battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
Mimi nakubali kuwa mtu wa kwanza alikuwa Adam,na hata kisayansi inakuwa proved hivyo,Kwa mujibu ya Quran mtu wa kwanza ni Adam
Je ww mpk karne hii unakubali mtu wa kwanza alikuwa ni Adam?
isipokuwa wale wanaoleta theory ya kuw Kima alikuwako mwanzo kabla ya binadamu huyu wa leo pia ni sahihi,lakini stori ya kuwa binadamu katokana na nyani hiyo ni ya kubuni eti binadamu katokana na nyani?, Evolution theory ya Darwin' haina ukweli wowote, hata sayansi haikubalianina hilo.
Kama ingelikuwa kweli,tungeliona manyani zama zetu hizi wakibadilika kuwa binadamu,mbona hakuna hilo?
Hivyo ni Uongo.
Ukweli ni kwamba Mungu aliumba wanyama wote kabla ya Binadamu,ambaye aliumbwa mwisho kabisa.