Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Yaani sisi wanadamu tunajidanganya Sana kumfanyia utafiti Mungu kwa kutumia sayansi yetu ili kumfahamu, kujua alichokifanya alikifanyaje, kujua alipo pakoje, kujua Kama yupo alitoka wapi n.k

Dunia hii na ulimwengu kiujumla havipo kwa bahati nasibu, Ni mpangilio wa kanuni kuu Sana zilizo nje ya muafaka wa kisayansi, sayansi hii ni kanuni ndogo Sana ya kutusaidia tuishi na siyo kutusaidia kumchambua Mungu kwa uwezo wa sayansi hii.

Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo milele, ujuaji wetu Wala hauwezi kuleta badiliko lolote la kanuni za Mungu.

Kwa akili za darasani na za kudanganywa na wazungu dunia Ni duara, lakini kiimani dunia Ni tambarare na Ni fumbo kuu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante mkuu
 
Lakini sijawahi sikia mchungaji wala padri wala nabiii wala mtume akihubiri kuhusu dunia kupitia maandiko? hawaoni au wanaruka kuepusha utata?

Nadhan kama huwamini baadhi ya maneno ya mungu chembe ya haladari ni kubwa mara mbili kuliko imani yako mtazamo
 
Sasa unataka mchungaji ajikite kuhubiri umbo la dunia wakati lengo kuu kanisa Ni kuhubiri wokovu na siyo kujali Sana mambo yasiyomgusa moja kwa moja mwanadamu?

Kwa akili ya kawaida dunia Ni tambarare na kisayansi dunia Ni duara! Mungu alifunua Yale ya kawaida ili tuyafahamu, na kuyafumba Yale ya sirini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mafuriko ndiyo garika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bible na sayansi wapi na wapi?
 
Wajenzi wa babel walitaka wasisambae duniani. Hilo ndo lilikuwa kosa si kujenga babel. Hata wangeachwa wajenge wasingefika mbinguni. Kosa lilikuwa kutokutaka kusambaa na kuijaza dunia, mpango wa MUNGU si watu wakae sehemu moja.
 
kwaiyo umamanisha dunia kuwa ni duara na mambo ya sirini?
 
Wajenzi wa babel walitaka wasisambae duniani. Hilo ndo lilikuwa kosa si kujenga babel. Hata wangeachwa wajenge wasingefika mbinguni. Kosa lilikuwa kutokutaka kusambaa na kuijaza dunia, mpango wa MUNGU si watu wakae sehemu moja.
ww kwa akili ya kawida kwel kijenga mnara ndo suluhisho watu wa si sambae kaaaah jaman ! yatosha tuseme hatujui kutafsiri maandiko sasa
 
ww kwa akili ya kawida kwel kijenga mnara ndo suluhisho watu wa si sambae kaaaah jaman ! yatosha tuseme hatujui kutafsiri maandiko sasa
Nia ya kujenga mnara ilikuwa nn ukisoma maandiko? Kufika mbinguni wakaishi huko au kukaa sehemu moja wasisambae duniani? Tuanzie hapo kwanza.
 
Nia ya kujenga mnara ilikuwa nn ukisoma maandiko? Kufika mbinguni wakaishi huko au kukaa sehemu moja wasisambae duniani? Tuanzie hapo kwanza.
sijapigwa kilocho andikwa bali je ukishikisha ubongo inakuwaje ? na kitu kigum mm kuamin kama wajenzi wa babel kuwa wajinga kiasi icho kama watu wanavo dhan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…