Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

Hivyo vitu ndio vinatengeneza maana kusudiwa na ndio maana hata wewe umevitumia ..Alama moja ndogo sana inaweza kubadili kila kitu..
Angalia umuhimu wa hizo alama kwenye maandishi kwa kusoma mfano huu.. Huyu jamaa alinusurika kifo kisa tu matumizi ya alama ya mkato

Hakimu kwenye hukumu yake alihitimisha kwa kuandika
Hang him not, let him go!
Kumbe alitaka kumaanisha
Hang him, not let him go!

Tunafeli katika maisha kwa kudharau vitu vidogo vidogo kama hivi kumbe ndio vinatengeneza tafsiri kusudiwa.. Kama mtu si mtaalam wa lugha imanaanisha basi huyo hajaelimika ..
Aisee!!!🙏🙏🙏
 
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.

Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana hii ya Mungu na uchawi au kutokuelewa kabisa.

Kuelewa chimbuko ni heri lakini kutokuelewa ina maana mimi na wewe tumekalilishwa mambo tusiyojua chimbuko lake.

kwa kifupi, hakuna binadamu anayeweza kufurahia kutokuwepo kwa Mungu lakini kujiaminisha juu ya uwepo wake kama ukweli ni hayupo basi kuamini yupo hakutusaidii na kule kusema hayupo kama yupo hakutusaidii.

Zipo faida za kujua ukweli na zipo hasara za kujua ukweli lakini daima tunaimba ukweli ndiyo utatuweka huru.

Mijadala kama hii ya Uwepo au Kutokuwepo kwa Mungu imekuwepo dunia tangu kale enzi za plato lakini kiukweli ni lazima tutambue kuwa ukweli juu ya jambo hili siyo rahisi kuupata kwa kufanya malumbano ya hoja au "debate".

Ukweli juu ya jambo umekaa katika ugunzi wa siri iliyojificha nyuma ya pazia la imani ni nini?

Kosa kubwa walilolifanya mababu zetu na wanaloendelea kulifanya mpaka leo katika mambo ya imani ni kuamini sauti wasizozitambua. Kwamba anatokea binadamu mmoja anasikia sauti ikimwambia mimi ni babu yako nenda kafanye moja mbili tatu, basi binadamu huyu kuamini kuwa kweli nilikuwa nikizungumza na babu yangu na kufuata maelekezo aliyopewa ndilo kosa la kwanza.

Je kama huyu tunayesema kusikia sauti ikisema mimi ni babu yako kapewa maelekezo akafuata ni kosa, je yule anayesikia sauti ikimwambia mimi ni mtakatifu fulani au ni jina fulani lolote kubwa la kiimani nakuwa sahihi?

hapa kuna mtego ambao ni kujua je ni kitu gani kiliwasiliana na hawa na kutambua kama kweli ni hicho hicho kilichojitangaza kuwa ndicho na hiyo ndiyo siri ya ugunduzi nyuma yaimani.

yeyote asiyejua siri hiyo atabaki kutumia mambo yaleyale aliyoelezwa mtu mwingine kutetea maagizo bila kuwa na ushahidi wa kujua ni kitu gani.

Kaa Tayari kujua nyuma ya mapazia ya imani kuna nini?

lakini shaka yangu ni juu ya mitizamo ya jamii juu ya imani kwa maana hawaruhusu mtu yeyote ku challenge imani zilizopo.

Kama Diamond alifungiwa mziki wake kwa kupokea simu kanisani basi mimi najiuliza hivi kitabu changu hiki kitaruhusiwa?

Neno moja niwakumbushe watanzania ni kuwa zamani zilikuwepo imani za jadi, mababu zetu walitetea na kuzilinda imani hizo kuliko sisi tunavyofanya leo lakini leo hii imani hizo tunaziona za kipuuzi na kuziita za kishetani. Hii inatufundisha kuwa upo uwezekano wa imani tulizo nazo leo na kuziona za maana huko mbeleni kuonekana za kipuuzi hivyo tumsimpuuze yeyote mwenye kutaka kusema jambo juu ya imani zetu.
Karne ya 21 mtu anaandika upuuzi
 
katika watu wanaosoma kwa kukariri ni waislamu.haiitaji utafiti fungua katikati ya msahafu nenda madrasa mpe kijana atakusomea kama anakunywa maji mwambie sasa akwambie maana yake nini hajui
Watoto hao ndio hukaririshwa Qur-an,
wakikua hufunzwa tafsiri.
Ila kama wametoroka chuo ndio hubaki na Kuimba tuu .
 
sio kweli leo hii isomwe quran msikitini halafu mlete njemba yoyote ya kislam mwambiue akutafsirie hajue lolote na anaswali kila siku na kila sura anasoma
 
ukimaliza kuandika tunakupiga juju alafu na dua tunakuombea mungu anakuponya

Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.

Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana hii ya Mungu na uchawi au kutokuelewa kabisa.

Kuelewa chimbuko ni heri lakini kutokuelewa ina maana mimi na wewe tumekalilishwa mambo tusiyojua chimbuko lake.

kwa kifupi, hakuna binadamu anayeweza kufurahia kutokuwepo kwa Mungu lakini kujiaminisha juu ya uwepo wake kama ukweli ni hayupo basi kuamini yupo hakutusaidii na kule kusema hayupo kama yupo hakutusaidii.

Zipo faida za kujua ukweli na zipo hasara za kujua ukweli lakini daima tunaimba ukweli ndiyo utatuweka huru.

Mijadala kama hii ya Uwepo au Kutokuwepo kwa Mungu imekuwepo dunia tangu kale enzi za plato lakini kiukweli ni lazima tutambue kuwa ukweli juu ya jambo hili siyo rahisi kuupata kwa kufanya malumbano ya hoja au "debate".

Ukweli juu ya jambo umekaa katika ugunzi wa siri iliyojificha nyuma ya pazia la imani ni nini?

Kosa kubwa walilolifanya mababu zetu na wanaloendelea kulifanya mpaka leo katika mambo ya imani ni kuamini sauti wasizozitambua. Kwamba anatokea binadamu mmoja anasikia sauti ikimwambia mimi ni babu yako nenda kafanye moja mbili tatu, basi binadamu huyu kuamini kuwa kweli nilikuwa nikizungumza na babu yangu na kufuata maelekezo aliyopewa ndilo kosa la kwanza.

Je kama huyu tunayesema kusikia sauti ikisema mimi ni babu yako kapewa maelekezo akafuata ni kosa, je yule anayesikia sauti ikimwambia mimi ni mtakatifu fulani au ni jina fulani lolote kubwa la kiimani nakuwa sahihi?

hapa kuna mtego ambao ni kujua je ni kitu gani kiliwasiliana na hawa na kutambua kama kweli ni hicho hicho kilichojitangaza kuwa ndicho na hiyo ndiyo siri ya ugunduzi nyuma yaimani.

yeyote asiyejua siri hiyo atabaki kutumia mambo yaleyale aliyoelezwa mtu mwingine kutetea maagizo bila kuwa na ushahidi wa kujua ni kitu gani.

Kaa Tayari kujua nyuma ya mapazia ya imani kuna nini?

lakini shaka yangu ni juu ya mitizamo ya jamii juu ya imani kwa maana hawaruhusu mtu yeyote ku challenge imani zilizopo.

Kama Diamond alifungiwa mziki wake kwa kupokea simu kanisani basi mimi najiuliza hivi kitabu changu hiki kitaruhusiwa?

Neno moja niwakumbushe watanzania ni kuwa zamani zilikuwepo imani za jadi, mababu zetu walitetea na kuzilinda imani hizo kuliko sisi tunavyofanya leo lakini leo hii imani hizo tunaziona za kipuuzi na kuziita za kishetani. Hii inatufundisha kuwa upo uwezekano wa imani tulizo nazo leo na kuziona za maana huko mbeleni kuonekana za kipuuzi hivyo tumsimpuuze yeyote mwenye kutaka kusema jambo juu ya imani zetu.
 
Mungu yupo. ila sio Mungu ambaye ambaye wakristo ,waislamu na dini za magharibi. Shetani yupo lakn sio kama ninavyo muelezea, Uchawi upo lakn. sio kama wanavyotelezea. Uchawi ni sana isiyotumia maarifa kisayansi. Mungu upendo, haki na usawa .Love,Rightness and Equlity( world balance and Equilibrium). Usirudie tena kusema Mungu Mungu hayupo. Naenda wanaabudu Jua,Mwezi , Nyota, Image(sanamu,wapo wanao Abdullah Ng'ombe,
sana wewe unaposema.Mungu hasupo unashsngaza.
 
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.

Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana hii ya Mungu na uchawi au kutokuelewa kabisa.

Kuelewa chimbuko ni heri lakini kutokuelewa ina maana mimi na wewe tumekalilishwa mambo tusiyojua chimbuko lake.

kwa kifupi, hakuna binadamu anayeweza kufurahia kutokuwepo kwa Mungu lakini kujiaminisha juu ya uwepo wake kama ukweli ni hayupo basi kuamini yupo hakutusaidii na kule kusema hayupo kama yupo hakutusaidii.

Zipo faida za kujua ukweli na zipo hasara za kujua ukweli lakini daima tunaimba ukweli ndiyo utatuweka huru.

Mijadala kama hii ya Uwepo au Kutokuwepo kwa Mungu imekuwepo dunia tangu kale enzi za plato lakini kiukweli ni lazima tutambue kuwa ukweli juu ya jambo hili siyo rahisi kuupata kwa kufanya malumbano ya hoja au "debate".

Ukweli juu ya jambo umekaa katika ugunzi wa siri iliyojificha nyuma ya pazia la imani ni nini?

Kosa kubwa walilolifanya mababu zetu na wanaloendelea kulifanya mpaka leo katika mambo ya imani ni kuamini sauti wasizozitambua. Kwamba anatokea binadamu mmoja anasikia sauti ikimwambia mimi ni babu yako nenda kafanye moja mbili tatu, basi binadamu huyu kuamini kuwa kweli nilikuwa nikizungumza na babu yangu na kufuata maelekezo aliyopewa ndilo kosa la kwanza.

Je kama huyu tunayesema kusikia sauti ikisema mimi ni babu yako kapewa maelekezo akafuata ni kosa, je yule anayesikia sauti ikimwambia mimi ni mtakatifu fulani au ni jina fulani lolote kubwa la kiimani nakuwa sahihi?

hapa kuna mtego ambao ni kujua je ni kitu gani kiliwasiliana na hawa na kutambua kama kweli ni hicho hicho kilichojitangaza kuwa ndicho na hiyo ndiyo siri ya ugunduzi nyuma yaimani.

yeyote asiyejua siri hiyo atabaki kutumia mambo yaleyale aliyoelezwa mtu mwingine kutetea maagizo bila kuwa na ushahidi wa kujua ni kitu gani.

Kaa Tayari kujua nyuma ya mapazia ya imani kuna nini?

lakini shaka yangu ni juu ya mitizamo ya jamii juu ya imani kwa maana hawaruhusu mtu yeyote ku challenge imani zilizopo.

Kama Diamond alifungiwa mziki wake kwa kupokea simu kanisani basi mimi najiuliza hivi kitabu changu hiki kitaruhusiwa?

Neno moja niwakumbushe watanzania ni kuwa zamani zilikuwepo imani za jadi, mababu zetu walitetea na kuzilinda imani hizo kuliko sisi tunavyofanya leo lakini leo hii imani hizo tunaziona za kipuuzi na kuziita za kishetani. Hii inatufundisha kuwa upo uwezekano wa imani tulizo nazo leo na kuziona za maana huko mbeleni kuonekana za kipuuzi hivyo tumsimpuuze yeyote mwenye kutaka kusema jambo juu ya imani zetu.
Labda kama unaandika helanya za Abunuasi. Ukweli Mungu yupo na uchawi upo!
 
Baada ya kushiba,unaweka toothpick kinywani unachokoa meno mara paaap unapata wazo la kuandika kitabu.

Kitabu chenyewe sasa,,,,,

Yaaan wewe Mbupu kweli kweli,,,aya nenda kashibe makande tena.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Lakini amesema hajasomea utaalamu wa lugha, au mimi sijamuelewa?
Alielekea kusema hivyo baada ya kukosolewa kuhusu matumizi ya neno Mungu & mungu, maana aliandika mungu akimaanisha Mungu hivyo akajitangaza kuwa yeye ni kilaza tu hajui tofauti ya hayo majina, ndipo akajitetea kuwa yeye si mtaalam wa lugha 😂
 
OK sawa basi kwa mtazamo huo hatuwezi kuwa na mjadala kati yetu
umesema vyema kwa maana haya si mashindano ya lugha bali hoja.

nimejaribu kutafuta historia ya watu waliowahi kuleta mapinduzi ya kifikra katika ulimwengu wa sayansi na wengi hawakuwa watu waliokalili yale ya kufundishwa.

najiandaa kuishangaza dunia
 
Unajua hata watu wanaokula nyama za watu wanaishangaza dunia!!
 
Nimelitoa kutoka kwa mleta mada, hebu angalia kichwa chake cha ha

Kaburi lako ulikwisha liandaa?
Tatizo kubwa la imani ni kwamba zimejilinda kwa kutumia "blackmails"watu wanatishwa.

ukifuatilia tangu kale, ilikuwa ni ngumu kwa mtu yeyote kuzisema vibaya imani zao kwenye jamii. ukija kwenye imani za kisasa wanadamu wamejengewa utamaduni wa kusikiliza tu na si kuhoji katika imani. na ukiuliza maswali magumu kuhusu mungu utaambiwa unakufuru.

kama tunataka kujua ukweli juu ya imani, tunatakiwa kushinda woga kwanza.
 
Kutishwa na kupewa faraja ni vitendo vinavyomjenga mtu kihulka (morally) ili mtu aweze kumjua na kumtambua Mungu aliyempatia neema na rehema bila ya yeye mtu kuziomba, ubongo unaofikiri ni neema aliyokupa Mungu pasina wewe kumuomba, Mungu alimpatia mtu ubongo unaofanya kazi katika discipline maalumu aliyoipanga Mungu mwenyewe, mtu kinyume chake badala ya kumkumbuka Yule aliyempa huo ubongo yeye anamkanusha kwa kutumia akili itokayo katika huo ubongo ambao alipewa na huyo huyo Mungu, akili inayotoka kwenye ubongo uliokuwa disciplined na huyoasa lazima utambue mtu hamjui Mungu kwa vitisho tu hata kwa faraja mtu anaweza kumkumbuka na kumjua Mungu, mfano mwanao anapofanya kosa sio kila kosa unatakiwa umchape, laaa bali kuna makosa mengine unatakiwa umfariji tu ili asirudie tena.
 
Right View is very important. Kusema hakuna uchawi siyo Right View kuhusu uchawi.
Unachotakiwa kuamini ni kwamba uchawi labda upo au labda haupo.
Kwamba,kama hakuna uchawi,watu wanaofanya uchawi haupo ,watu wanaofanya uchawi wanapoteza muda wao. Kama upo uchawi watu waelewe wakimdhuru mtu kwa uchawi KWA SABABU YOYOTE,wataadhibiwa.
Lakini kabla hujasema hakuna uchawi ni bora utafute kufahamu kuhusu mantra, mudra na mandala.
Au labda usome vajrabhairava tantras.
Hapo nadhani I have misrepresented the Great Beings kuhusu maoni ya kuhusu Right View.
Right View Ina vipengele viwili.
1. Kwanza lazima uamini kuhusu karma. Kuamini kuhusu karma maana yake Ni kuamini kwamba uovu unaadhibiwa na wema unazawadiwa.
2
Kuamini kwamba ndumba zipo.
 
Back
Top Bottom