RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi.
Nachojiuliza utekaji katika serikali umeanza leo? Nani abafahamu Dr.ulimboka yaliyomkuta haitoshi awamu hii ya sita je utekaji haupo?
Nachofahamu pamoja na kitabu hicho kutolewa na kabendera tayari alikuwa ana mgogoro na serikali ya awamu ya tano pamoja na migogoro hiyo msukumo wa kitabu chake wamo viongozi ndani ya serikali wametoa msukumo mkubwa wa kitabu hicho kisambae ionekane kuwa jpm hakuwa lolote katika nchi ! Chato maiti inalia yenyewe bila kutetewa.