Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

mkuu tupia email yako pm , nikupe baadhi nilivyonavyo na upate maujanja ya kuvipata bila shida kwa sasa ninavyo karibu 550 in my drive and dropbox .mimi kwa sasa natafuta kitabu cha MARC SOMMERS,fear in ngoland{burundi refugees in urban tanzania } au niandikie uvugizi@gmail.com
mkuu hadi leo bado una hivyo vitabu?
 
Power of positive think ktb kzr sna pia kina audio yke iko youtube kuna principles nzur sna mojawapo iliongelewa sna ni kupractise daily silent na kuemptying ur mind kabla hujalala
 
Nilitaka kuweka kitabu kilichobadiri namna yangu ya kufikiri but nimepitia michango ya wenzangu wengi humu na kujifunza kitu hiki, "over 75% ya vitabu vilivyotajwa na wenzangu wengi ni vya kingereza na waandishi wake wengi kama sio wazungu basi ni watu wa nje ya nchi" point to learn, "Watanzania hatuandiki vitabu".

Kwa Wakristo, ni rahisi sana kuijua historia ya Renhad Bonnke, Morice Celulo, Papa John Paul nk but ni ngumu sana kuijua historia ya Zakaria Kakobe, Moses Kulola, Kadinary Pengo nk. Tuanzie hapo kubadirika, let us also write
 
View attachment 153768
THINK BIG ni miongoni mwa vitabu vilivyowahi kunivutia. Story yake inaonyesha jinsi ambavyo Hakuna Mtu ambaye hana uwezo. Kutoka Kuwa mtu wa mwisho darasani hadi kuwa daktari bingwa duniani mwenye kuheshimiwa. Prinsciples za kawaida tu ambazo zilitumiwa na mama asiyejua elimu. akifanya kazi kama HOUSEGIRL kwenye nyumba za matajiri aliwawezesha vijana wake wawili mmoja kuwa Engineer na mwingine kuwa Daktari bingwa duniani.

Talent: Our Creator has endowed all of us not just with the ability to sing, dance or throw a ball, but with intellectual talent. Start getting in touch with that part of you that is intellectual and develop that, and think of careers that will allow you to use that.

Honesty: If you lead a clean and honest life, you don't put skeletons in the closet. If you put skeletons in the closet, they definitely will come back just when you don't want to see them and ruin your life.

Insight: It comes from people who have already gone where you're trying to go. Learn from their triumphs and their mistakes.

Nice: If you're nice to people, then once they get over the suspicion of why you're being nice, they will be nice to you.

Knowledge: It makes you into a more valuable person. The more knowledge you have, the more people need you. It's an interesting phenomenon, but when people need you, they pay you, so you'll be okay in life.

Books: They are the mechanism for obtaining knowledge, as opposed to television.

In-Depth Learning: Learn for the sake of knowledge and understanding, rather than for the sake of impressing people or taking a test.

God: Never get too big for Him.
bigup broo, ill find it
 
Nilitaka kuweka kitabu kilichobadiri namna yangu ya kufikiri but nimepitia michango ya wenzangu wengi humu na kujifunza kitu hiki, "over 75% ya vitabu vilivyotajwa na wenzangu wengi ni vya kingereza na waandishi wake wengi kama sio wazungu basi ni watu wa nje ya nchi" point to learn, "Watanzania hatuandiki vitabu".

Kwa Wakristo, ni rahisi sana kuijua historia ya Renhad Bonnke, Morice Celulo, Papa John Paul nk but ni ngumu sana kuijua historia ya Zakaria Kakobe, Moses Kulola, Kadinary Pengo nk. Tuanzie hapo kubadirika, let us also write
its point, but how can we change? i think its our nature and changes will remain as plans with no action. how can we change????
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
Maandiko matakatifu, yaani Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia

Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia

Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia
Biblia


Nimesoma mwenyewe na ninaendelea kusoma, na wengine nimewaona waliosoma na wanaendelea kusoma
 
Kitabu cha maajabu,chabadili mtizamo wako wa maisha milele.
Jaribu kutafuta na kusoma STEP TO CHRIST au Ka-goole kwa tightle ,waweza kukisom mtandaoni.
 
Tafuta : WHO MOVED MY CHEESE , Na ukisome na utaniambia kama utabaki kama ulivyokuwa, ni zaidi ya kitabu
 
Back
Top Bottom