binafsi kusema Magufuli aligeuka kuwa mtu binafsi wakati ni Raisi

Kabendera ana kesi ya kujibu

Ni lini Raisi akishachaguliwa hugeuka kuwa mtu binafsi kwenye kesi zozote ziwazo.kwa mujibu wa katiba ya nchi?

Kama kaandika hicho kitabu kuwa atoke vipi kimaisha kachemka yaliyomdorora imekula kwake
 
Kumbe kipo amazon tayari duh!
Kwa dollar 50 tu kinafika Dar
chrome_screenshot_Jan 2, 2025 6_07_46 PM GMT+03_00.png
 
Back
Top Bottom