Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

KABENDERA INGEFAA AWE AMEPUMZIKA.
 
Kabendera kasema ameongea na watu mbalimbali wakiwemo wanasheria. Amesema hayo yaliyoandikwa ni yale tu yanayoweza kutolewa ushahidi pindi ukihitajika. Ambayo hawana namna ya ku-prove ukweli wake wameachana nayo.
Umeshawahi kuangalia Investigation channels au books evidence zinavyokuwa presented. Kwenye investigation books au channels at least 45% kitabu au film lazima kiweke credible sources! Kitabu cha jamaa chote ni fictional theory

Hata picha alizotumiq ni picha zake binafsi akiwa amekamatwa

Pia cover photo ni picha ya JPM akikagua silaha, I have a gun ….kisheria
Jpm anayo gun kisheria pia …. What is wrong about that kama akikagua silaha yake na akihamasisha raia kufanya ivo

Cover picha tu ni total misleading,

Soma sheria na content za investigation info

Otherwise na mm nitasema wewe umemua Kibao, nimepata taarifa from
Your people who I can not mention them
…… is that an investigation info?
 
Hizi ni claim ndani ya kitabu, tuna ziverify vipi ?

Nikitoka na kusema Mbowe ndio anahusika na kumuua Ben , taarifa hizi ni za ndani ya wstu wa chadema ila sitotaja majina kwa sababu za kiusalama, je Utaniamini maneno yangu ?

Be rational
WATU HAWATAKUELEWA KUTOKANA NA UPUMBAVU ULIOWAJAA KICHWANI KUWA MBOWE NA CHADEMA NI WATU SAFI SASA SUBIRINI MTAONA UCHAFU WAO KATIKA MTIFUANO KATI YA MBOWE NA LISSU WATATAJA MPAKA WALIVYO MCHACHA WANGWE
 
Mkuu naomba unipe faida 5 za hiki kitabu kwa mwananchi wa kawaida
HAKINA FAIDA KWANZA KIMEANDIKWA KIZUNGU NA TATZ HAWANA UMUHIMU NA KUSOMA VITABU SASAHIVI UKMUULIZA MZEE WA KULE MAYOVU KUHUSU KITABU KWANZA ATAONA UNAMTUKANA NA HUYO KABEDERA WALA HAMJUI
 
HAKUNA ATAKAYE KUBALI KUTOA USHAHIDI WATU WALIKUWA WANAMJAZA UPEPO TU NAYE KAINGIA KINGI NEVER HAKUNA MTU ATAENDA KUTOA USHAHIDI MAHAKAMANI
 
Mwambie huyo aliyekupa hili bandiko sijui Megalodon kuwa hata yeye ana RUHUSA ya kwenda Mahakamani, kwanini anaisukumia Serikali.

Yaani nyinyi misukule wa Magufuli mulikuwa mmamuona ni mungu wenu, sasa uovu wake unatolewa mnaanza kusambaratika
 
Kuna mawili, eidha;
1. ni kweli hazina "evisensi" au
2. zina "evisensi", ila wewe hujui kama zipo
Evidence unities wapi?
Umeshawahi kusoma investigation news au TV ?

45% of the evidence must be presented. Mfano alipaswa kuwa na picha ya Ben akiwa ameingizwa Mochwari as he claimed
Ikulu kuna Camera all the way ….. tukio la JPM kumpiga Ben ndani ya ikulu kama ni kweli basi lipo captured ….. waliompa taarifa walipaswa kumpenyezea na hizo clip au picha……. Then zitokee in his book

Words can’t prove anything my friend.

Imagine there is fake news , then imagine how bad history is ?
 
Peleka wewe kama raia.
Serikali makini haiwezi ikajibu shutuma hizi.
Serikali makini haiwezi kuingia kwenye shutuma. Ikulu imeshambuliwa kwa watumishi wa Umma kutaka kubakana ndani ya Ofisi, ikulu imeshambuliwa kwa mtumishi wa Umma kupiga raia risasi then unasemaje hiyo ni serikali makini
Wewe ni kichaa au ; that should never happen
Kuandikwa tu hivo inaondoa umakini wa hiyo serikali
 
Hadith za kufikirika zenye shutuma
 
Kitabu nakisoma bado kidogo nakimaliza.Kitabu kipo vizuri kinaeleza kwa kina kila kitu hakuna uongo kimejaa fact tu.

Kina sehemu zinasikitisha hasa Pajama.
 
Kitabu nakisoma bado kidogo nakimaliza.Kitabu kipo vizuri kinaeleza kwa kina kila kitu hakuna uongo kimejaa fact tu.

Kina sehemu zinasikitisha hasa Pajama.
How do you define facts ? Nimesoma chote,
 
Hao unaowaambia wafungue kesi hawathubutu maana ukweli wanaujua vizuri sana kuliko hata wewe, sipati picha pajama lilivyotuna .
 
Mahakamani hakuna ushahidi wa "niliambiwa na mkubwa mmoja". Ni ushahidi usiokuwa ma shaka ndio unaotakiwa. Familia ya JPM imsweke jamaa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…