kwaiyo umamanisha dunia kuwa ni duara na mambo ya sirini?
Ni kweli. Vitu vingi vya biblia ukiwaza kibinadamu havileti maana. Just imagine safina iliyojengwa na binadamu na ikatosha wanyama aina zote tena wawili wawili na chakula chao sijui ilikuaje.sijapigwa kilocho andikwa bali je ukishikisha ubongo inakuwaje ? na kitu kigum mm kuamin kama wajenzi wa babel kuwa wajinga kiasi icho kama watu wanavo dhan
yan iyo ndo towa kabisa muda mwingine na taman kufa nadhan huko niendako nitapata majibu na maswal counter book imejaaa yan nikiianzisha muswaaada au mdahalo nitapewa na sehemu ya kupimzika na kinywaji bari muswaada uendele keshoNi kweli. Vitu vingi vya biblia ukiwaza kibinadamu havileti maana. Just imagine safina iliyojengwa na binadamu na ikatosha wanyama aina zote tena wawili wawili na chakula chao sijui ilikuaje.
mwalim alisema ss tumebarikiwa kuzijua siri za ufalme wa mungu naaana manabiii wengi walitamani kuyashuhudia lakin hawakuwezaNi kweli. Vitu vingi vya biblia ukiwaza kibinadamu havileti maana. Just imagine safina iliyojengwa na binadamu na ikatosha wanyama aina zote tena wawili wawili na chakula chao sijui ilikuaje.
Tatizo linakuja biblia inasema wafu hawajui neno lolote.yan iyo ndo towa kabisa muda mwingine na taman kufa nadhan huko niendako nitapata majibu na maswal counter book imejaaa yan nikiianzisha muswaaada au mdahalo nitapewa na sehemu ya kupimzika na kinywaji bari muswaada uendele kesho
iyoiyo imeandika wafu huwa kama malaika (ancestors soo watu wa mchezo )ukienda nchi kama egypt ukasema ivo mbele za watu hakika utapigwa mawe hadi kufaaa😆😆😆Tatizo linakuja biblia inasema wafu hawajui neno lolote.
Hahahaiyoiyo imeandika wafu huwa kama malaika (ancestors soo watu wa mchezo )ukienda nchi kama egypt ukasema ivo mbele za watu hakika utapigwa mawe hadi kufaaa😆😆😆
Usisahau kuwa hata shetani anaweza kuleta mafuriko, kimbunga, tetemeko na majanga yeyote yaUle Mwanzo Kifungu cha 9 mstari8----utakutana na Msemo wa Mungu kuwa hataleta tena mafuriko hadi milele, kitu ambacho si kweli,mafuriko yanaendelea kuja kila mwaka na yanaua watu na kuharibu mali.
Au ule upinde wa mvua nao eti ni alama ya agano hilo, wakati ki sayansi upinde unatokana na refraction of light wakati wa mvua au mawingu.Lakini inasemwa eti ndio alama ya kumkumbusha Mungu asilete tena mafuriko.
Mbona upinde unatoka na Mungu huyo hakumbuki ,mafuriko kila mwaka?
Kitabu hiki kinatia shaka sana 'Authenticity' yake
Sayansi its all about facts. Kitu ambacho kwenye biblia hakipo.unamaana gan boss
Logic ndiyo hufanya vitu kuleta maana, ukishapata maana kunakuwa hakuna shaka bali ni uhakika... Kama kitu hakina logic manake hakimake sense, na kama hakimake sense huwezi kuwa na uhakika nacho.Hivi hii "Logic" ina jambo gani jipya ?
Logic imekusaidia kwa lipi kuujua Ukweli,maana naona mnalitumia sana hili neno "Logic".
Ahsante.
Waterbender,
Usichoelewa ni kipi? Hivi huyo roho wa Mungu alikuwa anawaingia watu wa zamani tu? Siku hizi yupo bize au?
Mkuu ukileta logics kwenye hivi vitabu vya dini hakuna utakachoambulia utakuta wanakuita shetani na majina mabaya mabaya!
Hakuna cha roho wa Mungu wala wa shetani!!
Logic ndiyo hufanya vitu kuleta maana, ukishapata maana kunakuwa hakuna shaka bali ni uhakika... Kama kitu hakina logic manake hakimake sense, na kama hakimake sense huwezi kuwa na uhakika nacho.
Kwani pale palestina au Jordan au Iraq kuna wanyama wa aina ngapi ?Ni kweli. Vitu vingi vya biblia ukiwaza kibinadamu havileti maana. Just imagine safina iliyojengwa na binadamu na ikatosha wanyama aina zote tena wawili wawili na chakula chao sijui ilikuaje.
Ni pale tu Mungu anapomruhusu huyo shetani kufanya jambo ndio huweza kutenda tukio hilo na i vyenginevyo.Usisahau kuwa hata shetani anaweza kuleta mafuriko, kimbunga, tetemeko na majanga yeyote ya
watu kufua
Wakati Shetani anamjaribu Ayubu alipeleka kimbunga ikipiga nyumba watoto wake wakafaa.
Kuna tetemeko lilitokea Japan Ni mkono wa watu waliosababisha tetemeko.
Sawa, hawa wengine waliumbwa baada ya gharika? Au walikuwepo ila gharika haikuwahusu?Kwani pale palestina au Jordan au Iraq kuna wanyama wa aina ngapi ?
Si unaona kule ni jangwa na wanyama wachache wa kijangwa jangwa?
Sasa ulidhaniwewe ni wanyama kutoka Afrika ndio walitiwa kwenye safina hiyo?
Inategemea yule Nuhu pale alipokuwa kwa wakati wake kulikuwa na aina gani ya wanyama,na haina maana wanyama wote duniani.
Mbona rahisi tu, we hujui nini hufata baada ya mtu kufa?Haki make sense kwa kuzingatia nini ?
Unaweza kuujua ukweli juu ya nini kinafata baada ya mtu kufa ? Tumia logic kuujua uhakika wa jambo hilo.
Logic ni mtindo wa kufikiri tu, na sio kweli ukijua maana ya jambo fulani shaka inaondoka na unapata uhakika wa jambo, kwani unaweza kulijua jambo uhakika wake bila kujua maana ya jambo hilo.
Wanasema hivi wabobezi wa logic " ....definitions are not able to form concepts of reality because a definition is a statement and claim of a definer."
Naona kwa leo tosheka na kauo hiyo.
Swali zuri sana.Sawa, hawa wengine waliumbwa baada ya gharika? Au walikuwepo ila gharika haikuwahusu?