Aisee!!!🙏🙏🙏Hivyo vitu ndio vinatengeneza maana kusudiwa na ndio maana hata wewe umevitumia ..Alama moja ndogo sana inaweza kubadili kila kitu..
Angalia umuhimu wa hizo alama kwenye maandishi kwa kusoma mfano huu.. Huyu jamaa alinusurika kifo kisa tu matumizi ya alama ya mkato
Hakimu kwenye hukumu yake alihitimisha kwa kuandika
Hang him not, let him go!
Kumbe alitaka kumaanisha
Hang him, not let him go!
Tunafeli katika maisha kwa kudharau vitu vidogo vidogo kama hivi kumbe ndio vinatengeneza tafsiri kusudiwa.. Kama mtu si mtaalam wa lugha imanaanisha basi huyo hajaelimika ..
Karne ya 21 mtu anaandika upuuziNdugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.
Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana hii ya Mungu na uchawi au kutokuelewa kabisa.
Kuelewa chimbuko ni heri lakini kutokuelewa ina maana mimi na wewe tumekalilishwa mambo tusiyojua chimbuko lake.
kwa kifupi, hakuna binadamu anayeweza kufurahia kutokuwepo kwa Mungu lakini kujiaminisha juu ya uwepo wake kama ukweli ni hayupo basi kuamini yupo hakutusaidii na kule kusema hayupo kama yupo hakutusaidii.
Zipo faida za kujua ukweli na zipo hasara za kujua ukweli lakini daima tunaimba ukweli ndiyo utatuweka huru.
Mijadala kama hii ya Uwepo au Kutokuwepo kwa Mungu imekuwepo dunia tangu kale enzi za plato lakini kiukweli ni lazima tutambue kuwa ukweli juu ya jambo hili siyo rahisi kuupata kwa kufanya malumbano ya hoja au "debate".
Ukweli juu ya jambo umekaa katika ugunzi wa siri iliyojificha nyuma ya pazia la imani ni nini?
Kosa kubwa walilolifanya mababu zetu na wanaloendelea kulifanya mpaka leo katika mambo ya imani ni kuamini sauti wasizozitambua. Kwamba anatokea binadamu mmoja anasikia sauti ikimwambia mimi ni babu yako nenda kafanye moja mbili tatu, basi binadamu huyu kuamini kuwa kweli nilikuwa nikizungumza na babu yangu na kufuata maelekezo aliyopewa ndilo kosa la kwanza.
Je kama huyu tunayesema kusikia sauti ikisema mimi ni babu yako kapewa maelekezo akafuata ni kosa, je yule anayesikia sauti ikimwambia mimi ni mtakatifu fulani au ni jina fulani lolote kubwa la kiimani nakuwa sahihi?
hapa kuna mtego ambao ni kujua je ni kitu gani kiliwasiliana na hawa na kutambua kama kweli ni hicho hicho kilichojitangaza kuwa ndicho na hiyo ndiyo siri ya ugunduzi nyuma yaimani.
yeyote asiyejua siri hiyo atabaki kutumia mambo yaleyale aliyoelezwa mtu mwingine kutetea maagizo bila kuwa na ushahidi wa kujua ni kitu gani.
Kaa Tayari kujua nyuma ya mapazia ya imani kuna nini?
lakini shaka yangu ni juu ya mitizamo ya jamii juu ya imani kwa maana hawaruhusu mtu yeyote ku challenge imani zilizopo.
Kama Diamond alifungiwa mziki wake kwa kupokea simu kanisani basi mimi najiuliza hivi kitabu changu hiki kitaruhusiwa?
Neno moja niwakumbushe watanzania ni kuwa zamani zilikuwepo imani za jadi, mababu zetu walitetea na kuzilinda imani hizo kuliko sisi tunavyofanya leo lakini leo hii imani hizo tunaziona za kipuuzi na kuziita za kishetani. Hii inatufundisha kuwa upo uwezekano wa imani tulizo nazo leo na kuziona za maana huko mbeleni kuonekana za kipuuzi hivyo tumsimpuuze yeyote mwenye kutaka kusema jambo juu ya imani zetu.
Watoto hao ndio hukaririshwa Qur-an,katika watu wanaosoma kwa kukariri ni waislamu.haiitaji utafiti fungua katikati ya msahafu nenda madrasa mpe kijana atakusomea kama anakunywa maji mwambie sasa akwambie maana yake nini hajui
sio kweli leo hii isomwe quran msikitini halafu mlete njemba yoyote ya kislam mwambiue akutafsirie hajue lolote na anaswali kila siku na kila sura anasomaWatoto hao ndio hukaririshwa Qur-an,
wakikua hufunzwa tafsiri.
Ila kama wametoroka chuo ndio hubaki na Kuimba tuu .
kwahiyo mwarabu au mrusi hiyo masharti hayamuhusu yanamuhusu mmatumbi tuHapa hatuandiki kiarabu bali Kiswahili
neno Mungu wewe umelitoa kwa nani?Muulize mleta mada kwanini yeye kamuita "Mungu".
kumbe inawezekana kitu kutokea bila kuumbwa kama yeye alivyotokeaYeye ni "causa causan" hivyo Yeye hajaumbwa.
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.
Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana hii ya Mungu na uchawi au kutokuelewa kabisa.
Kuelewa chimbuko ni heri lakini kutokuelewa ina maana mimi na wewe tumekalilishwa mambo tusiyojua chimbuko lake.
kwa kifupi, hakuna binadamu anayeweza kufurahia kutokuwepo kwa Mungu lakini kujiaminisha juu ya uwepo wake kama ukweli ni hayupo basi kuamini yupo hakutusaidii na kule kusema hayupo kama yupo hakutusaidii.
Zipo faida za kujua ukweli na zipo hasara za kujua ukweli lakini daima tunaimba ukweli ndiyo utatuweka huru.
Mijadala kama hii ya Uwepo au Kutokuwepo kwa Mungu imekuwepo dunia tangu kale enzi za plato lakini kiukweli ni lazima tutambue kuwa ukweli juu ya jambo hili siyo rahisi kuupata kwa kufanya malumbano ya hoja au "debate".
Ukweli juu ya jambo umekaa katika ugunzi wa siri iliyojificha nyuma ya pazia la imani ni nini?
Kosa kubwa walilolifanya mababu zetu na wanaloendelea kulifanya mpaka leo katika mambo ya imani ni kuamini sauti wasizozitambua. Kwamba anatokea binadamu mmoja anasikia sauti ikimwambia mimi ni babu yako nenda kafanye moja mbili tatu, basi binadamu huyu kuamini kuwa kweli nilikuwa nikizungumza na babu yangu na kufuata maelekezo aliyopewa ndilo kosa la kwanza.
Je kama huyu tunayesema kusikia sauti ikisema mimi ni babu yako kapewa maelekezo akafuata ni kosa, je yule anayesikia sauti ikimwambia mimi ni mtakatifu fulani au ni jina fulani lolote kubwa la kiimani nakuwa sahihi?
hapa kuna mtego ambao ni kujua je ni kitu gani kiliwasiliana na hawa na kutambua kama kweli ni hicho hicho kilichojitangaza kuwa ndicho na hiyo ndiyo siri ya ugunduzi nyuma yaimani.
yeyote asiyejua siri hiyo atabaki kutumia mambo yaleyale aliyoelezwa mtu mwingine kutetea maagizo bila kuwa na ushahidi wa kujua ni kitu gani.
Kaa Tayari kujua nyuma ya mapazia ya imani kuna nini?
lakini shaka yangu ni juu ya mitizamo ya jamii juu ya imani kwa maana hawaruhusu mtu yeyote ku challenge imani zilizopo.
Kama Diamond alifungiwa mziki wake kwa kupokea simu kanisani basi mimi najiuliza hivi kitabu changu hiki kitaruhusiwa?
Neno moja niwakumbushe watanzania ni kuwa zamani zilikuwepo imani za jadi, mababu zetu walitetea na kuzilinda imani hizo kuliko sisi tunavyofanya leo lakini leo hii imani hizo tunaziona za kipuuzi na kuziita za kishetani. Hii inatufundisha kuwa upo uwezekano wa imani tulizo nazo leo na kuziona za maana huko mbeleni kuonekana za kipuuzi hivyo tumsimpuuze yeyote mwenye kutaka kusema jambo juu ya imani zetu.
Labda kama unaandika helanya za Abunuasi. Ukweli Mungu yupo na uchawi upo!Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.

Kwa kutumia lugha gani? Nadhani hapa tuko kwenye Kiswahilikwahiyo mwarabu au mrusi hiyo masharti hayamuhusu yanamuhusu mmatumbi tu
Baada ya kushiba,unaweka toothpick kinywani unachokoa meno mara paaap unapata wazo la kuandika kitabu.Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii.
Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana hii ya Mungu na uchawi au kutokuelewa kabisa.
Kuelewa chimbuko ni heri lakini kutokuelewa ina maana mimi na wewe tumekalilishwa mambo tusiyojua chimbuko lake.
kwa kifupi, hakuna binadamu anayeweza kufurahia kutokuwepo kwa Mungu lakini kujiaminisha juu ya uwepo wake kama ukweli ni hayupo basi kuamini yupo hakutusaidii na kule kusema hayupo kama yupo hakutusaidii.
Zipo faida za kujua ukweli na zipo hasara za kujua ukweli lakini daima tunaimba ukweli ndiyo utatuweka huru.
Mijadala kama hii ya Uwepo au Kutokuwepo kwa Mungu imekuwepo dunia tangu kale enzi za plato lakini kiukweli ni lazima tutambue kuwa ukweli juu ya jambo hili siyo rahisi kuupata kwa kufanya malumbano ya hoja au "debate".
Ukweli juu ya jambo umekaa katika ugunzi wa siri iliyojificha nyuma ya pazia la imani ni nini?
Kosa kubwa walilolifanya mababu zetu na wanaloendelea kulifanya mpaka leo katika mambo ya imani ni kuamini sauti wasizozitambua. Kwamba anatokea binadamu mmoja anasikia sauti ikimwambia mimi ni babu yako nenda kafanye moja mbili tatu, basi binadamu huyu kuamini kuwa kweli nilikuwa nikizungumza na babu yangu na kufuata maelekezo aliyopewa ndilo kosa la kwanza.
Je kama huyu tunayesema kusikia sauti ikisema mimi ni babu yako kapewa maelekezo akafuata ni kosa, je yule anayesikia sauti ikimwambia mimi ni mtakatifu fulani au ni jina fulani lolote kubwa la kiimani nakuwa sahihi?
hapa kuna mtego ambao ni kujua je ni kitu gani kiliwasiliana na hawa na kutambua kama kweli ni hicho hicho kilichojitangaza kuwa ndicho na hiyo ndiyo siri ya ugunduzi nyuma yaimani.
yeyote asiyejua siri hiyo atabaki kutumia mambo yaleyale aliyoelezwa mtu mwingine kutetea maagizo bila kuwa na ushahidi wa kujua ni kitu gani.
Kaa Tayari kujua nyuma ya mapazia ya imani kuna nini?
lakini shaka yangu ni juu ya mitizamo ya jamii juu ya imani kwa maana hawaruhusu mtu yeyote ku challenge imani zilizopo.
Kama Diamond alifungiwa mziki wake kwa kupokea simu kanisani basi mimi najiuliza hivi kitabu changu hiki kitaruhusiwa?
Neno moja niwakumbushe watanzania ni kuwa zamani zilikuwepo imani za jadi, mababu zetu walitetea na kuzilinda imani hizo kuliko sisi tunavyofanya leo lakini leo hii imani hizo tunaziona za kipuuzi na kuziita za kishetani. Hii inatufundisha kuwa upo uwezekano wa imani tulizo nazo leo na kuziona za maana huko mbeleni kuonekana za kipuuzi hivyo tumsimpuuze yeyote mwenye kutaka kusema jambo juu ya imani zetu.
Alielekea kusema hivyo baada ya kukosolewa kuhusu matumizi ya neno Mungu & mungu, maana aliandika mungu akimaanisha Mungu hivyo akajitangaza kuwa yeye ni kilaza tu hajui tofauti ya hayo majina, ndipo akajitetea kuwa yeye si mtaalam wa lugha 😂Lakini amesema hajasomea utaalamu wa lugha, au mimi sijamuelewa?
umesema vyema kwa maana haya si mashindano ya lugha bali hoja.OK sawa basi kwa mtazamo huo hatuwezi kuwa na mjadala kati yetu
neno Mungu wewe umelitoa kwa nani?
kumbe inawezekana kitu kutokea bila kuumbwa kama yeye alivyotokea
umesema vyema kwa maana haya si mashindano ya lugha bali hoja.
nimejaribu kutafuta historia ya watu waliowahi kuleta mapinduzi ya kifikra katika ulimwengu wa sayansi na wengi hawakuwa watu waliokalili yale ya kufundishwa.
najiandaa kuishangaza dunia
Nimelitoa kutoka kwa mleta mada, hebu angalia kichwa chake cha ha
Tatizo kubwa la imani ni kwamba zimejilinda kwa kutumia "blackmails"watu wanatishwa.Kaburi lako ulikwisha liandaa?
Tatizo kubwa la imani ni kwamba zimejilinda kwa kutumia "blackmails"watu wanatishwa.
ukifuatilia tangu kale, ilikuwa ni ngumu kwa mtu yeyote kuzisema vibaya imani zao kwenye jamii. ukija kwenye imani za kisasa wanadamu wamejengewa utamaduni wa kusikiliza tu na si kuhoji katika imani. na ukiuliza maswali magumu kuhusu mungu utaambiwa unakufuru.
kama tunataka kujua ukweli juu ya imani, tunatakiwa kushinda woga kwanza.