Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

alikuwa moja ya watu katili sana kuwahi kutokea duniani, na aliufahamu ukatili. kibaya zaidi alizungukwa na watu wasio na akili, kina bashite, sabaya, mnyeti na wengine, ambao wote ni wakatili kama yeye alivyokuwa. watubu wamrudie MUNGU au la, historia itawahukumu.
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Tunatofautiana kwenye mambo mengine lakini hili nakuunga mkono!
 
IMG_7395.jpeg

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot from the jump.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Hii si baada ya kutoka jela,

Kaguswa mungu wenu wa chato naona mmechachamaa wasukuma
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Yeah unasahau kufahamu hii picha ilichukuliwa akiwa ametolewa wapi

Better ask first kabla huja mpaka mtu tope
 
View attachment 3190848

TF!!

Look at him. Unkempt. Looks musty. Confused. Unhinged.

With a look like that, his credibility is shot.

Look at his beard. Some of you find him sexy? Can’t buy a razor?

Loser in every way.
Won't help at all!Mjitetee kiufundi/kitaaluma/kiuweledi na si vurugu mechi.
 
Back
Top Bottom