Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hahahaa!Mmmh, hii nayo kwenye kitabu?
Rais alitaka kumbaka makamu wake wa Rais!
Who believes this crap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa!Mmmh, hii nayo kwenye kitabu?
What? Kuandika hivo.aisee anaishi tz.Hahahaa!
Rais alitaka kumbaka makamu wake wa Rais!
Who believes this crap?
Kwenye kuhakiki habari tunaangalia ushahidi wa nje ya kitabu.Hee Kabendera amezua balaa,So Magu alitaka mzigo kumbe😂😂
Baaaaaasi. Mateso yale yalikuwa na sababu. Huenda walipata taarifa kwamba jamaa ameyajua maovu yao wakaona wamzibe mdomo kwa njia ile.Ndiye yeye.
Kubaashia Ndio nin kubambia kwa nyuma AuKwenye kuhakiki habari tunaangalia ushahidi wa nje ya kitabu.
Kwa ushahidi wa nje ya kitabu, Magufuli kashawahi kumbaashia Samia waziwazi, mchana kweupee.
Kauli kama zile za Magufuli kumbaashia Samia ingawa hazithibitishi kuwa Magufuli alitaka kumbaka Samia, ila pia, hazisaidii utetezi kwamba Magufuli alikuwa anataka kumbaka Samia.
Magufuli alikuwa anabaashia wanawake kwenye hotuba waziwazi.
This doesn't help him.
Usikatae moja kwa moja ukweli unaweza kuwepo na pia uongo unaweza kuwepo. Yote yanawezekana, japo mara nyingi wengi waligundulika si kweli.Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?
Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.
Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
Kwenye haya mambo kila mtu abatafuta legitimacy, wengine baahite, wengine fulani.Kuna jamaa zangu wanafanya kazi chombo nyeti cha usalama nchini nao waliniambia suala alilosema Kabendera kwenye kitabu chake. Tena mimi niliambiwa since 2020 Magufuli akiwa hai.
So aliyosema Kabendera sio chuki ndo ukweli wenyewe
Porojo porojo "roporopo" nyiiiingiiii....Swali, Ikulu wanaishi Rais na makamu wake pamoja?
Hizi ni porojo kama za Yericko kwenye cover ya Jason Borne kwamba Ridhiwani Kikwete alikamatwa na drugs china ndege ya Rais ikaruka usiku kwenda kumaliza issue.
Kuwa makini sana na Watanzania siyo trustworthy society, waongowaongo, ndio maana hata Lisu naona niwalewale tu wapayukaji.
What? How? Is it possible?...Mshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Mbona kama umekosea mkuu. Fanya kurudia basi.Neno linasema
“ Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi”
Uraisi ni taasisiMshitakini aende mahakamani tupate ushahidi wa kimahakama.
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka, mpaka Samia akataka kujiuzulu u Makamu wa Rais.
Wamshitaki Kibendera mahakamani amuite Samia kutoa ushahidi.
Vituko!What? How? Is it possible?...
...Heri wafu wafao ktk Bwana tangu sasa, naam asema Roho. Wapate kupumzika baada ya tabu zao..Mbona kama umekosea mkuu. Fanya kurudia basi.
Alimtolea kauli fulani za kibashabasha kwamba Samia mzuri kama vile nyuma ya pazia anaweza kumpitia.Kubaashia Ndio nin kubambia kwa nyuma Au
Hii ya magufuli kutaka kumbaka Samia ni utoto huu ameandika. Labda angesema alitaka kumpiga inge-make sense.Vituko!
So Magufuli is a cold blooded murderer.
He is a rapist.
What’s next? A child molester?