Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sijasema haijulikani uchawi ni nini.Sasa mbona kuna watu wanapinga kuwa hakuna uchawi ikiwa haijulikani uchawi ni nini?
Wewe unasema kuwa hayo yenye kudaiwa kuwa ni uchawi yaweza kuwa si uchawi bali ni mambo mengine tu tusiyoyajua, hapo ndipo umuhimu wa uchunguzi unapohitajika maana kama kuna mambo ambayo hatuyajui na kweli yapo na yanahusu hadi maradhi na tiba basi huoni kuwa tunahitaji kuyafanyia uchunguzi kuliko kuacha kufanya uchunguzi kisa definition?
Nimetaka definition ya uchawi kutoka kwenu.
Uchawi ni nini?
Utawezaje kufanya uchunguzi kujua kama mtu anaumwa kwa uchawi au anaumwa kwa sababu ya virusi tu, si uchawi, bila hata ku define uchawi ni nini?
Hatua ya kwanza katika uchunguzi wa kutenganisha uchawi na vitu vingine visivyo uchawi ni ku define uchawi.
Uchawi ni nini?
Hamjajibu swali hili.