ndugu yangu, unachojaribu kufanya ni kutumia "logic"
swala la hili linaweza kuwa tofauti na logic unazojaribu kutumia hivyo jiandae kusikiliza mawazo mapya unaweza kubadiri mtizamo
Unajaribu kutumia limited thinking yako, sometimes inabidi kupanua wigo wa kufikiri kwa kusikiliza na wengine wanasemaje.Logic ndio yakufuatwa kinyume cha logic ni illogic, je tufuate illogic??!!.
Logic ni kwamba hakuna kitu chenye kutenda kinidhamu na kikose muumbaji au mtengenezaji wake aliyekiwekea hiyo nidhamu ili kikidhi haja kusudiwa.---- hiyo ndio point ya kutafakari.
Unajaribu kutumia limited thinking yako, sometimes inabidi kupanua wigo wa kufikiri kwa kusikiliza na wengine wanasemaje.
Wanao okota makopo sio vichaaAjabu kewli !
unatka kutunga kitabu cha kusema
Eti Mama yako mzazi na Mwanamme aliyefanya naye ngoo hawakuwepo, wewe umezuka tuu?
Nakingoja kwa hamu sana.
Maana Mungu alipoamua kukupa mikono miwili na si mmoja wala mitatau ,bado hujajua uwepo wake.
Andika ili tuone Kama Idadi ya vichaa imeongezeka kiasi gani hapa ulimwenguni.
Kwa vile siku hizi makopo yapo mengi sana kuliko zamani,utatusaidia kukusanya Chupa za maji na Chupa za Pombe.
Nasubiri kwa hamu hicho KITABU
Katika tumbo la mama kulikuwa na watoto wawili. Mmoja akamuuliza mwenzake: “Je, unaamini maisha baada ya kujifungua?” Yule mwingine akajibu, “Kwa nini, bila shaka. Lazima kuwe na kitu baada ya kujifungua. Labda tuko hapa kujitayarisha kwa kile tutakachokuwa baadaye.” "Upuuzi," wa kwanza alisema. "Hakuna maisha baada ya kujifungua. Je, hayo yangekuwa maisha ya aina gani?” Wa pili akasema, "Sijui, lakini kutakuwa na mwanga zaidi kuliko hapa. Labda tutatembea kwa miguu yetu na kula kutoka kwa midomo yetu. Labda tutakuwa na hisia zingine ambazo hatuwezi kuelewa sasa. Wa kwanza akajibu, “Huo ni upuuzi. Kutembea haiwezekani. Na kula kwa midomo yetu? Kichekesho! Kamba ya umbilical hutoa lishe na kila kitu tunachohitaji. Lakini kamba ya umbilical (kondo la nyuma) ni fupi sana.
Maisha baada ya kujifungua yanapaswa kutengwa kimantiki.” Wa pili alisisitiza, "Nadhani kuna kitu na labda ni tofauti na ilivyo hapa. Labda hatutahitaji kamba hii ya mwili tena." Wa kwanza akajibu, “Upuuzi. Na zaidi ya hayo, ikiwa kuna uhai, basi kwa nini hakuna mtu aliyewahi kurudi kutoka huko? Kujifungua ni mwisho wa maisha, na katika baada ya kuzaa hakuna ila giza na ukimya na usahaulifu. Haitupeleki popote.” “Sawa, sijui,” akasema wa pili, “lakini hakika tutakutana na Mama naye atatutunza.”
Wa kwanza akajibu “Mama? Unamwamini Mama kweli? Hiyo inachekesha. Kama mama yupo, yuko wapi sasa hivi?" Wa pili akasema, “Anatuzunguka pande zote. Tumezungukwa naye. Sisi ni wake. Ni ndani Yake tunaishi. Bila Yeye, ulimwengu huu haungekuwepo na tusingekuwepo." Alisema wa kwanza: "Kweli, simuoni, kwa hivyo ni sawa kwamba Yeye hayupo." Ambayo wa pili alijibu, "Wakati mwingine, unapokuwa kimya na ukizingatia na kusikiliza, unaweza kuona uwepo Wake, na unaweza kusikia sauti Yake ya upendo, ikiita kutoka juu." Labda hii ilikuwa moja ya maelezo bora ya dhana ya MUNGU.
View attachment 2240141
Hakika wewe ni mtunzi mzuri lakini umechukua hadithi ya mazingira ya kwetu ukataka kuiuisha iwe ya kimungu.Katika tumbo la mama kulikuwa na watoto wawili. Mmoja akamuuliza mwenzake: “Je, unaamini maisha baada ya kujifungua?” Yule mwingine akajibu, “Kwa nini, bila shaka. Lazima kuwe na kitu baada ya kujifungua. Labda tuko hapa kujitayarisha kwa kile tutakachokuwa baadaye.” "Upuuzi," wa kwanza alisema. "Hakuna maisha baada ya kujifungua. Je, hayo yangekuwa maisha ya aina gani?” Wa pili akasema, "Sijui, lakini kutakuwa na mwanga zaidi kuliko hapa. Labda tutatembea kwa miguu yetu na kula kutoka kwa midomo yetu. Labda tutakuwa na hisia zingine ambazo hatuwezi kuelewa sasa. Wa kwanza akajibu, “Huo ni upuuzi. Kutembea haiwezekani. Na kula kwa midomo yetu? Kichekesho! Kamba ya umbilical hutoa lishe na kila kitu tunachohitaji. Lakini kamba ya umbilical (kondo la nyuma) ni fupi sana.
Maisha baada ya kujifungua yanapaswa kutengwa kimantiki.” Wa pili alisisitiza, "Nadhani kuna kitu na labda ni tofauti na ilivyo hapa. Labda hatutahitaji kamba hii ya mwili tena." Wa kwanza akajibu, “Upuuzi. Na zaidi ya hayo, ikiwa kuna uhai, basi kwa nini hakuna mtu aliyewahi kurudi kutoka huko? Kujifungua ni mwisho wa maisha, na katika baada ya kuzaa hakuna ila giza na ukimya na usahaulifu. Haitupeleki popote.” “Sawa, sijui,” akasema wa pili, “lakini hakika tutakutana na Mama naye atatutunza.”
Wa kwanza akajibu “Mama? Unamwamini Mama kweli? Hiyo inachekesha. Kama mama yupo, yuko wapi sasa hivi?" Wa pili akasema, “Anatuzunguka pande zote. Tumezungukwa naye. Sisi ni wake. Ni ndani Yake tunaishi. Bila Yeye, ulimwengu huu haungekuwepo na tusingekuwepo." Alisema wa kwanza: "Kweli, simuoni, kwa hivyo ni sawa kwamba Yeye hayupo." Ambayo wa pili alijibu, "Wakati mwingine, unapokuwa kimya na ukizingatia na kusikiliza, unaweza kuona uwepo Wake, na unaweza kusikia sauti Yake ya upendo, ikiita kutoka juu." Labda hii ilikuwa moja ya maelezo bora ya dhana ya MUNGU.
View attachment 2240141
Nadhani wewe umesoma na kuelimika hivyo unatambua vema tofauti iliyopo kati ya herufi kubwa na herufi ndogo. Hapo kwenye neno mungu mimi nilimaanisha Mungu lakini wewe kutokana na uandishi wako umemaanisha mungu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisaHakika wewe ni mtunzi mzuri lakini umechukua hadithi ya mazingira ya kwetu ukataka kuiuisha iwe ya kimungu.
Huko si kuthibitisha uwepo wa mungu bali kutengeneza mungu wako na mbingu yako kwa kutumia fikra zako.
uwepo au kutokuwepo kwa mungu kuna mambo yaliyojificha mabayo yanatakiwa kuwekwa wazi na hayo ndiyo yatafungua fikra za wanadamu juu ya uwepo au kutokuwepo kwa huo ulimwengu udhaniwao.
kasema hakuna uchawi sasa wachawi wenzake kivipiSio Kila imani ziko sawa,Kuna imani nyingine ni potofu.
Imani ya kweli Ina hoja yenye nguvu na ya wazi iliyojengeka kielimu.
Hao mababu zako walishindwa hoja za kutetea imani zao potofu wakaona wafuate imani ya kweli yenye hoja thabiti.
Wenye imani kama yako ya kutoamini uwepo wa mungu ni wengi na walikuwepo tokea kitambo Ila hoja zao ni dhaifu na ndio maana watu hawafuati.
Hicho kitabu chako utakisoma na wachawi wenzako (washirikina).
Usikute mtu anajifanya haamini uchawi kumbe yeye ndo mchawi mkuu. Anataka awalaze watu kwenye ujinga Ili afanye mashambulizi yake.
na wewe ukaaminiUchawi aupo na watu wanaroga na kutumia majini Live bila chenga.
Hadi wanajitangaza Youtube.
- YouTube
Auf YouTube findest du die angesagtesten Videos und Tracks. Außerdem kannst du eigene Inhalte hochladen und mit Freunden oder gleich der ganzen Welt teilen.t.co
mbona umepaniki mkuu,ho wazazi ndio inaweza kua huja yake kuwa hakuna Mungu maana angekuwepo ungetoke bila wazazi,hija ya mikono ni dhaifu,wapo wanaozaliwa hawana mikono wala miguu.tuliza munkari weka hojaAjabu kewli !
unatka kutunga kitabu cha kusema
Eti Mama yako mzazi na Mwanamme aliyefanya naye ngoo hawakuwepo, wewe umezuka tuu?
Nakingoja kwa hamu sana.
Maana Mungu alipoamua kukupa mikono miwili na si mmoja wala mitatau ,bado hujajua uwepo wake.
Andika ili tuone Kama Idadi ya vichaa imeongezeka kiasi gani hapa ulimwenguni.
Kwa vile siku hizi makopo yapo mengi sana kuliko zamani,utatusaidia kukusanya Chupa za maji na Chupa za Pombe.
Nasubiri kwa hamu hicho KITABU
kinatoka liniHizo unazosema ni hulka za biashara.
nimekwambia hiki ni kitabu cha ugunduzi kinacholenga kuleta ukweli juu ya imani.
siyo swala la kuwadanganya watu ili uuze, ukijiona unajua kila kitu katika imani "well and good" lakini ukihisi kuna kitu ungependa kukijua zaidi kitafute ukijue.
je kama kiarabu hawana herufi ndogo wala kubwa manake hayo masharti hayawahusu??kwenye matamshi M na m kuna tufauti?? nani aliyesema M ni herufi kubwa kuliko m au ni kikundi ch watu tu pengine walikua wamelewa? leo wakiamua M iwe ndogo na m indio iwe kubwa masharti yatabadilika na huyo Mungu atachukia??Nadhani wewe umesoma na kuelimika hivyo unatambua vema tofauti iliyopo kati ya herufi kubwa na herufi ndogo. Hapo kwenye neno mungu mimi nilimaanisha Mungu lakini wewe kutokana na uandishi wako umemaanisha mungu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
katika watu wanaosoma kwa kukariri ni waislamu.haiitaji utafiti fungua katikati ya msahafu nenda madrasa mpe kijana atakusomea kama anakunywa maji mwambie sasa akwambie maana yake nini hajuiMimi naaminikitu ninachokijua na wala sobahatishi,SisiWaislamu marammnyingi huwa tunasoma kwa kufahamu si kukariri tuu.Tunaposema kuna MUngu tuna maana Mwenye kumiliki Dunia nia Vilivyomo ndani yake ,Anga na Mbingu na Sayari na vile tusivyowez kuvidiriki.
Hakuna yeyote aliyedai kumiliki vitu hivyoisipokuwa Yeye Mmoja tuu Mungu
hakuna kifo cha Mungu.kifo ni nature perfectionKwa mujibu wa Biblia QURAN na elimu za uchawi majibu kuhusu hizo sauti za mababu ni michezo ya shetani kuwahadaa watu.
Mtu akishakufa hana tena connection na walio hai. Japo wapo wanaokufa na wanarejea tena duniani lakini sio kwa kifo cha Mungu. Maana zipo aina mbili za vifo.
bahati mbaya sana mimi sijasoma lugha kama somo mama hivyo tafsiri yangu ya "kuelimika" haiko katika utaalamu wa lugha bali uwezo wa kuchakata mambo mbalimbali yaliyoko katika jamii na kuyapa mantiki.Nadhani wewe umesoma na kuelimika hivyo unatambua vema tofauti iliyopo kati ya herufi kubwa na herufi ndogo. Hapo kwenye neno mungu mimi nilimaanisha Mungu lakini wewe kutokana na uandishi wako umemaanisha mungu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa