Kitabu cha Munga Tehanani - Uchawi

Mzee kwa ushauri achana na kiranga huyo ni atheist huwezi kumuelewesha kikubwa achana nae.

Ni ushauri ukipenda pokea usipo upenda is up to you.
This logical fallacy is called ad hominem.

Umeacha kujadili hoja aliyoitoa Kiranga, unamshambulia Kiranga mwenyewe personally.

Uchawi ni nini? Unajuaje huu ni uchawi, na hiki ni kitu kingine tu tofauti na uchawi labda hujakielewa tu?

Hamjajibu maswali haya.
 
Fanya kupitia hii thread thread ndugu kaka kiranga.
Then tutapata pa kuanzia kujadili ndugu yangu..
Nakusalimia Sana.

 
Ukinitaka nipitie thread yote utakuwa umenidharau, ni kama unasema muda wangu hauna thamani naweza kuutumia kupitia thread nzima.

Sina muda huo.

Swali langu ni dogo tu.

Uchawi ni nini?

Kisha naongeza lingine dogo tu.

Utajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu usichokijua?

Hujajibu haya maswali.

Kama kuna post katika hiyo thread imejibu maswali haya, naomba namba ya hiyo post.
 
Dah we jamaa ni mtataπŸ˜ΉπŸ˜€
 
Dah we jamaa ni mtataπŸ˜ΉπŸ˜€
Si mtata hivyo mkuu, haya ni maswali ya msingi tu, maswali ya definition tu. Tujue mtu anaposema "uchawi" anamaanisha nini, kabla hatujaanza kubishana kama uchawi upo au haupo.

Nipo kwenye definition tu, hata sijaingia kwenye argument.

Sasa hapo kuna utata gani?
 
 
Tatizo la kiranga nimjuzi wa kutengeneza maswali ya Malumbano.
Kwamba wewe ukimjibu Kisha Yeye akanushe na jibu asitoe.
Fuatilia koments zake . . . Utaniamini Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…