Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

Kwa mujibu ya Quran mtu wa kwanza ni Adam

Je ww mpk karne hii unakubali mtu wa kwanza alikuwa ni Adam?
Mimi nakubali kuwa mtu wa kwanza alikuwa Adam,na hata kisayansi inakuwa proved hivyo,
isipokuwa wale wanaoleta theory ya kuw Kima alikuwako mwanzo kabla ya binadamu huyu wa leo pia ni sahihi,lakini stori ya kuwa binadamu katokana na nyani hiyo ni ya kubuni eti binadamu katokana na nyani?, Evolution theory ya Darwin' haina ukweli wowote, hata sayansi haikubalianina hilo.
Kama ingelikuwa kweli,tungeliona manyani zama zetu hizi wakibadilika kuwa binadamu,mbona hakuna hilo?
Hivyo ni Uongo.
Ukweli ni kwamba Mungu aliumba wanyama wote kabla ya Binadamu,ambaye aliumbwa mwisho kabisa.
 
Mimi nakubali kuwa mtu wa kwanza alikuwa Adam,na hata kusayansi inakuwa proved hivyo,
isipokuwa wale wanaoleta theory ya kuw Kima alikuwako mwanzokabla ya inadamu huyu wa leo tuliyenaye,story hiyo ni ya kubuni eti binadamu katokana na nyani,Evolution' hina ukweli wowote.
myu wa kwanza kiwa adam haiwezekan kata kidogo mkuu
 
Ukipasoma na kupaelewa vizuri utaona akiongea kwamba hatoiangamiza dunia nzima tena kwa mafuriko...Mungu asisingiziwe tu hata ya uwongo.Muda huu tumwombe yamo mengi anaweza kutuletea wepesi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hapo Mungu alikusudia kuangamiza Dunia nzima sio maeneo fulani mahasusi .
Ikiwa ni hivyo naweza kuondoa hoja yangu,ila tutakuwa na hoja ya msingi. Je Mafuriko ya Noa (nuhu) yalikuwa Dunia nzima au katika kile kitongoji alichoishi Noa tuu?
Kama yupo anayeweza kutufumbulia hilo pls aweke hoja hapa.
 
Kwa akili za darasani na za kudanganywa na wazungu dunia Ni duara, lakini kiimani dunia Ni tambarare na Ni fumbo kuu Sana.
Hapana hili fumbo Mungu alisha lifumbua kwa Qur-an,Lilikuwa fumbo huko nyuma kablaya Kuja Qur-an.
soma hapa.Suratu Zumara ya 39 aya ya 5:-
''39:5. Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchana juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimojapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni mtanabahi! Yeye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye kusamehe! ''
Dunia kuwa duara si suala la kisayansi tuu,bali ni kitu halisi unaweza kukigundua wewe binafsi ukisimama kwenye uwanda utaligundua hilo.Akija mtu kwa mbali utaanza kumuona kichwa kidogokidogo utaendelea kumuona anaongozeka kama vile anatoka Kwenye kibonde.
Hivyo vivyo meli baharini pale inapo kuwa mbali utaona milingoti yake tuu. na kila ikikribia hujitokeza sehemu za juu na hatimae meli yote huonekana.
Hili Si Fumbo Hii Ni fact....
 
inakiwaje mkristo anaambiwa dunia ni duara anakubali
 
Unahabari imani hazitaki logics?
Hapana, umepotoka kwa kiasi kikubwa sana. Tofauti na kwenye sayansi, kwenye imani, vyote logical and illogical vinaweza kuwa true kwa wakati mmoja, au vikawa false vyote kwa wakati mmoja, au kile ambacho ni illogical kikawa true, halafu kile ambacho ni logical, kikawa false. Angalia mfano mzuri hapa chini

myu wa kwanza kiwa adam haiwezekan kata kidogo mkuu
Lete ushahidi wa hilo, na kama huna Itabaki kuwa hoja iliyopo ndiyo sahihi, ya kuwa Binadamu alianza kuwepo duniani kwa Kuumbwa Adm baba yetu. na mkewe Hawa

Qur-an
2:29. Yeye ( Mungu) ndiye aliye kuumbieni (Nyinyi watu vyote vilivyomo katika ardhi kabla ya kuwepokwenu). Tena akazielekea mbingu, na akazifanya mbingu saba. Naye ndiye Mjuzi wa kila kitu."
2: 30. Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (Msimamizi ambaye ni Adam na kizazi chake), wakasema: Utaweka humo (Mtua) atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu,wakati sisi tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua. ''

7:11Sisi tumemuumba baba yenu Adam, na tukampa sura. Kisha tukawaambia Malaika: Mtukuzeni! Wakamtukuza kwa kut'ii amri ya Mola wao Mlezi, ila Iblisi hakut'ii.
 
inakiwaje mkristo anaambiwa dunia ni duara anakubali
Ni sawa kusema duara au Tufe au Mviringo ,
Lakini ni kosa kusema ni tambarare tuu kama sinia, hii inapingana na fact ya Maneo yake Mungu na pia upembuzi wa kisayansi.
Elimu itatuweka Huru na Tutamjua sana Mungu kwa Elimu.
Hebu Itazame aya hii
Qur-an
22:5. Enyi watu! Ikiwa nyinyi mna shaka ya kufufuliwa basi kwa hakika Sisi tulikuumbeni kutokana na udongo, kisha kutokana na manii, kisha kutokana na kipande cha damu ilio gandana, kisha kutokana na kipande cha nyama chenye umbo na kisicho kuwa na umbo, ili tukubainishieni. Nasi tunakiweka katika matumbo ya uzazi tunacho kitaka mpaka muda ulio wekwa. Kisha tunakutoeni kwa hali ya mtoto mchanga, kisha mfikie kutimia akili. Na wapo katika nyinyi wanao kufa, na wapo katika nyinyi wanao rudishwa kwenye umri wa unyonge kabisa(Uzee), hata mtu awe hajui kitu baada ya kuwa anakijua. Na unaiona ardhi imetulia kimya, lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, na kumea kila namna ya mimea mizuri.
 
Mwanzo 11 mstari wa 4

Usitake kuniambieni wajenzi wa babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana.

Turudi kwenye uduara project zinazoendelea duniani na nchi ni tofauti kuhusu mambo ya space. Ukisema wote ni wapotoshaji iyo ni ngumu kumeza.

KATIKA vitabu ambavyo vinasifika kuwa na content ya maaana ni kitabu cha Mwanzo.

Study questions
Je, tuseme hatujui kutafsiri maandiko?
Je, tuseme andiko hilo haliko sahii bali wanaspace ndio wako sahihi
Je, wajenzi wa babel walikuwa ni wajinga ivo? Au kuna kitu' au walikuwa wana mambo yao ambayo ni tofauti na andiko? Kumbuka Mungu ndiye alie stopisha ile activity

Nakaribisha mchango wenu wana bodi.

Mheshimiwa umeuliza swali zuri lakini nataka kukwambia kuwe wenye hizo dini husema kuwa "Imani ni mambo ya kweli bayana ya yasiyoonekana" hivyo inabidi uyaamini hivyo hivyo tu (hata kama akili haitaki jilazimishe)😁 zaidi ya hapo utaitwa majina yote mabaya mwisho utaambiwa una mapepo au huna roho wa MUNGU.

Nionavyo mimi nje ya imani ni kuwa mnara wa babeli ulianguka kwa kuwa wakandarasi walikosea vipimo. Hata ile mvua ya gharika enzi za Nuhu haikunyesha Dunia nzima isipokuwa walioripoti habari hiyo walikuwa maeneo hayo na hawakuwahi kutoka kwenda sehemu nyingine hivyo "Dunia" yao ndiyo ilijaa maji na pia ukumbuke maeneo iliyonyesha kulikuwa na mito mikubwa miwili (Eufretis na Tigris) na kawaida sehemu zilizo karibu na mito zina sifa ya bonde (na mito ilifurika) ndiyo maana maji yalijaa haraka.

Hivyo mambo ya dini yaache kama yalivyo.
 
Ilikuwa ni njia ya binadamu yya kutaka KUMUONA/ kumfikia Mungu iliyokuwa na mtazamo hasi
Huwezi kujenga kitu kikasisimama kwenye vast emptiness.. Kule kuangushwa kwa mnara ilikuwa ni Mungu tu kuonesha makucha yake lakini hata kama angewaacha wasingefika mbali

Jr[emoji769]

Ni wewe unafikiri hivyo au ni facts zilizothibitika.?
 
Mheshimiwa umeuliza swali zuri lakini nataka kukwambia kuwe wenye hizo dini husema kuwa "Imani ni mambo ya kweli bayana ya yasiyoonekana" hivyo inabidi uyaamini hivyo hivyo tu (hata kama akili haitaki jilazimishe)😁 zaidi ya hapo utaitwa majina yote mabaya mwisho utaambiwa una mapepo au huna roho wa MUNGU.

Nionavyo mimi nje ya imani ni kuwa mnara wa babeli ulianguka kwa kuwa wakandarasi walikosea vipimo. Hata ile mvua ya gharika enzi za Nuhu haikunyesha Dunia nzima isipokuwa walioripoti habari hiyo walikuwa maeneo hayo na hawakuwahi kutoka kwenda sehemu nyingine hivyo "Dunia" yao ndiyo ilijaa maji na pia ukumbuke maeneo iliyonyesha kulikuwa na mito mikubwa miwili (Eufretis na Tigris) na kawaida sehemu zilizo karibu na mito zina sifa ya bonde (na mito ilifurika) ndiyo maana maji yalijaa haraka.

Hivyo mambo ya dini yaache kama yalivyo.
yan mm kitu ambacho naona hakisound au sijakielewa siwez amin hat kidogo
 
Mwanzo 11 mstari wa 4

Usitake kuniambieni wajenzi wa babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana.

Turudi kwenye uduara project zinazoendelea duniani na nchi ni tofauti kuhusu mambo ya space. Ukisema wote ni wapotoshaji iyo ni ngumu kumeza.

KATIKA vitabu ambavyo vinasifika kuwa na content ya maaana ni kitabu cha Mwanzo.

Study questions
Je, tuseme hatujui kutafsiri maandiko?
Je, tuseme andiko hilo haliko sahii bali wanaspace ndio wako sahihi
Je, wajenzi wa babel walikuwa ni wajinga ivo? Au kuna kitu' au walikuwa wana mambo yao ambayo ni tofauti na andiko? Kumbuka Mungu ndiye alie stopisha ile activity

Nakaribisha mchango wenu wana bodi.
katika philosophy kuna kitu kinaitwa DEVINE POWER kwenye kipengele cha theology,hii power maana yake dini zote (Islamic or Christianity) zinakuwa na mfumo wa kupokea maelekezo bila kumruhusu muumini kuthink big and logically,badala yake muumini hupaswa kuyapokea maelekezo hayo na kuyaamini,hii ndiyo mzizi wa neno imani,sasa ukitumia tukio la ujenzi wa Mara wa babel Ku conclude kuwa dunia ni flat utafail maana hata hao wajenzi hawakufika walikokuwa wanakusudia,hii inawezekana kabisa dunia ni duara ndo maana walishindwa kufika
 
nimekuelewa. kwahiyo unataka kusema wajenzi wa babel no wajinga flan tu
 
Ulimwengu ulitokeaje?
Kitabu cha mwanzo ni story za kubuni hakina uhalisia wowote kuhusu uumbaji
Ukitaka kujua kiundani labda nikuulize kitabu cha mwanzo kiliandikwa na nani na mwaka gani?

Na hao waliondika walikuwa watu wa taifa gani?
 
Yaani sisi wanadamu tunajidanganya Sana kumfanyia utafiti Mungu kwa kutumia sayansi yetu ili kumfahamu, kujua alichokifanya alikifanyaje, kujua alipo pakoje, kujua Kama yupo alitoka wapi n.k

Dunia hii na ulimwengu kiujumla havipo kwa bahati nasibu, Ni mpangilio wa kanuni kuu Sana zilizo nje ya muafaka wa kisayansi, sayansi hii ni kanuni ndogo Sana ya kutusaidia tuishi na siyo kutusaidia kumchambua Mungu kwa uwezo wa sayansi hii.

Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo milele, ujuaji wetu Wala hauwezi kuleta badiliko lolote la kanuni za Mungu.

Kwa akili za darasani na za kudanganywa na wazungu dunia Ni duara, lakini kiimani dunia Ni tambarare na Ni fumbo kuu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mungu wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom