Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
kutokana na hulka yake na tabia zake alizokuwa nazo, ni ngumu sana kumtetea magufuli kwenye shutuma hizi.
 
Nendeni mahakamani mkavuliwe nguo , hakuna mwenye uthubutu Tanzania hii wa kupeleka kesi mahakamani.....Huko serikalini wanachekecha namna ya kumteka
Hizi kesi nyingi huisha isivyojulikana. Ngumu kutoa ushahidi sababu unasema umeambiwa, aliyekuambia ndio hutamuona. Nakumbuka kuhusu ujangili wa kinana, wengi tuliaminishwa kinana ni jangili wa meno ya tembo, msigwa akashikilia kuwa ana ushahidi. Kinana alipoenda mahakamani akitaka msigwa athibitishe, msigwa akaishia kuomba radhi.
 
Hii ya Magufuli kuua mtu Ikulu inajulikana hata hapa JF ikitoka kwa waandishi waandamizi wetu.
Search JF mtaikuta.

Kuna versions mbili za kuuawa kwa Ben. Moja kulishwa chatu na hii ya kupigwa pistol na Magufuli Ikulu.
 
It’s getting funnier by the second!

So Ben alimezwa na chatu wa Magufuli?

🤣🤣.

At this point sioni hata haja ya kumshitaki huyo Kabendera.
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Taratibu maovu ya Magufuli yanaanza kufunguka. Iko siku yatajulikana mengi.
 
Magu nae so akamzukia moja sifuri mbili akiwa na pajama, akataka mzigo.
Nataka nisiamini lakini Magu hana akili nzuri yule nashindwa hata kujua nini cha kuamini.

Ndiyo maana nasema wamshitaki Kabendera tu tupate cross examination ya Samia, tujue mbivu na mbichi.

Huenda Samia naye anataka kushitaki ila kashindwa tu namna 😂😂
 
Kabendera kasema Magufuli alimzukia Samia na pajama akitaka kumbaka,
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;

Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?

Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
 
Ndo ngeli yenyewe mkuu
Basi sawa mkuu maana kwa ufahamu wangu wa form 4C nikajua kwamba considering the fact hapo kuna past tenses mbili separated by "and", mwalimu wangu alinifundisha kwamba ilipaswa kuwa "the tension continued amd reach".. sio reached.

Anyways, sio muhimu sana, nilimkumbuka tu mwalimu wangu wa olevel😂
 
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;

Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?

Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Mkuu,

Kubaka mara nyingine si suala la uzuri, ni suala la power. Kwa hivyo mtu anaweza kutaka kumdinya mwanamke ili awe kama kam conquer tu, si kwa sababu ni mzuri sana.

Kuhusu walinzi, walinzi wanaamrishwa tu wale.

Ila nasisitiza Kabendera ashitakiwe mahakamani tujue mbivu na mbichi. Ikiwezekana Samia aitwe mahakamani kutoa ushahidi.
 
Mkuu sijaelewa embu iweke vizuri hii;

Sasa alimzukia na panjama wakati huo huo Kuna mabodigadi wanamsindikiza au jamaa alikuwa peke yake? Na huyo aliyekuwa anataka kubakwa alikuwa hana walinzi muda huo? Na alivyomkosa ikawaje?

Yaani pisi zote zile atake kumbaka kizimkazi kweli?
Too funny!

Kuna mwingine kadai kwamba eti Ben Saanane alimezwa na chatu wa Magufuli 🤣.

Yaani Samia alikuwa peke yake huko alikokuwa…..walinzi hawakuwepo….ndugu na jamaa wa Samia hawakuwepo….wafanyakazi hawakuwepo….

So what happened? Samia alimzidi nguvu Magufuli ndo maana hakufanikiwa?

Who believes this crap? Seriously….
 
Back
Top Bottom