Mzee Rufiji
JF-Expert Member
- Aug 24, 2024
- 261
- 395
Umejaribu Maktaba Kuu ya Taifa? Maana pale kila kitabu kinapatikana.Ni vigumu sana kujua ni Nani alikiiba hiki kitabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejaribu Maktaba Kuu ya Taifa? Maana pale kila kitabu kinapatikana.Ni vigumu sana kujua ni Nani alikiiba hiki kitabu.
Ooh! Asante sana Kwa wazo Hilo. Nitafanya bidii ktk hiloUmejaribu Maktaba Kuu ya Taifa? Maana pale kila kitabu kinapatikana.
Nimekuelewa Kiongozi, na Ninakubaliana na wewe.Mzee kwa ushauri achana na kiranga huyo ni atheist huwezi kumuelewesha kikubwa achana nae.
Ni ushauri ukipenda pokea usipo upenda is up to you.
Wengi wanazungumza kujitambua Kwa Njia ya meditationJamaa alikuwa poa maarifa mengi aisee Ardhi imekula vya maana gazeti la jitambue watoto wa 2000 hawawezi elewa sijawahi ona gazeti zuri kama hilo mpaka leo kwa Tz
This logical fallacy is called ad hominem.Mzee kwa ushauri achana na kiranga huyo ni atheist huwezi kumuelewesha kikubwa achana nae.
Ni ushauri ukipenda pokea usipo upenda is up to you.
Hati za viwanja zinaingiaje tenaHapana Ndugu, sikumaliza kukisoma.
Lazima Kuna Mtu ktk Family Yangu amekiiba.
Kitabu hiki nilikificha pamoja na hati zangu za viwanja.
Hati zangu zote nimezikuta ila kitabu hiki sikukikuta aisee.
Fanya kupitia hii thread thread ndugu kaka kiranga.This logical fallacy is called ad hominem.
Umeacha kujadili hoja aliyoitoa Kiranga, unamshambulia Kiranga mwenyewe personally.
Uchawi ni nini? Unajuaje huu ni uchawi, na hiki ni kitu kingine tu tofauti na uchawi labda hujakielewa tu?
Hamjajibu maswali haya.
Ukinitaka nipitie thread yote utakuwa umenidharau, ni kama unasema muda wangu hauna thamani naweza kuutumia kupitia thread nzima.Fanya kupitia hii thread thread ndugu kaka kiranga.
Then tutapata pa kuanzia kujadili ndugu yangu..
Nakusalimia Sana.
Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako
Au tayari ndo ushadanja[emoji23] Ha ha nipowww.jamiiforums.com
Dah we jamaa ni mtata😹😀Ukinitaka nipitie thread yote utakuwa umenidharau, ni kama unasema muda wangu hauna thamani naweza kuutumia kupitia thread nzima.
Sina muda huo.
Swali langu ni dogo tu.
Uchawi ni nini?
Kisha naongeza lingine dogo tu.
Utajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu usichokijua?
Hujajibu haya maswali.
Kama kuna post katika hiyo thread imejibu maswali haya, naomba namba ya hiyo post.
Si mtata hivyo mkuu, haya ni maswali ya msingi tu, maswali ya definition tu. Tujue mtu anaposema "uchawi" anamaanisha nini, kabla hatujaanza kubishana kama uchawi upo au haupo.Dah we jamaa ni mtata😹😀
🏃🏃🏃🏃 Natoka nduki.Dah we jamaa ni mtata😹😀
Ukinitaka nipitie thread yote utakuwa umenidharau, ni kama unasema muda wangu hauna thamani naweza kuutumia kupitia thread nzima.
Sina muda huo.
Swali langu ni dogo tu.
Uchawi ni nini?
Kisha naongeza lingine dogo tu.
Utajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine tu usichokijua?
Hujajibu haya maswali.
Kama kuna post katika hiyo thread imejibu maswali haya, naomba namba ya hiyo post.
Huyu mtata Kweli,hataki kupitia thread nzima ili ajifunze ila analazimisha majibu anayotaka yeyeDah we jamaa ni mtata😹😀
Aise napitia hii thread kuna vitu vya ajabu kweli kweli🏃🏃🏃🏃 Natoka nduki.
😊☺️😊
Kwa kweli.Aise napitia hii thread kuna vitu vya ajabu kweli kweli
Tatizo la kiranga nimjuzi wa kutengeneza maswali ya Malumbano.This logical fallacy is called ad hominem.
Umeacha kujadili hoja aliyoitoa Kiranga, unamshambulia Kiranga mwenyewe personally.
Uchawi ni nini? Unajuaje huu ni uchawi, na hiki ni kitu kingine tu tofauti na uchawi labda hujakielewa tu?
Hamjajibu maswali haya.