Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
- #21
Yupo mwanajamii Hapa amethibitisha uwepo wao japo ni Kwa Jina lingine ( PATH SOCIETY )Alipofariki Munga kila kitu cha jitambue kiliishia pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mwanajamii Hapa amethibitisha uwepo wao japo ni Kwa Jina lingine ( PATH SOCIETY )Alipofariki Munga kila kitu cha jitambue kiliishia pale.
Hakuna Shaka, tutashirikishana machache tuliyojifunza kwaoTupe vituzzzzz
😅😅😅 Watakuwa ni wachawi wa Kirangi wanajiongezea Taaluma. Niliishi nao sana pale Dodoma Mjini.Wachawi wamekiiba mkuuu
Katika Maktaba Yako Ulibahatika kubaki na Chochote Cha Jitambue ama Mshauri wako?Gazeti la jitambue na mshauri wako nilijifunza mengi kupitia kwayo.
Dhana Yako Ni ipi Mkuu?Waafrika wengi bado wanapena ujinga, halafu wanashangaa kwa nini bado ni masikini.
Hizo habari za uchawi mnaziamini mpaka zama hizi za uhakiki?Dhana Yako Ni ipi Mkuu?
Ni ujinga Upi tunapeana waafrika.
Ufafanuzi Tafadhari.
Uchawi ni Halisi, Hizi si hadithi za wahenga.Hizo habari za uchawi mnaziamini mpaka zama hizi za uhakiki?
Unaweza kuthibitisha uchawi (si imani ya uchawi, uchawi wenyewe) upo kweli na si hadithi za watu tu, mauzauza ya uongo ya mazingaombwe na hadaa za kisaikolojia kama mchezo wa karata tatu?
Define uchawi nini halafu nieleze ni vipi unaujua huu ni uchawi, si kitu kingine chochote unachokijua au usichokijua.Uchawi ni Halisi, Hizi si hadithi za wahenga.
Munga Teheran katika Kitabu chake alisema " Uchawi ni Matumizi Mabaya ya Nguvu hizihizi tunazo zitumia kupata Mambo Mazuri.
Mwenye kitabu hiki anipatie nitamlipa vizuri.Habari za Uzima WanaJamiiForums.
Kuna kitabu Nimekipoteza ktk mazingira Nisiyoelewa, kinaitwa UCHAWI UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA Cha mwandishi MUNGA TEHENANI wa FAMILIA YA JITAMBUE.
Huyu Bw. Alikuwa anatoa Elimu yenye Ufahamu na Maarifa ya viwango vya Juu Mno ambayo sijaona mwingine Kwa hapa TZ ana Maarifa kama Yeye.
( RIP. MUNGA TEHENANI )
Katika Kitabu hicho alizungumzia Uchawi wa kuruka kwa Ungo.
Anasema, Sio lazima iwe Ungo, Lakini Kuna uwezekano wa watu kuruka kwa kutumia vifaa ambavyo havitumiwi kurukia.
Kama Yupo Mtu ataruka Kwa kutumia Ungo, sio lazima Mtu Huyo awe mchawi.
Kuruka ama kusafiri Kwa Ungo ni suala la uwezo wa kujua Namna ya Kanuni Husika inavyotumika.
Uchawi ni Matumizi Mabaya ya Nguvu hizihizi tunazo zitumia kupata Mambo Mazuri.
Hayo ni sehemu tu ya Yaliyomo Ndani ya kitabu hicho.
TAFADHARI, ikiwa unajua mahali naweza kupata kitabu hiki Nakuomba unijulishe.
Na kama unacho kitabu kama hiki naomba kopi Tafadhari.
Na ikiwa una NONDO nyingine za MUNGA TEHENANI
Naomba tujulishane Jamani.
Ni hayo tu.
Mimi Sijui ila Natafuta Kujua.Define uchawi nini halafu nieleze ni vipi unaujua huu ni uchawi, si kitu kingine chochote unachokijua au usichokijua.
Sasa kama nina nguvu ndani yangu, nguvu ya kufikiria na kugundua vitu, nikasoma Chemistry, nikagundua sumu, nikaitumia sumu hiyo kumuua mtu.Mimi Sijui ila Natafuta Kujua.
1. UCHAWI NI MATUMIZI MABAYA YA NGUVU ZILIZO NDANI YETU.
Kumbe Binadamu tuna NGUVU Ndani mwetu.
Kwakweli Sasa inabidi tutangaze dau ili kukipata.Mwenye kitabu hiki anipatie nitamlipa vizuri.
Nafikiri Elimu ya ST. KAYUMBA haiwezi kukupa matokeo chanya ktk Matumizi ya Nguvu zako za Ndani.Sasa kama nina nguvu ndani yangu, nguvu ya kufikiria na kugundua vitu, nikasoma Chemistry, nikagundua sumu, nikaitumia sumu hiyo kumuua mtu.
Kutumia nguvu ya kufikiri kugundua chemical na kumuua mtu ni uchawi?
Hujajibu swali langu.Nafikiri Elimu ya ST. KAYUMBA haiwezi kukupa matokeo chanya ktk Matumizi ya Nguvu zako za Ndani.
Nguvu zako za Ndani huweza hutenda MAKUBWA ambayo Elimu ya shule na vyuo haiwezi.
Mzee kwa ushauri achana na kiranga huyo ni atheist huwezi kumuelewesha kikubwa achana nae.Uchawi ni Halisi, Hizi si hadithi za wahenga.
Munga Teheran katika Kitabu chake alisema " Uchawi ni Matumizi Mabaya ya Nguvu hizihizi tunazo zitumia kupata Mambo Mazuri.