Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Yaani mtu anahoji ukuu wa Mungu kwa msaada wa science.Ni jambo la ajabu na ufahamu mdogo.Maarifa ya science ni ya level ya chini mno.Imani ni level ilio zaidi ya science kwa hali zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipasoma na kupaelewa vizuri utaona akiongea kwamba hatoiangamiza dunia nzima tena kwa mafuriko...Mungu asisingiziwe tu hata ya uwongo.Muda huu tumwombe yamo mengi anaweza kutuletea wepesi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi hakuna mass hallucinations kama ile ya babeli.. Iliwahi kutokea tu Sodoma na Gomora.. Na siku hizi hatufanyi mambo kwa imani moja kama ilivyokuwa Babeli

Jr[emoji769]
Kwahiyo mkuu unataka kusema secret societies zinazo run dunia illegal ni watu na uovu unaoendeelea duani kote ni watu wachache

Je mji wa Sodoma ulikuwa na watu wangapi mapenzi kinyume na maumbile siku hizi sio kitu cha kustua DUNIANI sembuse mji wa Sodoma
 
Umekuja na maswali mengi mkuu , iweke viuri iyo thread tuje kukupa majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusisubiri utafiti wa wazungu , namna hii tunaweza na sisi tukaja na utafiti wetu wakipekee juu ya huu ulimwengu
 
Tusisubiri utafiti wa wazungu , namna hii tunaweza na sisi tukaja na utafiti wetu wakipekee juu ya huu ulimwengu
pa kuanzia ndo hatunaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
bible inasema dunia ni flat sayansi imesema ni duara ww unasemaje
vp babel nayo
Kwa hapa Bibilia haikukosea,nikweli dunia ni tambarare kwa mtazamo wa pale ulipo,na pia kuna milima na mabonde pia.
Ila ukiwa nje ya dunia,utaiona duniani kama tufe na ukweli huu umeongezewa nyama kwenye Qur-an .
Hakuna ukizani kwa hilo na sayansi.
 
Hizi habari za kuwa Adam mtu wa kwanza umezipata wapi?
Nimezipata kutoka Kwa Muuba wa Ulimwengu ndani ya vitabu vya Qur-an Na Biblia pia imeweka taarifa hiyo. Aidha inapatikana hata katika vitabu vya Kihindu.

Je wewe una taarifa isyokuwa hiyo yenye ushahidi wa kitabu katika vitabu vya kale?
 
Kwa hapa Bibilia haikukosea,nikweli dunia ni tambarare kwa mtazamo wa pale ulipo,na pia kuna milima na mabonde pia.
Ila ukiwa nje ya dunia,utaiona duniani kama tufe na ukweli huu umeongezewa nyama kwenye Qur-an .
Hakuna ukizani kwa hilo na sayansi.
Quraan inasema dunia ni tufe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanao sema baadhi ya maandiko kwenye bible muhandish hakuwa kaingiwa roho mtakatifu πŸ˜•πŸ˜• hasa kuhusu umbo la dunia lakini dini karibu zote maandiko huhusu umbo la dunia yanafanana na vitabu vingine vimechora na ile dome kabisa.(fuatilia)

Je dini zote hizi waandishi kuhusu umbo la dunia walikuwa hawana roho mtakatifu?

Sijawahi sikia mtumishi yeyote akisoma andiko ilo kwa waumini sasa jijui wanaruka au vipi lakini flat earther wanaspot nabii wa uongo kupitia apoo πŸ˜…πŸ˜… dunia hii

addition kwa mzee x

Ananiambia mtu akikaribia kukata roho atakacho kisema kishike sana maana pale ufahamu wake unalingana na malaika!!??
sasa katika pita pita kwenye bible maandiko yanasema mtu akifa mbinguni huwa kama malaika yaani (ancestors) hapo vipi
karibuni tena
 
h
Nimezipata kutoka Kwa Muuba wa Ulimwengu ndani ya vitabu vya Qur-an Na Biblia pia imeweka taarifa hiyo. Aidha inapatikana hata katika vitabu vya Kihindu.
Je wewe una taarifa isyokuwa hiyo yenye ushahidi wa kitabu katika vitabu vya kale?
haya mafuvu ya odipai vp au carbon 14 inayumba
 
Kwa hapa Bibilia haikukosea,nikweli dunia ni tambarare kwa mtazamo wa pale ulipo,na pia kuna milima na mabonde pia.
Ila ukiwa nje ya dunia,utaiona duniani kama tufe na ukweli huu umeongezewa nyama kwenye Qur-an .
Hakuna ukizani kwa hilo na sayansi.
Unauwakika ? pilus of the earth zimo kwenye bible au nazomkwa ukiwa kwa nje zinakuwa tufee?πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…